Leo natubu: My Confession Ndugu Zangu

Carnivora

JF-Expert Member
Jan 26, 2018
3,651
5,986
Habari za Mei Mosi wakuu

Wakati fulani nilikua nafanya kazi katika kampuni moja hivi nikapewa pikipiki aina ya Yamaha kwa ajili ya kwenda nayo field na kurudisha report.

Siku moja nikaenda Tegeta Nyuki mle ndani stand. Nilivyofika tu na kupark chombo changu na kuvua helmet nikasimama nimeegemea nikiangalia mazingira hapa na pale. Kushoto kwangu kwa mbele kidogo kulikua na watu wamekaa kwenye benchi wameelekea upande mmoja na bint pekee akiwa ameelekea upande wa peke yake, yaani upande niliokuwa mimi. Alikua anachat na mtu kwa simu huku akionekana mwenye tabasamu na furaha. Haikunichukua muda kugundua uzuri aliokua nao na kichwani akiwa na nywele nyingi original uanaume ukajaa ghafla na hisia za mapenzi.

Nikamkodolea, na macho yetu yakakutana. Nikatabasamu, naye akaona aibu akaendelea kuchat. Akaniangalia tena, nikaonesha ishara ya kumwita aje nilipo bila wale jamaa wa kwenye benchi kugundua. Akasita, hakuja. Alivyoinua tena macho nikamwita tena, akaja. Alionekana mwenye aibu aibu nyingi. Nikajifanya kumuuliza kuhusu eneo lile as if silijui. Naye akaonekana si mwenyeji sana. Nikamuuliza pale anafanya nini? Akaniambia kuna mtu anamsubiri ampe ule mzigo pale huku akinionesha( alipokuwa amekaa kulikua na begi kubwa la nguo). Nikasema poa haya rudi kakae. Nishapata starting point kinachofata ni kuomba namba.

Nikatoka pale nikaenda tekeleza majukum yangu huku macho yangu yanamonitor kwake asiondoke kabla sijapata namba. Uzuri nikarudi kabla hajaondoka. Nikamwita tena, sasa hivi akaja akiwa kachangamka kabisa bila wasi wasi. Nikamuomba namba kwa style ninayoijua mwenyewe akanipa. Nikawasha tuk tuk langu nikasepa moyoni nikijisemea nishapata mtoto mbichi kabisa.

Nikaendelea kuwasiliana naye kumjua hili na lile huku naye akinihoji. Siku ya 3 nikamualika aje (date) pale Mbezi Shule. Nikakaa naye mgahawa fulani nikapiga naye story mbili tatu. Kwa sababu nilikua nawahi kuvisit sehemu kadha wa kadha ikabidi tuachane pale. Nikamtoa ya nauli na wakamfungia chips ambazo muda wote tuliokaa pale zilichelewa kufika. Akabeba na kuondoka nazo. Alivyoondoka pale alinitumia message ya kufurahi sana na kunishukuru. Alishaonesha kunipenda hivyo ikabidi nimwambie naona kama una kitu unataka kusema hebu niambie. Akanitumia message "Meraki nakupenda".
Nilitarajia hili, nikamjibu tu usiwe na shaka mi pia nishazimika. Tukawa babes to each other. Alikua na miaka 20 tu.

Baada ya mwezi nikamualika ghetto. Nilipanga nyumba ya vyumba 2. Kimoja nikikaa mwenyewe kingine ikawa reserve. Kuna rafiki yangu alitoka Unguja anakofanya kazi halafu ni mtu wa dini sana walikuja kwenye kongamano hapa Dar akaniomba hifadhi yeye pamoja na dada mmoja. So ikawa yule dada anakaa kile chumba kimoja. Mi na mshikaji kule kwangu walikaa siku 3. Jumapili hiyo ndo ilikua ya mwisho wameenda huko mi nikavuta mtoto ghetto. Nia yangu nipige chap aondoke kabla hawajarudi. Mtoto akachelewa akaja saa 10 hivi. Basi nikakaa naye pale nikamvuta room akawa anagoma kwamba nina haraka gani. Tukavutana vutana wee, alikua hataki kabisa kuvua. Nikahisi ni bikra. Akakubali kuvua lakini nigeukie upande mwingine nisimuone. Akaja kitandani na mtandio kajifunga kama vile katoka kuoga. Dah...nikajitahidi nile mzigo akawa anataka niweke dushe tu nisimguse kwa bibi wala nisipaangalie. Kwa kuwa nilishamgusa hapa na pale na matiti hakunizuia akalainika nikaweka dushe nikapiga moja. Kutokana na zile kukuru kakara hata kinga sikukumbuka ingawa zilikuepo. Ikabidi nimhoji kumbe sio bikra anaogopa nini? Akasema wakati yupo kwao kuna bf wake alimfanya akapata maumiv akakurupuka na kuvaa na kuondoka. Nikajua hapo ndipo usichana wake ulipoondoka. Kwa hiyo mimi nikawa mtu wa pili.

