Njooni tufahamiane wana MMU

Njooni tufahamiane wana MMU

mmhhhh, kweli tutapona hapa?
Utapona kwangu kichunafk manake ninae mmoja tu miss neddy lakini tangu jana tuwe bar, alivyoandoka ondoka wala sijui... alikoenda kalala huko huko, cjui guest wala cfahamu... sa' naona bora matala tu hapa, unasemaje mrembo?
 
Last edited by a moderator:

na hapa nibanane na miss neddy tena?
Wacha nifikirie kwanza maana kwa babu Asprin kutamu nako ndo maana hakuna anaetaka kutoka
 
Ina maana huyo miss neddy aliyesema hataki tena kuwa na Asprin kumbe ilikuwa ni fix enh? Ndoooo maaaaaana sijamuona tangu aage anaenda msalani hajarudi tena! Lakini miss neddy mwenyewe akikuuliza, mwambie mimi na wewe ni ndugu, sawa?
 
Last edited by a moderator:
Utapona kwangu kichunafk manake ninae mmoja tu miss neddy lakini tangu jana tuwe bar, alivyoandoka ondoka wala sijui... alikoenda kalala huko huko, cjui guest wala cfahamu... sa' naona bora matala tu hapa, unasemaje mrembo?

yamekuwa haya basi sawa
 
Last edited by a moderator:
Mimi kabila ni msichana
Jinsia =njoo chumbani ujionee
Uhusiano=Mungu ndo anajua
Location=wajanja wa town jirengeshe uone

Age=20s
Status:namfukuzia mrembo mmoja hivi huu mwaka wa 3 hata pichu yake sijaona
Vp niendelee?
 
mkuu mwaka wa tatu unamfukuzia uinjinia au demu ??
 
Kabila, msukuma
Marital status. Single and not searching
Umri. 26
Kazi. I own my life
Mengineyo. Kuuliza si ujinga
 
Back
Top Bottom