Njia rahisi ya kumaliza changamoto inayowasumbua JamiiForums ni mamlaka kuwajibisha watumiaji wanaovunja Sheria za Mitandao ya Kijamii na sio mtandao

Pakome

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2024
Posts
1,541
Reaction score
916
JamiiForums ni social media website ambayo inapokea User Generated Content

Katika mitandao ya Kijamii ulimwenguni, ina watumiaji wa aina mbili

Watumiaji wanaotii na wasiotii Sheria

Ili kuweka usawa ni kuwajibisha wale watumiaji wanaovunja Sheria huku wanaotii wakibaki salama

Hatuwezi kupeleka mwizi gerezani pamoja na familia yake yote ambayo haikushiriki wizi, bali tunapaswa kupeleka mwizi huku familia yake ambayo haijashiriki wizi wake ikibaki salama

Watumiaji wanaovunja Sheria za Mitandao ya Kijamii wanaweza kuonywa kwasababu idadi kubwa haijui Sheria, wengi wanafanya kwa kutokujua hakuna ulazima wa kuwaadhibu labda kama makosa yatavuka kiwango na hasa pale wanapokuwa wameshaonywa kwa mara kadhaa

Zipo baadhi ya adhabu zinazohimilika mfano kuzuiwa huduma ( temporarily account suspension) mpaka pale watakapopata uelewa
 
Moderators wanapaswa kudelete contents za uchochezi na uongo au kufuta ID ya mtumiaji kabisa. Vinginevyo wa verify usahihi wa story kabla haijawa viral.
Ewaa, wazingatie hayo ama mchapishaji anapotoa taarifa awe na utayari wa kuithibitisha atakapohitajika
 
Moderators wanapaswa kudelete contents za uchochezi na uongo au kufuta ID ya mtumiaji kabisa. Vinginevyo wa verify usahihi wa story kabla haijawa viral.
Kuna member huyu kama Lord Denning kazi yake kueneza chuki , machafuko na kuleta tuhuma nzito bila ushahidi. Tena anazungumza wazi wazi bila ushahidi au hata kuweka codes angalau
 
Umeshatoka mtaroni kuchota maji ya kuchambia mkuu?

Fanya haraka kabla hayajakauka
 
Sijasoma ulicho andika ila kichwa cha uzi tu kimetosha kukutambua kuwa wewe ni ANITHI WA AKILI ....JF ILIFUNGIWA KWA MUDA NA SIKU ..MUDA UMEFIKA MBONA HIZO MAMLAKA UNAZODAI WEWE ZINAVUNJA SHERIA KWA KUENDELEA KUIFUNGIA ? JE TATIZO NI KUVUNJA SHERIA AU TATIZO NI KUCHUKIA HAKI ? JE KATI YA 👉 KUTII SHERIA DHIDI YA HAKI NA KUVUNJA SHERIA KWA AJILI YA HAKI kipi ni SAHIHI?
 
Mamlaka gani ? Ushaambiwa humu kuna anyonymity kwahio ukishasema wawajibishwe watu huoni kwamba unatoa anonymity ?

Pili kwani mamlaka hazijui kwamba JF ni Content ni user Generated - Akutafutae hawezi kukosa kosa, hata unaweza ukamsalie akasema unamdharau

Mwisho kabisa kwani BAN hazipo au hakuna kitufe cha report content au kwani MODS hawatoi BAN ? Au ndio muendelezo wa kuzibana midomo kwa vitu subjective ? Kwani walivyowafungia mwanzo unaona ilistahili kuwafungia ? Au walikuwa wanapunguza reporters wa kipindi cha Uchafuzi
 
Kuna member huyu kama Lord Denning kazi yake kueneza chuki , machafuko na kuleta tuhuma nzito bila ushahidi. Tena anazungumza wazi wazi bila ushahidi au hata kuweka codes angalauView attachment 3515009
Kwa mtumiaji kama huyu ni vizuri akawa tayari kutoa ushahidi endapo itahitajika akijajua wajimu huo basi ataweka taarifa anazoweza kuthibitisha
 
Kumbe una xmass moja tu jamiiforums af unaleta story za watu kufutwa
Weee n kooomor
 
Shida yetu ni matumizi madogo ya akili na matumizi makubwa ya nguvu.Wala shida yetu sii nyingine,kuanza kutafuta mchawi ni kukosa maarifa na matumizi ya nguvu isivyo sahihi.Nguvu hizo tungezitumia kuzuia rushwa wizi,utekaji na kukosa uwajibikaji tusingekuwa tunavutana hivi sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…