kipepeo mweusi
JF-Expert Member
- May 31, 2014
- 244
- 71
kajiuzulu janaMkuu naona unanishawishi ila hilo ni jambo zito sana kwangu, aisee ni zito mnoo! Kama Prof Mhongo kukubali kujiuzulu....
kajiuzulu janaMkuu naona unanishawishi ila hilo ni jambo zito sana kwangu, aisee ni zito mnoo! Kama Prof Mhongo kukubali kujiuzulu....
kwani kuna paka shume yeyote kaongezeka kwa list hubby????Michepuko bhana.......... mnajifanya mna wivu kuliko wenye mali yao..... Kama vipi kaeni mbali huko mniwache nipumuwe na may wake zangu...:hand::hand::hand:
CC: BADILI TABIA, cacico, Kongosho.
Michepuko bhana.......... mnajifanya mna wivu kuliko wenye mali yao..... Kama vipi kaeni mbali huko mniwache nipumuwe na may wake zangu...:hand::hand::hand:
CC: BADILI TABIA, cacico, Kongosho.
Natoka Siasani naruhusiwa kujitambulisha??
Hahaaaaaaa.......yaaani mume wangu huishi vituko jamaniii daah
Jamani nimeweka marital status ili tusije tukawatongoza wake za watu, na waume za watu wasidandiwe na videm vya humu JF.