njang'et
JF-Expert Member
- Dec 30, 2014
- 758
- 228
Yani miss neddy hanitaki tena??.... Ni sawa na JK aseme hataki tena kupanda ndege....
Khaaaa!
Last edited by a moderator:
Yani miss neddy hanitaki tena??.... Ni sawa na JK aseme hataki tena kupanda ndege....
Jam suit waivalia wapi? Au unaishi maeneo yenye baridi sana?? Kiswahili kigumu aisee..
Kulikoni?Khaaaa!
aisee mie sina dogo... c nikafuatilia hadi huko cc...NasDaz ni chit chat
aisee mie sina dogo... c nikafuatilia hadi huko cc...
hahahahaaha... nikaona kama nilivyo-anticipate ile siku but in other way round... hapa, sawa... mkubwa mwenzetu lakini kule ni kinyume chake!!!enheeee!! ukaona nini?
hahahahaaha... nikaona kama nilivyo-anticipate ile siku but in other way round... hapa, sawa... mkubwa mwenzetu lakini kule ni kinyume chake!!!
kinyume chake ni huko kwenu! kwani unafikiri sikuona ulichoandika!!!wapi ni kinyume chake??
kinyume chake ni huko kwenu! kwani unafikiri sikuona ulichoandika!!!
hahahahaa... anyway, unless kama mie ndo cjakupata! Iko hivi... jana nilikuambia kutokana na id yako, najua wewe ni mtoto... ukasema hapana, sio mtoto lakini why atoto, ukasema jibu lipo cc! Jibu la cc ni kwamba, kwenu ni last born, kwahiyo full mdeko ndio maana atoto! which means, hapa jf hata kama ni mkubwa mwenzetu, huko kwenu bado ni mtoto... si last born!!! au nimekosea??!cdhani km nakupata!!
hahahahaa... anyway, unless kama mie ndo cjakupata! Iko hivi... jana nilikuambia kutokana na id yako, najua wewe ni mtoto... ukasema hapana, sio mtoto lakini why atoto, ukasema jibu lipo cc! Jibu la cc ni kwamba, kwenu ni last born, kwahiyo full mdeko ndio maana atoto! which means, hapa jf hata kama ni mkubwa mwenzetu, huko kwenu bado ni mtoto... si last born!!! au nimekosea??!
Unaona sasa! Haya nipe zawadi yangu kwa kuwa nimekuelewesha vzuri.ooooh!!! hapo sawa nimekuelewa
Unaona sasa! Haya nipe zawadi yangu kwa kuwa nimekuelewesha vzuri.
cha miss neddy changu na changu cha miss neddy kwahiyo hakuna suala la zawaida hapo! zawadi yapaswa kutoka kule ambako changu si chao na chao si changu...mweeeh!! zawadi tena!! ucjali miss nedy atakupa zawadi ya ushindi, hiyo yapita zawadi zote
cha miss neddy changu na changu cha miss neddy kwahiyo hakuna suala la zawaida hapo! zawadi yapaswa kutoka kule ambako changu si chao na chao si changu...
habari ndo hiyo...wacha we!!!
Occupation: mtafutaji
Asili: uganda
Kabila: Nyankore
Umri: 18-25 nipo katikati hapo siri yangu pia
Marital status: Single gal