Njia rahisi ya kuondoa matangazo kwenye simu zenye Android 9 kuendelea bila kuroot

Joeli

JF-Expert Member
Apr 25, 2011
4,962
2,000
Kama unatumia simu ya android kuanzia toleo la 9 pie, basi njia inakufaa. Huitaji ku root.

Jinsi ya kufanya

1.) Nenda Settings --> Connections --> More connection settings --> Private DNS

2.) Chagua Private DNS provider hostname

3.) Sehemu iliyo wazi, jaza moja kati ya anwani hizi hapa chini:

dns.adguard.com

dns-family.adguard.com (hii inablock tovuti za mambo ya wakubwa)

dot-de.blahdns.com

dot-jp.blahdns.com

4.) Bonyeza Save.

Matangazo yatapotea kwenye apps zote zneye matangazo.

Sometimes kama unatumia Chrome matangazo uwa yanaendelea kuonekana, basi fanya hivi

Fungua Chrome, sehemu ya anwani andika chrome://flags

Halafu tafuta async DNS resolver (#enable-async-dns)
Ukiipata chagua disabled

Utakuwa umemaliza kazi

Sijui kama hii mbinu ilishapostiwa au la, mie nimekutana nayo mtandaoni na inafanya kazi bila shida tangu nianze kuitumia
 
mathsjery

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
1,668
2,000
Mara nyingi matangazo kwenye simu yanasababishwa na chrome browser hivyo hivyo kwenye PC ishu ipo kwenye notification option ndani browser hiyo kwa simu zenye Android 8 mpaka 9.
Fungua chrome gusa vitufe vitatu Kisha tafuta setting then notification disable. Hapo kwenye notification utakuta Hadi site usizozijua unaweza disable moja moja au all
 
josephwaara

Senior Member
Jun 18, 2016
168
500
Kama unatumia simu ya android kuanzia toleo la 9 pie, basi njia inakufaa. Huitaji ku root.

Jinsi ya kufanya

1.) Nenda Settings --> Connections --> More connection settings --> Private DNS

2.) Chagua Private DNS provider hostname

3.) Sehemu iliyo wazi, jaza moja kati ya anwani hizi hapa chini:

dns.adguard.com

dns-family.adguard.com (hii inablock tovuti za mambo ya wakubwa)

dot-de.blahdns.com

dot-jp.blahdns.com

4.) Bonyeza Save.

Matangazo yatapotea kwenye apps zote zneye matangazo.

Sometimes kama unatumia Chrome matangazo uwa yanaendelea kuonekana, basi fanya hivi

Fungua Chrome, sehemu ya anwani andika chrome://flags

Halafu tafuta async DNS resolver (#enable-async-dns)
Ukiipata chagua disabled

Utakuwa umemaliza kazi

Sijui kama hii mbinu ilishapostiwa au la, mie nimekutana nayo mtandaoni na inafanya kazi bila shida tangu nianze kuitumia
 
Charlie One

JF-Expert Member
Apr 8, 2011
202
250

Hizo address unaweka moja au zote? Kama unaeka zote, unaacha nafasi au laa?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom