Mzee Njelu Kasaka amegeuka msaka tonge tu, hana lolote.
Mwanzo alitoka CCM akaenda CUF, akarudi tena CCM, sasa ameenda Chadema!
Chadema mpokeeni lkn wekeni akilini kuwa Mzee Kasaka anasaka Ubunge tu, sio kingine.
Vv
Kwanza alivyopigika kuanzia kisiasa na kila kitu hata huo uongozi hafai kabisa kwani akiwa mbunge wa chunya alifanya nini.
lango litafungwa na nani? Mtei? au Mbowe? Acheni kujitekenya na kucheka wenyewewale wote wanaotaka kuja cdm waje sasa , lango likifungwa wasimlalamikie mtu .
Huyu mzee ni bonge la Jembe, ni mmoja kati ya watu wa ccm niliokuwa nikiwakubali sana.
Ni mzee anayejitambua sana, hairuhusu akili yake ikatumika kwa maslahi ya watu wengine. Jamaa anajitambua sana. Ni mmoja kati ya wabunge waliounda kundi la G55 akiwemo Tuntememeke Sanga. Nilikiwa nikisoma sana Makala zake kwenye Gazeti la Raia Mwema na kwa kweli zilikuwa zinavutia sana.
Kila anayejitambua anaondoka ccm yanabaki majingajinga tu..!!!
BACK TANGANYIKA
Huyu jamaa enzi zake ZZK hawezi fua dafu.
Huyo mzee anatabia ya kuhamahama vyama. Kwa hiyo angaliwe kwa makini sana.
Ni Njelu Kasaka mbunge wa zamani wa jimbo la Lupa wilayani Chunya mkoa wa Mbeya, leo ametangaza kukihama chama cha Mapinduzi na kujiunga na CHADEMA.
Akiongea na wananchi wa chunya leo, mwenyekiti wa chadema mkoa wa mbeya amethibitisha hayo.
"Chunya leo tumekuja kufanya kazi kuu mbili kuhamasisha wananchi kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura na kumpokea rasmi mzee wetu Njelu Kasaka"
Katika mkutano huo wa hadhara pia Katibu mtendaji wa TLP alijiunga na chadema na kukili kuwa TLP imebaki Vunjo tu ambako nako itapotea baada ya miezi mitatu...!
Mkutano umefanyika Chunya mjini umeongozwa na mwenyekiti wa mkoa na mzee wa upako!
Teeeeh ,teeeeh,jitekenye mwenyewe na kujichekesha watu wanasonga kuelekea magogoni,mtajijua mwaka huu wategemezi wa lumumba.
Ndoto za mchana nazo ni ndoto pia.
Huyo mzee anatabia ya kuhamahama vyama. Kwa hiyo angaliwe kwa makini sana.