Jioni hiyo nilikua na kikao cha harusi ya rafiki yangu best ambae hadi familia zetu zimefahamiana kupitia sisi. Nikamueleza mtoto, akaniambia twende wote yeye hawezi kukaa pale peke yake na kwamba siku ile atalala kwangu kumbe ndo maana alikua hataki tufanye wakati ule. Nilikuta simu ina missed calls nyingi na message za kukumbushwa kikao. Nikajifanya nilipata wageni wa dharura ila niko njiani naenda. Nikaondoka naye, tulipofika karibu na venue akaomba nimuache kwenye mgahawa nami nikakubali apate bites na drinks nitamkuta hapo. Sikupenda kule kwenye kikao kuna watu wa heshima na sijawaji kuwaonesha "mtu wangu". Kikao kilipokwisha nikaondoka na mtoto wangu. Nyumbani najua wale walokole wamerudi siwezi kwenda na mchuchu. Ikabidi nitafute lodge nikalala na mtoto. Nikapiga zingine 2 tukalala na alfajiri saa 10 nikapiga lingine. Nikamuacha hapo nikampa nauli aende kwao mi nikaenda job na nguo zangu za jana.

3 weeks later akaniambia anahisi maumivu ya tumbo. Tumbo linauma na kuacha likaendelea kama siku 3 hivi ikabidi dada yake aingilie kati. Siku hiyo akamwambia ajiandae wanaenda wote kazini kwake. Huyo dada ni mfamasia hospital 1 hivi iko Mbweni. Alivyofika naye huko akampima vipimo kumbe akampima na mimba. Ikaonekana ni mjamzito. Jioni shemeji yake akamkaripia sana amtaje mwenye mimba, hakunitaja. Kesho yake wakamfukuza. Akaenda kwa mama yake mdogo ambaye naye hakuonesha ushirikiano mana habari zilikwisha zagaa ikabidi aende kwa rafiki yake ambaye mara nyingi huwa anakwenda na hata kulala huko, huyu rafiki yake wanashona wote ila ye anajitegemea. Hata alipokuja kwangu alidanganya anakwenda huko. Story zote mimi ananiambia nikadanganya nimesafiri mkoa. Ila sikumshauri atoe. Nilikua napima upepo kwanza.

Mimba ikawa na mwezi mzima. Habari zimefika mpaka kijijini kwao mama yake akamuuliza akasema ndio anahisi ana mimba. Vipi muhusika? akasema muhusika yupo basi wala hakuonesha kukasirika bi mkubwa. Ila akamwambia atamwambia baba yake. Na mzee hakuchukia kwa jinsi inavyoonesha ila alisikitika tu. Nikajifanya nimerudi, akaja nikampima na kipimo cha mkojo kile kweli ana mimba. Yule rafiki alishampa ushauri wakatoe, akampeleka zahanati fulani wakaambiwa gharama ni 70k. Alikua anaogopa sana ila akajikaza. Nikatuma laki wakaenda, aliniambia alienda kavaa kininja jinsi alivyokuwa anaona aibu. Alihisi watu wanajua anaenda kufanya nini. Yule rafiki yake alikuja kuniambia walipata tabu kumvua nguo na kumtanua mapaja huko zahanati nusra doctor akatae. Kitoto kilijaa aibu sana kile. Mimba ikatoka. Akaendelea kuishi pale kwa rafiki yake nikimsapoti mambo ya misosi.

Kuhusu shule, maana kuna watakaohoji alikua hasomi? Huyu alikua anasoma kwao huko Tanga wilaya fulani form 3, akaanza kuugua ugua maradhi yasiyoeleweka. Ikabidi watafute tiba mbadala akakaa nyumbani zaidi ya miezi 8 hali haijakaa sawa. Ombewa sana church lakini wapi. Wakati yupo na tiba akapata ajali ya boda boda iliyomuweka na P.O.P mguuni kwa miezi 6 mpaka akaletwa Dar kwa dada yake ndipo tukakutana na mimi. Walikua wanamfanyia mipango ya shule ila yeye mwenyewe alishakataa alisema hasomi tena na anajifunza cherehani inamtosha.

Nikaanza kumpotezea kidogo kidogo nikijisemea huenda yule bint ana mikosi. Ikafika kipindi akawa ananiuliza kama nimemkosea kitu. Bahati mbaya au nzuri nilikua nimeshahama nyumba ile anayoijua yeye. Nikajifanya nimefukuzwa kazi sasa hivi akili haiko sawa. Siku moja alinipigia simu akanishukuru sana nimemuokoa na janga....alikua hajui ile mimba angeipeleka wapi na maisha yake yangekuwaje. Ingawa wakati mwingine alikua tayari kuzaa, kwa maelezk yake kama ningemhakikishia matunzo basi tungekuwa baba na mama. Nikampotozea mpaka akazoea. Ikafika kipindi hapatikani kwenye simu anasema simu yake mbovu inasumbua. Baadaye akawa hapatikani tena. Mpaka leo hapatikani namba zake zote.

Nahisi nilimkosea sana bint yule. Natamani hata nionane naye mahali nimuombe radhi. Bahati mbaya hata jina lake la ukoo nimelisahau. Popote ulipo nisamehe R wangu. Hukua na kosa lolote ni ujana tu ulikua unanipeleka puta.
Forgive me R.
 
Soma tu mwanangu. Haya maisha haya vijana tuna misala sana. Kumbe ndio maana wazee wakishastaafu wanakuwaga wanatubu sana na kufanya ibada. Wana siri nzito nyoyoni mwao.
Kuna mzee wangu mmoja ameanza kwenda kanisani baada ya kustaafu.
 
Hahahahahah kama hujaoa bado njoo tuanzishe mahusiano tena mbn mm nilikuwa nakaa tegeta msikitin umenisahau
We Demiss nikija Dodoma lazima nikukaze. Ntakutumia elfu 50 uje mjini ila uje na lidumu la wine
 
Hebu check na huyu huenda ndiyo yeye ili muombane msamaha kwa mauaji ya mtoto

 
Back
Top Bottom