DIFFENDA
Senior Member
- Jun 23, 2013
- 110
- 38
acha usengenilikula mafraisha mkunndu
acha usengenilikula mafraisha mkunndu
Hii dunia jamani basi tuWe utakua unaongelea kuskip msosi mmoja. Hapa tunaongelea njaa juzi ulikula chai na maandazi mawili tu, jana uji tu, leo hadi sasa bila bila.
Tumbo lishaachana na kuunguruma wala nn. Sasa kinauma kichwa.
Duu bro pole sana,Haya maisha Wakati Mwingine huwa siamin km kweli Mungu Ni wa woteTulienda na jamaa yangu nchini Malawi kuuza viazi,vikadunda,njaa ilitukomesha balaa!,ilifika Jumamosi tukazama kanisa la wasabato hana lugha ya kwao kinyanza hatukijui,Mchungaji wao akatukaribisha chakula cha mchana,tuligonga msosi na kuzinzia hapohapo,duuh njaa mbaya sana.
Imebidi nicheke tu, maana njaa naijuwa kuliko yanayo andikwa humuKiboko ya yote,njaa ya usiku usipime unaweza ukajikuta mwanamahesabu mbobezi
AlikubariNilienda Kahama kutafuta kazi migodin nikakosa,pesa nikaishiwa,Kutokana na njaa yenye viwango vya TBS Ilinilazim nianze kumtongoza mama ntilie anae lingana na mama yangu mzazi ,lengo niwe nakula bure,
Njaa ilikua inaumaa mpaka natetemeka mwili,macho mekundu,Harafu nikiongea km vile nataka kulia,
Nilishinda njaa siku 2 na kulala pia, Kiukweli ndipo nilipo jua kuwa Dunia so rafiki
Ungeokotwa ukawahishwa hospitalKatika harakati za maisha niliingia kwenye uvuvi. Siku moja tulipotea kwenye maji siku mbili asee ilibaki kidogo tu njaa iniue
HongeraSiwezi kumkufuru Mungu. Sijawahi patwa na NJAA kwa kukosa chakula ila kuwa busy na kazi na kukosa muda wa kula.
Ila ninakuwa najua ni jinsi gani inakuwa mbaya mtu anapokosa kabisa chakula na asijue wapi na saa ngapi atakipata.
MUNGU NI MWEMA SANA.
"HUMPA AMTAKAE NA KUMNYIMA AMPENDAE"
mashamba ya viaz na mihogo hukuyaona!?Nilienda Kahama kutafuta kazi migodin nikakosa,pesa nikaishiwa,Kutokana na njaa yenye viwango vya TBS Ilinilazim nianze kumtongoza mama ntilie anae lingana na mama yangu mzazi ,lengo niwe nakula bure,
Njaa ilikua inaumaa mpaka natetemeka mwili,macho mekundu,Harafu nikiongea km vile nataka kulia,
Nilishinda njaa siku 2 na kulala pia, Kiukweli ndipo nilipo jua kuwa Dunia so rafiki
Matunda yangubpendwa hayo kuyashika yanahitaji taimingnilikula mafraisha mkunndu
Mzee umenikumbusha mbali sana,kipindin tukiwa watoto tuliogopeshwa kuwa matako yatakuwa makubwa ukila hayonilikula mafraisha mkunndu