Niwafanye nini watu hawa?

Naww uhame kwenu ukaanze maisha.. hayo ndio madhara ya kuishi kwa wazazi mpk miaka 25 unaanza kuwapangia cha kufanya.Baba yako ana haki ya kufanya mapenzi na mtu anayetaka yeye
kuna sababu nyingi zilizosababisha niwepo nyumbani hadi leo many of them are personal, na hata nisingekuwa na sababu kuna dhambi gani ya mimi kuwa kwetu?
 
Before you embark on a journey of revenge, dig two graves
 

wewe tafuta mume uolewe umuache baba yako apumuwe au hama nyumbani nenda kapange, nina uhakika mama yako kwenye umri kama wako alikuwa hakai nyumbani kwa babaye.
 
kuna sababu nyingi zilizosababisha niwepo nyumbani hadi leo many of them are personal, na hata nisingekuwa na sababu kuna dhambi gani ya mimi kuwa kwetu?

Dhambi utazaa na wajukuu hapohapo nyumbani na kuanza kudeal business ksma hizo ambazo wewe ungekuwa unakaa kwako huwezi kukutana na hizo drama.
 
naomba kwanza nikuulize swali (jibu kwa PM ukipenda mamii! sawa eenh?? lol)

hivi ulimaanisha nini kujiita romantic eyes?

usiku mwema! nalala mwenzio! naona mbu wa dengue na wa malaria wanashirikiana kuning'ata! lol! dar shida tupu!

PM??!!!
 
Last edited by a moderator:
Dhambi utazaa na wajukuu hapohapo nyumbani na kuanza kudeal business ksma hizo ambazo wewe ungekuwa unakaa kwako huwezi kukutana na hizo drama.

yote kheri
 

tatizo la watu ukisema kitu kimekuuma wanakimbilia kwenye wivu, hivi nimuonee wivu baba yangu nina wazimu? kati ya watu walioelewa vizuri hii situation nashukuru na wewe ni mmoja wapo
ndo hivyo life goes on na hapa ni kama vile nothing happened yesterday
 

wala usipate tabu mwaya kuwaelezea wanajua sana athari za mambo yao wanatetea ujinga tu. waache waendelee kushabikia maana kuna watu mpaka wanamwaga matusi khaaa
 
Pole sana kwa yaliyokukuta ila cha msingi ni kuheshim maamuzi ya baba yako maana hata kama ataoa huyo dada na mkawa mnaheshimiana mambo hayawezi kuwa mabaya ndan ya nyumba
 
Watu wanajaribu kujibu majibu rahisi kwa maswali magumu,hebu mnaomuona huyo binti hana adabu jaribuni kijivika viatu vyake kabla hamjasema chochote,na yeye ni binadamu.Hata mimi naona mzee yupo wrong ila kwa bahati mbaya tumekuzwa na fikra za kuamini kwamba mzazi hakosei.
 
 
Nimeshakufahamu, za siku nyingi?

Pole sana, Wadau wamekushauri vizuri...... You was right getting angry but also wise at per. Kama ulioyasema ni kweli, nakupongeza namna ulivyomuuliza huyo maid, Angekua mdada mwingine angepanukisha usiku huo huo.

salama tu, sijui wewe
sikuona haja ya kuanzisha fujo ingawa kiukweli it was a very awkward situation, things are just normal now na kila mtu anaendelea vizuri na shughuli zake
 

Nisaidie wewe kushangaa mwenzangu manake majibu ya wengi humu yameniacha hoi, tuache unafki hili swala kwa yeyote yule ingeleta shida, hata hao wanaume wanaojifanya humu kwamba hawajaona kosa ingetokea kwao isingekuwa rahisi kama wanavyolichukulia hapa
 

hakuna sehemu niliyosema nimeingia chumbani kwake na pia sikumuuliza chochote mzazi wangu kwa sababu sina haki ya kufanya hivyo
lakini mie ni binadamu na kukasirika kupo tu hata kama mnatetea hicho kitendo
 

wewe acha kubwata tu bila hoja, yani tujivike k ili tuwe kama huyu anayetokwa mapovu hapa au unamaanisha nini?
 
hakuna sehemu niliyosema nimeingia chumbani kwake na pia sikumuuliza chochote mzazi wangu kwa sababu sina haki ya kufanya hivyo
lakini mie ni binadamu na kukasirika kupo tu hata kama mnatetea hicho kitendo

Kuna tofauti gani kati ya kumuuliza baba yako na kumuuliza housegirl ? Yote si yanaelekea kwenye huo uhusiano?
Hasira ndizo humpoteza mtu dada yetu. Binafsi ingekuwa baba yako kaamua kumuoa housegirl sioni shida, ila kufanya hivyo ni vibaya. Sitetei kitendo chake wala sijakizungumzia. Najaribu kukushauri ili ujiepushe na laana, huyo ni mzazi wako na ulichokifanya ni sawa na kufumania kwa sababu unaquestion vipi fidelity ya your own father?
Huko ni kukosa adabu kiukweli, tena kwa mtoto wa kike ni kubaya zaidi kama mtoto wa kiume kwa mama yake (M so sorry for being straight)
 
...you're becoming stereotype!

am not becoming anything ila majibu yenu ndo yamenipa hiyo conclusion, wanaume woooote mmebaki kumshambulia huyu binti na kuona kilichotokea ni sawa, sasa ningesemaje?
 
Huwezi kujua hila ya huyo maid kuhusiana na baba (kwangu mimi mtu ambae namheshimu kama mzazi hata iweje siwezi kumvulia nguo. inawezekana hata walihusiana toka mama yuko hai?). akiwa mbali hatajua kama baba ana mpango wa kuuza asset za familia, ama hata kama ana migogoro binafsi kama madeni bank na kadhalika.

Kwa kuchukulia poa mambo yao na kutojihusisha anaweza kumsaidia hata baba yake. Unajua anaweza hata kumuambia maid mshauri baba aende hospitali or something. mimi naamini kwenye kutokuvunja madaraja
Umeandika vizuri sana, ila ushauri ulio malizia hapo chini ndio sijauelewa. Sasa aanze ku-monitor issues za baba na za house maid ili isaidie nini? Kwa upande wangu naona kama ni kujizidishia maumivu na pressure isiyo na sababu.
 
mimi sio mwanaume, lakini baba ana haki ya kukosea na kujua jinsi ya kusahihisha mambo yake mwenyewe. tena ni kukosa adabu kuingilia affairs za baba
am not becoming anything ila majibu yenu ndo yamenipa hiyo conclusion, wanaume woooote mmebaki kumshambulia huyu binti na kuona kilichotokea ni sawa, sasa ningesemaje?
 
wewe acha kubwata tu bila hoja, yani tujivike k ili tuwe kama huyu anayetokwa mapovu hapa au unamaanisha nini?

Matola give this girl a break khaaaaaaaaaa maana umemkalia kooni as if wewe ndo baba yake duuuh,mpaka naanza kuwa na mashaka na wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…