Hatuchukui makapi ya ccm - James Mbatia
Ni Njelu Kasaka mbunge wa zamani wa jimbo la lupa wilayani chunya mkoa wa mbeya, leo ametangaza kukihama chama cha mapinduzi na kujiunga na chadema.
Akiongea na wananchi wa chunya leo, mwenyekiti wa chadema mkoa wa mbeya amethibitisha hayo,
"Chunya leo tumekuja kufanya kazi kuu mbili kuhamasisha wananchi kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura na kumpokea rasmi mzee wetu Njelu Kasaka"
Katika mkutano huo wa hadhara pia Katibu mtendaji wa TLP alijiunga na chadema na kukili kuwa TLP imebaki Vunjo tu ambako nako itapotea baada ya miezi mitatu...!
Mkutano umefanyika chunya mjini umeongozwa na mwenyekiti wa mkoa na mzee wa upako!

Very gud! Gud job. Njelu kasaka very nyce.
Anahangaaika tu huyu mzee miaka ya nyuma alihama ccm akahamia cuf baadae akahama cuf akahamia ccm sasa kahama ccm kahamia cdm.
Nadhani kachanganyikiwa anajaribu kutapatapa
waziri wa mkapa au waziri kipindi cha awamu ya mkapa mbona hujui kuandika hata kichwa cha habari mleta uzi
Hatuchukui makapi ya ccm - James Mbatia
Wengi wa waliotia nia wakikatwa majina yao watatimkia UKAWA ... soon CCM itaporomoka kama ambavyo vyama vingine vya Ukombozi vilivyoporomoka na kupotea ...
Wariotoswa na mchujo wa uongozi wa Ccm.Sasa huyo amechujwa wapi na lini mkuu,au uelewa?
Kama kumbukumbu yangu ipo sawa, Njelu Kasaka alishindwa kura za maoni CCM mwaka 1995, na baada ya kushindwa akahama CCM na kuhamia CUF ambako aligombea ubunge mwaka huo kwa tiketi ya CUF lakini akashindwa.
Baada ya kushindwa sikumsikia tena ndio namsikia leo, sina uhakika kama alihama tayari CUF au alibaki kuwa mwanachama mfu.