Dogo hebu tulia utoe ufafanuzi vizuri, hiyo jumamosi atakayorudi mkeo ndio anarudi kwa ajili ya kugegedwa au kuja kufahamiana kwanza na huyo mtongozaji.....
Kama anarudi ili agegedwe basi nakushauri nenda Ubungo ukiwa talaka mkononi maana ulioa MALAYA, nimetumia herufi kubwa ili kuonesha msisitizo, sitaki mambo ya kijinga mimi

hakika mkuu... Yaani tunaita maji maramojaInamaana mkeo haijui sauti yako?Mke wangu amesafiri ameenda kwao Tanga Kusalimia wiki imeshapita sasa. Nimetafuta namba ngeni asio ijua nyingine nikampigia NIKAMTONGOZA akakubali akanambia hayupo Dar yupo Mkoani nimtumie nauli akiwa anarudi nimpokee Ubungo, nimemtumia kanambia anarudi Jumamosi nikampokee Ubungo nikakubali.
Sasa nimempigia kwa namba yangu ya kawaida anayoijua kanambia anarudi Jumapili, nimemuliza kuhusu nauli kasema anayo wala nisijali.
Sasa sijui nimpokee Jumapili kuepusha shari au Jumamosi niende Ubungo na TALAKA yake??
Nisaidieni????
Amejitekenya afu ameshindwa kucheka.Umejitekenya mwenyewe....talaka ya nini sasa?
😂😂😂Muulizw Jiwe yeye huwa Ni bingwa wa kucreate problem alafu anatafuta Solution wananchi tufurahie
Jumamosi mnaweza kubadilisha venue na mkeo.unachoweza fanya ni kufika karibu na ubungo chukua hotel,halafu mpe namba ya dereva taxi amelete huko hoteli uliko wewe.them jumapili asubuhi mnapanda dala dala mnarudi nyumbani kwenu mbagala.kuna kuwa wakati huo hakuna foleniMke wangu amesafiri ameenda kwao Tanga Kusalimia wiki imeshapita sasa. Nimetafuta namba ngeni asio ijua nyingine nikampigia NIKAMTONGOZA akakubali akanambia hayupo Dar yupo Mkoani nimtumie nauli akiwa anarudi nimpokee Ubungo, nimemtumia kanambia anarudi Jumamosi nikampokee Ubungo nikakubali.
Sasa nimempigia kwa namba yangu ya kawaida anayoijua kanambia anarudi Jumapili, nimemuliza kuhusu nauli kasema anayo wala nisijali.
Sasa sijui nimpokee Jumapili kuepusha shari au Jumamosi niende Ubungo na TALAKA yake??
Nisaidieni????
Mke wangu amesafiri ameenda kwao Tanga Kusalimia wiki imeshapita sasa. Nimetafuta namba ngeni asio ijua nyingine nikampigia NIKAMTONGOZA akakubali akanambia hayupo Dar yupo Mkoani nimtumie nauli akiwa anarudi nimpokee Ubungo, nimemtumia kanambia anarudi Jumamosi nikampokee Ubungo nikakubali.
Sasa nimempigia kwa namba yangu ya kawaida anayoijua kanambia anarudi Jumapili, nimemuliza kuhusu nauli kasema anayo wala nisijali.
Sasa sijui nimpokee Jumapili kuepusha shari au Jumamosi niende Ubungo na TALAKA yake??
Nisaidieni????

Qmamake walai, mliooa mnakazi sana.Mliooa mna tabu sana![]()
Tafuta mtu unayemuamini asiyemjua akampokee ampeleke lodge ambayo wewe ndio utakuwepo kwenye chumba atakacholetwa , hakikisha kuna mtu anamfuatilia kwa nyuma akimrekodi
Nenda j,mosi tu..... Utakuwa umemfunza jamboMke wangu amesafiri ameenda kwao Tanga Kusalimia wiki imeshapita sasa. Nimetafuta namba ngeni asio ijua nyingine nikampigia NIKAMTONGOZA akakubali akanambia hayupo Dar yupo Mkoani nimtumie nauli akiwa anarudi nimpokee Ubungo, nimemtumia kanambia anarudi Jumamosi nikampokee Ubungo nikakubali.
Sasa nimempigia kwa namba yangu ya kawaida anayoijua kanambia anarudi Jumapili, nimemuliza kuhusu nauli kasema anayo wala nisijali.
Sasa sijui nimpokee Jumapili kuepusha shari au Jumamosi niende Ubungo na TALAKA yake??
Nisaidieni????
Sasa hivi Mambo ni SMS tu, akipiga unamwambia Mike mbovuHuyo mkeo au danga lako mpaka asijue sauti yako