Njooni ndugu zangu mnishauri

Njooni ndugu zangu mnishauri

Mkuu ushauri wangu ni kwamba ukimchunguza sana kuku huwezi kumla, pia udhaifu uliouona kwa mke wako sio kwa mkeo tu bali ni janga kwa ndoa nyingi ndio maana unakuta mtu hagusi simu ya mke wake anajua kabisa nikiamua kumfuatlia usalama ni mdogo na hata ukijaribu kufanya utafiti wa kutongoza wake za watu hata 10 utaona wengi wao watakubali hivyo nakushauri usimjaribu wala kumfwatilia mkeo kwani asilimia kubwa sio waaminifu na hata ukimfukuza pengine utakayemuoa anaweza kuwa mbaya zaidi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom