Ahsante mkuu ngoja nifanyie kaziMkuu open source app zipo, unatakiwa tu ufanye utafiti mwenyewe upunguze Kadri itakavyowezekana.
Mfano unafanya Encryption simu, itasaidia ku kulinda na threat za nje, ila ukiweka app ile app ikawa ndani ya simu encryption haitasaidia chochote maana mwenye app anakuwa na mirija kusoma data kabla hazijafanyiwa hio encryption..
Hivyo kwa hizi os mbili za simu inakuwa ngumu sana, sababu udukuzi ni kama umehalalishwa.
Kama vipi i-root tyu kama shida serikali naiman athari zake unazifahamMfumo mzima wa simu
Inakunyima uhuru gani?Hayo masimu sio huru kabisa hayanifai kwa mtu kama Mimi ambae situlii..
Kama mtu ana iPhone na amedukuliwa aweke ushahidi hapaiPhone ndio mdudu gani mzee mbele ya hucker
Kwanini usidukuliwe? Moja ya udukuzi mkubwa kupata kutokea duniani kwa watu wa kawaida ni ule wa icloud, tukaona uchi wa celebrity zaidi ya 100.Kama mtu ana iPhone na amedukuliwa aweke ushahidi hapa
navyojua hazidukuliwi kizembe
Unafurahisha Sana mzee sio mpaka uambiwe fanya kosa litakalosababisha utafutwe ndio utajua kuwa uko uchi kila sikuKama mtu ana iPhone na amedukuliwa aweke ushahidi hapa
navyojua hazidukuliwi kizembe
Au sema tu watu hawataki kuongea Sana maana hata hapa hauko salama tukipenda kufanya vitu 😢😢😢😢😢Kama mtu ana iPhone na amedukuliwa aweke ushahidi hapa
navyojua hazidukuliwi kizembe
Kama mtu ana iPhone na amedukuliwa aweke ushahidi hapa
navyojua hazidukuliwi kizembe
Please I need codes help me gusDah! Mkuu pole sana kama umedukuliwa!
Natumia one of the latest iPhones..macho 3😜kwan unatumia cm gani mbona umekaza fuvu kiasi icho kama system ya ulinzi ya us inadukuliwa we unatwambia nini kama unapo kaa hamna watundu basi usikaze fuvu ueleweshe
Natumia one of the latest iPhones..macho 3
wanasema kati ya android na iOS
iOS ni salama zaidi