Viwango vya hisia na mihemko katika kila ngazi za mahusiano ya kimapenzi

Nov 6, 2016
75
234
ELEWA VIPINDI NA HALI YA MIHEMUKO KATIKA NGAZI ZA MAHUSIANO

Na Comrade Ally Maftah
KING OF ALL SOCIAL MEDIA

JITU LA MIRABA
Katika kahusiano kuna mihemko inatofautian kati ya jinsia na nyakati za kimahusiano, andiko langu la leo linawahusia wapenzi kufikia katika mihemko ya kufanana ili mapenzi yaweze kudumu.

MWANZO - KUTONGOZA
Mara nyingi mwanaume ndio anamtongoza mwanamke katika desturi zetu za kiafrika, nitazungumzia zaidi katika desturi hizo japo kwa desturi nje ya hapo maelezo yangu yanakuwa ni kinyume chake,

Wakati mwanaume unaenda kumtongoza mwanamke unakuwa katika kiwango cha juu cha hisia na mihemko wakati huo mwanamke hisia na mihemko kuhusu wewe vinakuwa chini mno, hapo ndipo unalazimika kumpa mwanamke vizawadi, kujishusha, kumbembeleza hata anapokosea unakuwa radhi kumwomba radhi.

BAADA YA KUPATA NAFASI KATIKA MOYO WA MWANAMKE
Hiki ni kipindi ambacho mwanamke amesema yes tunaweza kuwa wapenzi, hapo hisia za mwanamke zinakuwa zimepanda kidogo na za mwanaume hupanda zaidi unazidisha upendo, huduma na ukarimu kwake ukisubiria kupata tendo/ mwili.

BAADA YA KUPATA MWILI/TENDO LA NDOA
Hapa lolote linaweza kutokea na mahusiano mengi huwa yanaishia hapa, kwenye kipindi hiki mwanamke inambidi awe na busara kweli ili mahusiano yaweze kuendelea

Katika kipindi hiki toralence level ya mwanaume inashuka kidogo, zile huduma, vizawadi, tension inaweza kupungua kidogo, anarudi katika hali ya ufikiri wa sawa sawa, hapo mwanaume anategemea aanze kuendesha maisha katika normal state, kama mwanamke hujiongezi uhusiana unaishia hapo hapo.

NINI MWANAMKE AKIFANYE KATIKA HATUA HIYO
1. Punguza kumsumbua mwanaume kwa sababu hapo kampeni zimeisha mnanza safari ya pamoja
2. Pandisha level ya upendo ifike sawa na upendo alonao mwanaume kwako, hapo mtaishi
3. Kama una mahusiano mengine chagua kuachana nao, katika kipindi hiki mwanaume huhitaji awe mwenyewe, uvumilivu unashuka kidogo
4. Mheshimu na umuhurumie mwanaume ajisikie viziri
5. Ni wakati wako wa kurudisha, hakikisha unampa zawadi hata kama ni ndogo ndogo kama boxer, saa, nk, hapo utarudisha hamasa ya yeye kuendelea kukupa zawadi.
 
Jambo pekee ambalo makada wa cc mnaweza ni mapenzi na ngono achilia mbali wizi wa kura.
 
Umejitahidi sana kuweka heading nzuri ila ndani ni utumbo tu (ngono sana)
 
Mwaka na miezi 4 imetimia tangu nimuache mke wangu Kibamba, nikatimkia Cape Town.

Sijawahi kufanya mapenzi
 
Back
Top Bottom