Njaa mbaya sana; Ni jambo gani la hatari uliwahi fanya ulipokumbwa na njaa?

We utakua unaongelea kuskip msosi mmoja. Hapa tunaongelea njaa juzi ulikula chai na maandazi mawili tu, jana uji tu, leo hadi sasa bila bila.

Tumbo lishaachana na kuunguruma wala nn. Sasa kinauma kichwa.
Hii dunia jamani basi tu
 
Nilienda Kahama kutafuta kazi migodin nikakosa,pesa nikaishiwa,Kutokana na njaa yenye viwango vya TBS Ilinilazim nianze kumtongoza mama ntilie anae lingana na mama yangu mzazi ,lengo niwe nakula bure,

Njaa ilikua inaumaa mpaka natetemeka mwili,macho mekundu,Harafu nikiongea km vile nataka kulia,
Nilishinda njaa siku 2 na kulala pia, Kiukweli ndipo nilipo jua kuwa Dunia so rafiki
 
Tulienda na jamaa yangu nchini Malawi kuuza viazi,vikadunda,njaa ilitukomesha balaa!,ilifika Jumamosi tukazama kanisa la wasabato hana lugha ya kwao kinyanza hatukijui,Mchungaji wao akatukaribisha chakula cha mchana,tuligonga msosi na kuzinzia hapohapo,duuh njaa mbaya sana.
Duu bro pole sana,Haya maisha Wakati Mwingine huwa siamin km kweli Mungu Ni wa wote
 
Kunamwezi umepita hapa nilifulia hadi nikasema Mungu inatosha nichukue tu maisha yamenishinda na njaa imenikaba. Namshukuru Mungu kanivusha kwenye hili. Nimejifunza kitu kikubwa sana. Sasahivi nimejaza misosi ndani hadi raha. Sili migahawani tena maana ukiwa huna hela wanakusema japo kila siku unawaungisha. Wanawake wapiga vizinga wote nishafuta namba zao vilevile sianzishi mahusiano na mwanamke maana wanawake wakiafrika wanapenda kuhudimiwa alafu wewe unachopata ni penzi tu, wakati mtu unaweza kuishi pasipo mapenzi. Ukimpigia cm hata 5000 hakupi.
 
Nilienda Kahama kutafuta kazi migodin nikakosa,pesa nikaishiwa,Kutokana na njaa yenye viwango vya TBS Ilinilazim nianze kumtongoza mama ntilie anae lingana na mama yangu mzazi ,lengo niwe nakula bure,

Njaa ilikua inaumaa mpaka natetemeka mwili,macho mekundu,Harafu nikiongea km vile nataka kulia,
Nilishinda njaa siku 2 na kulala pia, Kiukweli ndipo nilipo jua kuwa Dunia so rafiki
Alikubari
 
Siwezi kumkufuru Mungu. Sijawahi patwa na NJAA kwa kukosa chakula ila kuwa busy na kazi na kukosa muda wa kula.
Ila ninakuwa najua ni jinsi gani inakuwa mbaya mtu anapokosa kabisa chakula na asijue wapi na saa ngapi atakipata.
MUNGU NI MWEMA SANA.
"HUMPA AMTAKAE NA KUMNYIMA AMPENDAE"
 
Hongera
 
Nilienda Kahama kutafuta kazi migodin nikakosa,pesa nikaishiwa,Kutokana na njaa yenye viwango vya TBS Ilinilazim nianze kumtongoza mama ntilie anae lingana na mama yangu mzazi ,lengo niwe nakula bure,

Njaa ilikua inaumaa mpaka natetemeka mwili,macho mekundu,Harafu nikiongea km vile nataka kulia,
Nilishinda njaa siku 2 na kulala pia, Kiukweli ndipo nilipo jua kuwa Dunia so rafiki
mashamba ya viaz na mihogo hukuyaona!?
 
Mimi mpka sasahivi ndo hali napitia unapigwa na njaa halafu huku mwenye nyumba anataka kodi.Wiki iliyoisha nilikaa kama siku nne hivi sijala kitu bhana halafu nikiangaza kitu cha thamani nilicho nacho gheto ni jiko na masufuria nkaona hivi havina msaada kama hata msosi kupata ni shida ilikuwa mida ya saa tatu nikachukua kajiko kadogo ka mkaa nikamwaga majivu nikalitia kwenye begi nkaweka kisu masufuria nikayaweka kwenye mfuko nikashuka zangu kwa mam ntilie yule bi mkubwa aliona na shida akaamua kunilalia kabisa nikauza vitu vyangu kwa elfu 10 akanipa na sahani ya wali nkalala nkarudi kulala shida haziishi wazee hapa nawaza nauza nini nilipe kodi kitu cha thamani nilicho nacho ni pc kama ingekuwa yangu ningekuwa nishapiga bei sema nathamini vitu vya kupewa.
 
Back
Top Bottom