Hope urassa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2017
- 4,586
- 11,363
Halua imekuwa chungu











Kosa lako kabla ya kufanya ulofanya hukuwa na plan B, kwa hali ilivyo nenda tu kampokee jumamosi ila usiende na talaka, mpokee mrudi nyumbani. Au tayari ushapata jibu, fanya ulichopanga kufanya kama kipo.Mke wangu amesafiri ameenda kwao Tanga Kusalimia wiki imeshapita sasa. Nimetafuta namba ngeni asio ijua nyingine nikampigia NIKAMTONGOZA akakubali akanambia hayupo Dar yupo Mkoani nimtumie nauli akiwa anarudi nimpokee Ubungo, nimemtumia kanambia anarudi Jumamosi nikampokee Ubungo nikakubali.
Sasa nimempigia kwa namba yangu ya kawaida anayoijua kanambia anarudi Jumapili, nimemuliza kuhusu nauli kasema anayo wala nisijali.
Sasa sijui nimpokee Jumapili kuepusha shari au Jumamosi niende Ubungo na TALAKA yake??
Nisaidieni????
Akitaka hivyo si bora atangulie tu room, kisha amwambie achukue tax hadi hotel amkute chumbani? Ili asije akasalitiwa akiona.Tafuta mtu unayemuamini asiyemjua akampokee ampeleke lodge ambayo wewe ndio utakuwepo kwenye chumba atakacholetwa , hakikisha kuna mtu anamfuatilia kwa nyuma akimrekodi
... shetani ajaribiwi mzee
Mitego mingine ni kujitegea pressure na hata kifo, haya nasubiri J2 nisikie Habari kwa Millard Ayo " thebosskissima kazimia ubungo akiwa anampokea mkewe"Mke wangu amesafiri ameenda kwao Tanga Kusalimia wiki imeshapita sasa. Nimetafuta namba ngeni asio ijua nyingine nikampigia NIKAMTONGOZA akakubali akanambia hayupo Dar yupo Mkoani nimtumie nauli akiwa anarudi nimpokee Ubungo, nimemtumia kanambia anarudi Jumamosi nikampokee Ubungo nikakubali.
Sasa nimempigia kwa namba yangu ya kawaida anayoijua kanambia anarudi Jumapili, nimemuliza kuhusu nauli kasema anayo wala nisijali.
Sasa sijui nimpokee Jumapili kuepusha shari au Jumamosi niende Ubungo na TALAKA yake?
Nisaidieni?
Moja ya njia ya shetani hyoHahaha Ni mashetani...:::;???
Tukusaidie nini sasa bloo?Mke wangu amesafiri ameenda kwao Tanga Kusalimia wiki imeshapita sasa. Nimetafuta namba ngeni asio ijua nyingine nikampigia NIKAMTONGOZA akakubali akanambia hayupo Dar yupo Mkoani nimtumie nauli akiwa anarudi nimpokee Ubungo, nimemtumia kanambia anarudi Jumamosi nikampokee Ubungo nikakubali.
Sasa nimempigia kwa namba yangu ya kawaida anayoijua kanambia anarudi Jumapili, nimemuliza kuhusu nauli kasema anayo wala nisijali.
Sasa sijui nimpokee Jumapili kuepusha shari au Jumamosi niende Ubungo na TALAKA yake?
Nisaidieni?