sijadharua mtu ili itifaki lazma izingatiwe, ikitokea mdogo wangu wa kiume au kaka yangu ame fall kwa msichana wetu wa kazi ntaona poa tu hata akitaka kumuoa amuoe tu haina shida, ila si baba yangu, basi bora hata huyo mfanyakazi mwenyewe awe mtu mzima atleast ingekuwa rahisi kumeza lakini sio kitoto kinatuita dada leo hii baba aamue kiwe ndo mama, na isitoshe sitegemei wanaume kuelewa nyinyi semeni mnachoweza isitoshe mnaongoza kwa kutembea na hao wasichana wa kazi na hata hao wasiotembea nao huwa wanawatamani wanabaki kula kwa macho so i dnt expect to hear anything different, hapa naongea na wanawake wenzangu
Hongera sana.
Apo kwenye bold panaonesha unafikiri vizuri. Maana wengi ungewakuta wakisema ''NIKAJIKUTA''
nabanduliwa tena sana BUT not with my father khaaa hamjikubali tu kuwa mnakosea? hakuna wivu hapo yote hayo yanakuja kwa sababu tu unataka kuonekana wa tofauti, mbona wengi tu humu wamenipinga na hawajatumia lugha mbaya kama yako??
ukweli unabaki hapo nina makosa yangu na mzazi wangu pia ana yake
Mmmm tafuta tu mwanaume ili...
PM??!!!
Sasa huyo anayekubandua mwambie akuoe uhame nyumbani umpe baba yako uhuru wa kufanya mambo yake na mama yako mpya
sijakataa kabisa kuwa baba yangu anahitaji mwenza by tha way umri wake unaruhusu vizuri sana, pia sijamdharau house maid since naishi nae kama mdogo wangu tu.... sasa ya nini kwenda kutembea na binti mdogo? haya basi awe nae ya nini kujiiba mtu mzima kama yeye? si angeweka wazi tu kwan sisi watoto wake tungekataa??
the situation is not the way you think maana sikwenda kumvamia chumbani kwake najua sio heshima kuingia chumbani kwa mzazi bila taarifa
mmh na mimi kwa kweli huwezi kunishawishi kwamba anachokifanya ni sawa, kwa mtazamo wangu what he is doing is soooo wrong in so many ways
Msongo msongo msongo ni kitu kibaya....... Mzazi wako mpe heshima usiweke kichwa chako na kichwa chake sawa/sambamba !!Ndugu zangu hata sijui nianzie wapi maana only God knows how I feel right now.
Na waliosema siku njema huonekana asubuhi hawakukosea maana siku nzima ya leo sijui ndo niseme jana nimeshinda na majonzi little did I know kuwa majonzi makubwa zaidi yanakuja.
This night I have just realized that my father is sleeping with our house maid, what hurts me the most is why did he have to do that in his room and its not even a year since my mum passed away?
Na kwa hasira nikaanza kumkaripia huyu dada na nilichoambulia ni kufokewa na baba kuwa nafuata nini vyumbani kwa watu usiku wote huu!
Natamani nifanye kitu kibaya sana lakini namuomba sana Mungu anisimamie nisifanye lolote ambalo nitajutia baadae.
Najua sitaweza kulala usiku huu.
I just have no one to tell this right now thats why I decided to post this here.
Nasubiri asubuhi ifike, lakini najiuliza hiyo asubuhi ikifika nichukue hatua gani?
mrsleo, hujanielewa bado. unajua tunachoongelea hapa haina tofauti na justification ya kumtukana mama mkwe kwa sababu kakuudhi na kukuingilia ya nyumbani kwako? kwa malezi niliyolelewa mimi, huko nyumbani mimi ni mwanamke, ni mtoto pia. hata mama mkwe anitukane na kunisukuma, nitaondoka na kufanya kesi baadae. sina ruhusa ya kumtukana wala kumrekebisha. siwezi kum'bwatukia pia kwa sababu ya umri wake na nafasi yake pia.
Baba hakosei, na ukihisi kakosea unaenda kumshtaki kwao. Utashangaa huyo maid akiwa oficially mama utalazimika kumheshimu hahaha, hakawii kukutuma maji ya kunywa. dawa kuwa shosti ili akuonee aibu lol. Its not about who is right or wrong, baba ni baba tu mdogo wangu, na cha mlevi huliwa na mgema
Kuna tofauti gani kati ya kumuuliza baba yako na kumuuliza housegirl ? Yote si yanaelekea kwenye huo uhusiano?
Hasira ndizo humpoteza mtu dada yetu. Binafsi ingekuwa baba yako kaamua kumuoa housegirl sioni shida, ila kufanya hivyo ni vibaya. Sitetei kitendo chake wala sijakizungumzia. Najaribu kukushauri ili ujiepushe na laana, huyo ni mzazi wako na ulichokifanya ni sawa na kufumania kwa sababu unaquestion vipi fidelity ya your own father?
Huko ni kukosa adabu kiukweli, tena kwa mtoto wa kike ni kubaya zaidi kama mtoto wa kiume kwa mama yake (M so sorry for being straight)
unaniiga sana, nakupendaga bure.
Mie siwezi shindana na mchepuko wa mdingi, kwanza simwonei wivu.
Na kumkaripia mtu mzima yataka moyo.
Utanidai dozi.
mrsleo, hujanielewa bado. unajua tunachoongelea hapa haina tofauti na justification ya kumtukana mama mkwe kwa sababu kakuudhi na kukuingilia ya nyumbani kwako? kwa malezi niliyolelewa mimi, huko nyumbani mimi ni mwanamke, ni mtoto pia. hata mama mkwe anitukane na kunisukuma, nitaondoka na kufanya kesi baadae. sina ruhusa ya kumtukana wala kumrekebisha. siwezi kum'bwatukia pia kwa sababu ya umri wake na nafasi yake pia.
Baba hakosei, na ukihisi kakosea unaenda kumshtaki kwao. Utashangaa huyo maid akiwa oficially mama utalazimika kumheshimu hahaha, hakawii kukutuma maji ya kunywa. dawa kuwa shosti ili akuonee aibu lol. Its not about who is right or wrong, baba ni baba tu mdogo wangu, na cha mlevi huliwa na mgema
Tukutane kwenye urojo unipe ofa basi. Mefulia kama mdhungu.
Afu wewe huwa nahisi ni mdogo wangu wa kambo, huyu baba kitembezi aka Mtambuzi, kaacha mbegu hadi kwenye mataruma ya reli. Hatuna undugu kweli wewe?