mmmh!! mie nalala na kanyeramumo kila siku!
hahahahaaa... niliwazia hiyo kitu lakini sikuona connection yake kwahiyo nikapuuzia...NasDaz ni chit chat
occupation: Team jobless,
kabila: Mzaramo by birth
age: 13 years ( by ethiopian calendar)
marital status: Single but occupied.....
fanya nikupe kazi
Mamsera na January wapi na wapi??me too jion tukutane mamsera:violin::violin::violin:
Familia moja kuuuubwa sana isiyo na mawaa....Hapa hazbendi keshamaliza utambulisho wa familia.........
mmmmmmmmmmmmmmmmmmmh
Alaaaa...hadi Honey Faith....! Ngoja nijiweke pembeni niepushe msongamano
Yani miss neddy hanitaki tena??.... Ni sawa na JK aseme hataki tena kupanda ndege....Ina maana huyo miss neddy aliyesema hataki tena kuwa na Asprin kumbe ilikuwa ni fix enh? Ndoooo maaaaaana sijamuona tangu aage anaenda msalani hajarudi tena! Lakini miss neddy mwenyewe akikuuliza, mwambie mimi na wewe ni ndugu, sawa?
Asprin labda tu nikukumbushe kwamba Braza JK hataki tena kupanda ndege baada ya kuona imemsababishia kupata tezi dume! Hello my oxygen miss neddy, come here my beautiful princess umkane hadharani huyu AsprinYani miss neddy hanitaki tena??.... Ni sawa na JK aseme hataki tena kupanda ndege....
Asprin labda tu nikukumbushe kwamba Braza JK hataki tena kupanda ndege baada ya kuona imemsababishia kupata tezi dume! Hello my oxygen miss neddy, come here my beautiful princess umkane hadharani huyu Asprin
Hahahaaa... pole sana Asprin, natamani ningekusaidia, sema ndo hivyo tena, sina namna! mtoto mzuri miss neddy, anaye-hold Premium ISO standard, hii ndio kauli yake:Kwa taarifa yako..... Mzazi wako JK leo anateua baadhi ya mawaziri kuziba pengo la Escrow..... ili kesho adamke kuwaapisha kabla hajakwea pipa kuelekea Davos.....
Wakati mzazi wako akijiandaa kwa safari hiyo, miss neddy naye anajiandaa kesho aniletee naniliu niinaniliu
omg! so beautiful!hahaha babu bhana siku hizi nishakutoa kwenye kapu niko na NasDaz