ha ha haha nitumie pesa kwanza
Atoto uliisha uliza kabila kwa mama?
Mimi kabila ni msichana
Jinsia =njoo chumbani ujionee
Uhusiano=Mungu ndo anajua
Location=wajanja wa town jirengeshe uone
Age=20s
Status:namfukuzia mrembo mmoja hivi huu mwaka wa 3 hata pichu yake sijaona
Vp niendelee?
cwu: chama cha walala.....teeeh!
mnh! na kanyeramumo mbona kwa mbaaaaali inafanana kama na "gogo kakatia humo humo!!!" au mawazo yangu tu atoto?mmmh!! mie nalala na kanyeramumo kila siku!
mnh! mie kila cku nilivyokuwa naona atoto basi nikajua kama katoto fulani hivi... sa' mbona tumaneno twako ni twa kiutu uzima?!!yes au waweza iita 'mama ninyeje' hiyo
au haiwezekani kupewa hiyo story behind atoto.......... au
Mungu wangu! Mi inaelekea bado mshamba humu jamvini...! Hebu nitoe ushamba basi... ni wapi huko cc?nenda cc utaiona
mmmh!! mie nalala na kanyeramumo kila siku!