Njia ya kuwa na mahusiano na mwanamke kwa urahisi

Hii makala Iko vizuri kabisa na yote ni kweli tupu wanawake wenzangu hasa sisi Single Mama. Binafsi nakupongeza sana mwandishi umesema kweli tupu. Mfano Mimi ni single mama naendesha maisha yangu ña kusomesha watoto wangu bila shida, ninak nzuri inayoniingizia kipato lkn Kinidhoofisha ni upweke tu. Nanyi wanaume mkishajua udhaifu wetu japo nanyi pia wakati mwingine inatokea. Basi tusidanganyane wapendwa!!!. Tatizo wanawake tupo wengi wanaume mpo wachache. Tusaidiane tuishi maisha marefu.
Kama hutojali naweza kukupa amani ya moyo karibu

Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
 
Acha Siasa, Kanuni ni zile zile tatu.

1.Mpe PESA.

2.Mpatie PESA.

3.Mtumie PESA.
 
WEWE PIGA SIMU WAKATI KUNA MJUBA MWINGINE ANAONANA NAYE FACE TO FACE NA ANA MDATISHA KWA MANENO YA ANA KWA ANA NA KUJARIBU KUMTOMASA ,MWISHO WA SIKU MPIGAJI SIMU UNAKUWA FRIEND ZONE, SO UKIPIGA SIMU UPIGE KWA AJILI YA KUMTOA OUT SIO UNAPGA SIMU TU KAMA CUSTOMER CARE
 
Bila hela anakuona katuni tu aseee we sema unafanya kazi BOT, TRA, NSSF

au unamiliki biashara kadhaa kariakoo hata ka hupigi simu freshi tuu utalabwa had miguu
 
Ila kwa taarifa yako wanaume wasio wajali sana wanawake ndio wanaonekana wanaume makini ,na wengi wao hupewa mbususu bila nguvu nyingi , ila kwa macho ya kawaida wadada utasikia simpendi mkaka fulani, kisa tu hampi airtime ,ila huyo mkaka akiamua anapiga huyo mdada ndani ya masaa tu
 
Siku ukiombwa vocha na pesa ya kusuka uwe mwepesi kutoa pia...

Ukikosa mara 2 ,atakuwa hapokei simu yako ...
 
Hii makala Iko vizuri kabisa na yote ni kweli tupu wanawake wenzangu hasa sisi Single Mama. Binafsi nakupongeza sana mwandishi umesema kweli tupu. Mfano Mimi ni single mama naendesha maisha yangu ña kusomesha watoto wangu bila shida, ninak nzuri inayoniingizia kipato lkn Kinidhoofisha ni upweke tu. Nanyi wanaume mkishajua udhaifu wetu japo nanyi pia wakati mwingine inatokea. Basi tusidanganyane wapendwa!!!. Tatizo wanawake tupo wengi wanaume mpo wachache. Tusaidiane tuishi maisha marefu.🙏
Kwani na wewe unahitaji
 
Hiyo njia inafanyakazi kwa watu wenye hela, kamahuna hela ukipiga simu mara kwa mara na kumjali akili yake inamtuma wewe ni king'anga'anizi, huna pakwenda, mshamba wa mapenzi na nimsumbufu haswa


Wanaume tumekubaliana 2024 siyo muda wa kuhonga, kuwaza mapenzi na kubwa zaidi tumeafikiana hawa viumbe wanaojiita dhaifu watajithomber kwa garama zao wenyewe.
 
Weka maneno mimi namtumia ela ya boda boda aje baada ya kufurahia simu zako na kufungua hyo DOPAMINE...Namnyandua alafu anarudi kuongea na wewe akiwa na furaha zaidi
 
Hiki ni kitendo rahisi sana cha kunasa hisia za mwanamke yeyote yule na kuchukua moyo wake pasipo yeye kujua.

"Mpigie simu mara kwa mara kama sehemu ya kumjulia hali tu uone kama hatajaa mwenyewe."

Hii mara nyingi huwa inafanya kazi kama mwanamke atakuwa single au yupo kwenye mahusiano yaliyotelekezwa au kususisiwa na mwanaume aliyenaye.

Unapojaribu kumpigia simu jaribu kuwa "Gentleman" kwa kuongea "Maneno" fulani hivi ya kuonyesha unajali.

Sio tu kwa wanawake, mtu yeyote anayejaliwa kwa kupigiwa simu au kutumiwa ujumbe mfupi huwa anajihisi kuthaminiwa.

Hisia za kuthaminiwa zitamfanya mwanamke aanze kukuingiza moyoni pale unapomkumbuka kwa kumpigia simu mara kwa mara pale inapobidi.

Mahusiano hujengwa kwa mawasiliano ,na mahusiano huvunjwa pia kwa mawasiliano.

Kumbuka kuwa, "anayejali huwa anakujulia hali. asiyejali huwa hana habari."

Nimekupa mfano hapo juu hata kwa rafiki yako wa jinsia yako anapokujulia hali huwa kuna ka hisia fulani hivi unakapata.

Basi hako hako ka hisia huwa atakapata mwanamke utakayeanza kumjali kwa kumpigia simu au kumtumia ujumbe mfupi wa maneno.

Wasichana wengi wamejikuta wakiingia "Hubani" kwa kuendelea kuchati au kuongea na wanaume ambao mwanzoni waliwakatalia, lakini kupitia kupigiwa simu za kujuliwa hali walijikuta wakihisi wanapendwa na kujikuta wakikabidhi mioyo yao bila choyo.

Hili zoezi ni kweli linafanya kazi kwa 90%, na ndio mzizi namba moja wa kuziteka hisia za mtu yeyote yule.

Kumpigia simu mwanamke na kumwambia maneno "Mazuri" na "Matamu" itafanya ubongo wake ufungulie kemikali ziitwazo "Dopamine" zinazotengeneza hisia za furaha.

Baada ya hapo mwanamke atakuwa anapenda kupigiwa simu au kutumiwa sms na wewe ili tu aipate hiyo furaha kwa sababu atakuwa tayari kakuzoea wewe kama mtu pekee unayempatia furaha inayoleta amani ya moyo wake.

Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
Kaka ukimpigia simu hovyo mwanamke wa Kitanzania lazima akupige Mzinga.Usipo mtumia hata uwe unamsalimia vipi bado atakuona kama unamchora.We mtumie pesa hovyo lazima ata jaa tuu
 
Hiyo njia inafanyakazi kwa watu wenye hela, kamahuna hela ukipiga simu mara kwa mara na kumjali akili yake inamtuma wewe ni king'anga'anizi, huna pakwenda, mshamba wa mapenzi na nimsumbufu haswa


Wanaume tumekubaliana 2024 siyo muda wa kuhonga, kuwaza mapenzi na kubwa zaidi tumeafikiana hawa viumbe wanaojiita dhaifu watajithomber kwa garama zao wenyewe.
Iyo plan 2024 ndo nimepanga nitumie nikizidiwa nanunua service nisije filisika..Na ukifilisika mwanamke ana msaada wowote zaid ya kukuonyesha dharau.
 
Back
Top Bottom