Njooni tufahamiane wana MMU

Njooni tufahamiane wana MMU

age: 45
maritual status: unknown
residence: kilimanjaro
tribe: nimesahau ngoja tamuuliza mama
occupation: all
 
hahahha wacha wafe mwaka wetu huu hebu weka kwanza wasifu wako kiduchu
Unataka wasifu sio? Mbona unaufahamu au unataka kujishaua tu hapa? Au lengo lako ni kunidhalilisha wakati nilikuwa PM hivi punde nikimpiga mtu sound kwamba zile za Escrow kupitia Stanbic, kuna jina langu pale! Sio issue, akikuuliza mwambie NasDaz alikuwa anatania tu na hii profile:

Jina: NasDaz
Kazi: Muuza Maneno Hapa Mjini
Umri: 25-45 gawanya kwa mbili mara sita.
Marital Status: Single but full kummezea mate miss neddy
Hobby: Kuhonga... yaani napenda kuhonga mimi jamani, utadhani nimerogwa.
Kauli Mbiu: Kuchunwa ni kuchunwa mbaya kuchunwa bila kuchuna!
 
Hahahaaaa mkuu
 
hahaha unajiita single ili usizibe fursa za warembo
 
aaaaA!!!! wewe mbona kama unaonekana babu maskini????? gharama za kukunwa kitambi utaziweza wewe??? wewe baki tu ulime babu.

Hahaha hapana mm sio babu maskini..!! Gharama kila kitu naweza kuliko hawa vijana wa siku hizi.. Utatamani kurudi kwa uyo babu mwingine

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Babu inaijua rate ya $ kwa sasa????? babu jangalie wewe, usije ukajikuta hata hako kashamba unakauza hela yote unanitumia kwa m-pesa ooooho!
 
hahaha unajiita single ili usizibe fursa za warembo
Ah! We nawe... fursa za warembo au fursa za mrembo... tena hiyo status nahisi kuna kajishetani kakapindisha mwandiko, ilipaswa kuwa Engaded To miss neddy ili kuwazibia wote wanaonimezea mate kutokana na hobby yangu ya kuhonga!
 
Last edited by a moderator:
Babu inaijua rate ya $ kwa sasa????? babu jangalie wewe, usije ukajikuta hata hako kashamba unakauza hela yote unanitumia kwa m-pesa ooooho!

Sio shamba tu ndio ninalo bado nina vitu vingi vya kuingiza pesa kwa vibinti vizuri kama wewe ambao mmejariwa..!! Mpaka nifilisike sio rahisi mjukuu..!! Ondoa shaka..!!

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
age: 45
maritual status: unknown
residence: kilimanjaro
tribe: nimesahau ngoja tamuuliza mama
occupation: all

Kweli? Tribe kama nalijua vile..!
Marital status ni CWU au??
 
Ah! We nawe... fursa za warembo au fursa za mrembo... tena hiyo status nahisi kuna kajishetani kakapindisha mwandiko, ilipaswa kuwa Engaded To miss neddy ili kuwazibia wote wanaonimezea mate kutokana na hobby yangu ya kuhonga!

hahaha haya bhana
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom