Niwafanye nini hawa watu..?

Niwafanye nini hawa watu..?

Kwa muda mrefu nimekuwa nikimuhisi mwanamke mmoja kuwa na mahusiano na MUME wangu kutokana na charting zao ..na ubize WA simu WA MUME wangu..

Wiki iliyopita nikapata nafasi nzuri ya kukagua simu ya Mr hivyo ..nimethibitisha pasi na shaka kuwa wako katika mahusiano kutokana na majina ya kimapenzi wanayoitana,na MAWASILIANO ya mara kwa mara( karibu kila siku wanawasiliana asubuh,mchana Hadi usiku).

Nilichofanya niliscreenshot MESEJI zoote nikajitumia na sikuacha ushahidi wowote kama nilishika simu yake..MAISHA yanaendelea kama kawaida ...

Wote ni waajiriwa..Tuna miaka 10 ya ndoa(tulikubaliana kufunga ndoa ya serikali sisi wenyewe bila kushirikisha wazazi hivyo hata mashahidi hawakuwa ndugu zetu Wala rafiki zetu japo MAHARI ALITOA na taratibu zingine zilifuatwa. Hivyo tukaanza kuishi pamoja ili tukijipata tufunge ndoa ya kanisani) , ..but Hadi leo hatujafanikiwa kuwa na ndoa ya kanisani.

Tuna watoto 4( mmoja WA mama mwingine mkubwa kwa watoto wangu jhakuwahi kunieleza kabla ..niligundua baada ya kuanza kuishi pamoja... lakini MAISHA yaliendelea)

Sikuwa na tabia ya kumchunguza Mume wangu apo mwanzo Kilichonifanya nianze kumchunguza ni mabadiliko ya muda mrefu yaliyopo ndani( miaka kama 4 sasa )dharau ,MAPUUZA, kutokujali mambo..Kuna KIPINDI aliwahi kunipiga,kunifungia mlango nje Tena nikiwa na mtoto mdogo WA miezi(nilimuacha ndani) sikuwahi kusikia neno la Msamaha kutoka kwake aliona sawa tu...bado nilivumilia MAISHA yakaendelea ...ukikosea jambo anakua mkali kupita maelezo Tena kwa maneno makali ya kukera.Mwanzoni nilikua naumia sana na kulia.. badaye nilivyoona ni ujinga kumlilia mtu ambaye haoni thamani ya chozi lako na Wala hawezi kubadilika,na mimi nikaanza kupunguza upendo taratibu kwake nikahamishia mapenzi kwa watoto wangu,kazi na kuanzisha biashara zangu,...

Tendo la ndoa SIJAWAHI kumnyima japo sometimes mood inakata kabisa nikianza kufikiria matukio na kauli zake.. tunaweza kukaa hata wiki hatujagusana ...

Sasa kilichonifanya nije hapa...
Ni hiki.. kwa muda wote huo nilikua natafuta nafasi na chanzo kikuu Cha mabadiliko hayo...Nimeshakipata kama nilivyoeleza huko juu MAHUSIANO na mwanamke mwingine..na ushahidi ninao..

Sitaki kumuuliza WAla kuongea naye chochote juu ya hilo..

Nataka niondoke nikaanzishe MAISHA yangu nimuache na watoto ( kuhusu kuondoka na watoto hapa usinishauri))

....lakini kabla ya kuondoka, nataka AJUE KAMA NIMEJUA USALITI WAKE na nataka ATESEKE KISAIKOLOJIA alipie MAUMIVU yote niliyoyaishi kwa miaka yote hiyo..

Je NITUMIE MBINU GANI?.. Ikiwezekana nipe MBINU ya kumtesa na huyo mwanamke(iwe MENTALLY). Tena ikiwezekana kuwafanya wote wawili kila mmoja kwa wakati wake anipe hela Ndefu afu nijikatae ZANGU lengo ni kuwakomoa tu...wasinisahau..
SIMTAKI TENA!!
Kuna tofauti kati ya Mke au Mume wa kujitafutia mwenyewe na Mke au Mume wa kupewa na Mungu.

Ukijitafutia mwenyewe jiandae kwa lolote wakati wowote!
 
Mambwa naona yanatetea mbwa mwenzao.!!

Sikiliza top face, acha mpango wa kujitesa na kutesa watoto, sikiza USIONDOKE..
Inatakiwa umuonjeshe sumu aliyoitengeneza mwenyewe..!!

Kwa mlipofikia mumeo kavuka mstari, Anakupiga, anakutesa, anakusaliti, tendo hakupi kwa wakati na hakuheshimu..!!
Hapo tayari ndoa imekufa imebaki kwenye makaratasi tu!

Cha kufanya

Mtafute boss wake mtege mpaka aingie kwenye mfumo, anza kumpa kei kisha mvuruge avurugike..!! To mbwer kwa raha zako tena gugumia kwa utramu kabisaa..!!

Hapo sasa utalipa kisasi chako vizuriiii You know wara I mean 😹😹

Hao wapuuzi wataishi kama mashetani, unamwambia boss mmoja apangiwe Kagera mwingine Songwe halafu wewe unabaki hapo hapo kwa huyo boya kwenye nyumba yake ukiendelea kulea watoto wako kwa amani na utulivu huku ukila maisha na boss kubwaaa..!!
 
