Simaanishi tufahamiane kwa majina yetu halisi au tubadilishane no za simu, la hasha.
Nimegundua kwamba humu Jamii Forums na MMU in particular kuna watu wa kada mbalimbali, so tukifahamiana kwenye Professions zetu, makabila yetu, maeneo tutakayo, umri, marital status n.k, wengi wetu tutakutana na watu wa makabila na kada zetu, age sio ishu sana.
Hivyo, itakua rahisi mtu akiwa na tatizo kwenye eneo fulani kwa mfano huduma za kibenki au ukandarasi, anafahamu aende kwa nani mwenye taaluma hiyo ili kupata ushauri, so mnakutana PM mnabonga, ikiwapendeza mnabadilishana na n namba za simu kabisaa.
Naanza mimi.
Occupation: Lawyer.
Asili: Msoma na Mwanza ingawa kwa sasa naishi Tanga na Dar es salaam.
Kabila: Mjita.
Umri: In between the age of 25 to 28 (Nipo katikati hapo-siri yangu).
Marital status: Single and Seriously Searching.
Haya karibuni wadau.