Njooni tumpongeze Mohammed Hussein Zimbwe 'Tshabalala' kwa kufunga ndoa

Akili kubwa hujadili hoja,
Akili ya kawaida hujadili matukio,

Akili ndogo Hujadili watu.

Midume na makende mnakosoa sura ya mke ambaye siyo wenu?

Tena na mishipa ya shingo imewatoka kabisa,bahatika sasa kukutana nao live na wake zao,utabaki kujiuliza hawa ndiyo walikuwa wanakosoa mke wa mwenzao.

Kuna mmoja hapa anakosoa wakati na yeye mke wake ni kituko,ana kg 800 na tumbo utadhani mjamzito wa miezi 7
 
Wabongo heshimuni wake za watu. Mleta uzi pia ni MNAZI ; na hili ndiyo lengo lako.

Kwenye maisha always behave, maneno yako hakikisha yanawajenga wengine Na Sio kuwa shusha. Unapokosoa na kukashifu kilichoumbwa na yule unayemuita Mungu wako, ni automagically unamtukana huyo mungu wako.

Wabongo tujifunzeni sana kuwa na MATURITY Na tuelewe baadhi ya mambo ni suala binafsi . Hakuna mtu mmbaya hapa duniani wala hakuna mtu Mzuri ,

Acheni Upumbavu kujadili wake za watu on social media. She is beautiful and cute .... nikimtizama , ninaona ukamilifu wa Mungu.

All the best Shabalala

Kuna watu mmejawa na busara sana.
 
Kawaida ya wabongo kusema wake za wengine ni maraya kumbe na wakwao wamo

Kuna mmoja hapa acha nimsitiri tu,lakini Mke wake ni kituko zaidi,alipaswa kwenda kwa Dr Now kwenye kile kipindi cha “my 600lb life” akafanyiwe upasuaji,si kwa ule unene,lakini Jamaa yuko hapa na yeye anamkosoa mke wa Tshabalala.
 
Kwa maisha ya sasa kizazi hiki cha madanga wanaume tunahitaji zaidi mwanamke mwenye mwonekano wa ndani kuliko kuoa uwafuhishe watu siri ya mtungi aijua mwenyewe zimbwe jr
 
Tena na mishipa ya shingo imewatoka kabisa,bahatika sasa kukutana nao live na wake zao,utabaki kujiuliza hawa ndiyo walikuwa wanakosoa mke wa mwenzao.

Kuna mmoja hapa anakosoa wakati na yeye mke wake ni kituko,ana kg 800 na tumbo utadhani mjamzito wa miezi 7
Hahahahaha
 
Huyo mkewe ni mzuri bila make up.Kamaliza IFM 2009.Tunamfahamu vizuri.kundi lake la discusion alikuwa na mtoto wa bakhresa.vyovyote iwavyo atakuwa na pesa ndefu ya kumfanya asiangaike na mpira wa kurogana kibongo bongo.
Bongo wachezaji wanapigana misumari mpaka kipaji kinakufa.
Huenda kwenda kuna mkwanja, wanaenda kufurahia likizo Dubai
Screenshot_20220703-155016.jpg
 
Huenda kwenda kuna mkwanja, wanaenda kufurahia likizo DubaiView attachment 2279935

Kila la heri Sheikh. Ukapate mapumziko ya kutosha wewe na familia yako. Hakika ulitendea haki huu msimu kwa kuchezeshwa mechi nyingi na timu yako.

Msimu ujao ukiandae vizuri! Maana utapelekewa pumzi ya moto mwanzo mwisho na akina Juma Shaban.
 
Hebu achen ufukunyuku
Kwa kukadiria anaweza kuwa na umri gani mkuu?

Nimem-zoom gauge imesoma ni kama yupo 36/38 hivi mume 25/28,ila nadhani waachwe kama wamependana kwa dhati ila kama huyo dogo amekokotana nae akidhani ni mwarabu basi atakuwa amepuyanga vibaya sana.
 
Kg 800 tena???yaan anakimbizana kg na yule makamu mwenyekit?????

Back
Top Bottom