Njooni tufahamiane wana MMU

Njooni tufahamiane wana MMU

Asili: Sudan Kusini
Kabila: Nubi
Age:28
Occupation: Nurse
Marital status: Single
Phone:0788 808976
 
Simaanishi tufahamiane kwa majina yetu halisi au tubadilishane no za simu, la hasha.

Nimegundua kwamba humu Jamii Forums na MMU in particular kuna watu wa kada mbalimbali, so tukifahamiana kwenye Professions zetu, makabila yetu, maeneo tutakayo, umri, marital status n.k, wengi wetu tutakutana na watu wa makabila na kada zetu, age sio ishu sana.

Hivyo, itakua rahisi mtu akiwa na tatizo kwenye eneo fulani kwa mfano huduma za kibenki au ukandarasi, anafahamu aende kwa nani mwenye taaluma hiyo ili kupata ushauri, so mnakutana PM mnabonga, ikiwapendeza mnabadilishana na n namba za simu kabisaa.

Naanza mimi.

Occupation: Lawyer.

Asili: Msoma na Mwanza ingawa kwa sasa naishi Tanga na Dar es salaam.

Kabila: Mjita.

Umri: In between the age of 25 to 28 (Nipo katikati hapo-siri yangu).

Marital status: Single and Seriously Searching.

Haya karibuni wadau.

me veronica, kabila ni mnyakyusa , naishi mbeya, umri wangu ni miaka 24, kazi yngu ni secretary ... በimemaliza
 
Tutor B:
Real Name: ..................................................
Sex: Male
Marital Status: Married and two Children
Citizen: Tanzanian
Home Address: Bukoba Kagera
Residence: Nyamagana Mwanza.
Age: 40+ yrs
Occupation: ICT consultant,
 
Occupation: Head of Panya Road

Asili: Mabwepande

Kabila: UKAWA

Umri: Majority Age

Marital status: N/A
 
Amicus Curiae, Mie binafsi nimeipenda JamiiForum kwa sababu ya hii anonymity. Information ulizo pendekeza zina expose mambo mengi yanayo husiana na mtu huyo. uwezo wa kuchangia jambo haujali sana elimu au professional ya mtu unless ni technical issue. watu wenye taaluma zao huingia pale inapobidi na mchango wao utauelewa tu maana una authority ya taaluma. kimsingi akili za wanadamu zina kawaida ya kuchuja habari (tabia mbaya) na chujio hilo ni pale wanapofahamu baadhi ya taarifa binafsi ulizo zipendekeza. nashauri ukitaka kupata detail za member mPM.
 
Occupation: MZURURAJI/MSOTEAJI/MZEE WA KIJIWE.

Asili: MTANGANYIKA MIXER MMBONGO.

Kabila: MZALENDO.

Umri: In between the age of 75 to 82 (Nipo katikati hapo-siri yangu).

Marital status: DIVORCE X 5.
 
Occupation: MZURURAJI/MSOTEAJI/MZEE WA KIJIWE.

Asili: MTANGANYIKA MIXER MMBONGO.

Kabila: MZALENDO.

Umri: In between the age of 75 to 82 (Nipo katikati hapo-siri yangu).

Marital status: DIVORCE X 5.

mkuu CV hio imekaa njema
 
Kazi: Kungwi
Asili: Pwani
Kabila: Mkwere
Umri: Miaka 31
Mahusiano: Kimada
Watoto: Mmoja
 
Back
Top Bottom