Mengi yamesha jadiliwa, lakini naomba tu niseme kwa ujasiri kabisa kwamba wewe ni mwanamke mpumbavu na nakuona ukivunja ndoa yako kwa mikono yako wewe mwenyewe (nisamehe kwa kutumia lugha kali).
Kimsingi hakuna siku utaweza kushindana na mwanaume, na hakuna siku utafanikiwa kumkomoa mwanaume.
Labda umfanyie kilema ama baya ambalo litamfanya asiweze kuendelea na maisha yake kawaida, and utakapo fanikiwa hilo kumbuka utakao wakomoa ni watoto wako kwa kuwafanyia maumivu na kukosa support ya baba.
Na sioni kama yeye kukuoa ukamkuta na mtoto mmoja ni issue kubwa.... yawezekana alikuficha kwasababu alikua anakupenda na aliogopa kukupoteza (mimi wakati nafungandoa alinikuta na watoto 5 na wote tunaishi nao hadi leo bladi hell...🫤)
Umeishi kwenye ndoa kwa miaka 10 na leo ndio u ajiona haupo sehem sahihi wala hautaki kuongelea maumivu yako....🤔
Na ukweli nikwamba kupata mwanaume atakae kupenda na kukutunza kwa dhati kwasasa na hali yako mama naomba nikwambie tu ningumu sana, ninacho kiona zaidi wewe ndie unaenda kuwa mchepuko wa wababa wenye ndoa zao.
Unajua aje akusome mara tatu akuelewe. " Anaenda kuwa mchepuko kwa wenyewe ndoa zao"
Miaka 10 , pambania kombe , haujui hali ilivyo mbaya nje mtanange ni mkubwa kinoma utaenda chomwa visu na wanawake wengine wanaolinda ndoa zao. Pambania watoto wako , endelea kujipa furaha , make sure unakua rich mother , huyo mwanaume usimu entertain, make sure unamtumia na mwili wake utoe uchovu na hasira mtumie kama chombo Cha starehe, ukiwa nje unaweza kata hata miezi 6 huna wakuhudumia mwili wako, watu wako busy na wake zao....mh siwezi maliza kuandika ila wanaume by nature ni Malaya ... Hawawezi kaa na mwanamke mmoja , nakushauri uzingatie tu afya haayo mengine dada huko nje unaweza enda ukasema Kuna nafuu unakutana na mwengine ana mke na michepuko , unaenda Kua kundi la mirupo. Oi ndoa ni ya wendawazimu. Haujui tu
 
Mambwa naona yanatetea mbwa mwenzao.!!

Sikiliza top face, acha mpango wa kujitesa na kutesa watoto, sikiza USIONDOKE..
Inatakiwa umuonjeshe sumu aliyoitengeneza mwenyewe..!!

Kwa mlipofikia mumeo kavuka mstari, Anakupiga, anakutesa, anakusaliti, tendo hakupi kwa wakati na hakuheshimu..!!
Hapo tayari ndoa imekufa imebaki kwenye makaratasi tu!

Cha kufanya

Mtafute boss wake mtege mpaka aingie kwenye mfumo, anza kumpa kei kisha mvuruge avurugike..!! To mbwer kwa raha zako tena gugumia kwa utramu kabisaa..!!

Hapo sasa utalipa kisasi chako vizuriiii You know wara I mean 😹😹

Hao wapuuzi wataishi kama mashetani, unamwambia boss mmoja apangiwe Kagera mwingine Songwe halafu wewe unabaki hapo hapo kwa huyo boya kwenye nyumba yake ukiendelea kulea watoto wako kwa amani na utulivu huku ukila maisha na boss kubwaaa..!!
😁😁😃😃😃😃 Dah nimecheka kwa huzuni!!
Hii Yako ni kubwa sana aseee ..hivi unawajua hao mambwa vizuri
.
Kwanza alivyo na wivu! ..NITAGEUZIWA KIBAO KUWA Mimi NDIYE Malaya mkuu na aibu itakua juu yangu.. alafu wengine uongo hatuwezi NITADAKWA MCHANA KWEUPE! 😂😂
 
Ungesoma kile kitabu MEN WILL ALWAYS BE MEN usingetumia muda wako kuandika haya, kile kitabu ni suluhu ya mambo mengi wanayoyadekea wanawake walioolewa.

Kumbuka mwanamke mpumbavu huvunja nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe.

Ndio ina miaka 10, mwanaume amexhepuka miaka 4 ya mwisho, hiyo miaka sita hkuwa anachepuka. Je kwa nini?

Yaani mumeo kuonja nje - na yaeezekana wewe ndio chanzo kwa kuwa hujaeleza madhaigu yako unakimbia mji.

Wanawake wa zama hizi ni legelege sana, tena sana! Yaani inashindwa 'kumtunishia' mwanamke mwenzako na kumtimua
Inawezekana hata huko nyuma alikua mchepukaji mzuri tu sema sikumzingatia!! Usimtetee bana

Kuna muda mapenzi hayalazimishwi .. mwanamke mwenye watoto 3 Huwa haondoki kwake bila sababu boss wangu .

Vipi nimkamate nimpe mingumi??😁😃
 
Wala sijakasirika sema tu punguzeni mazoea

Mume hazoeleki na mume ndio mtoto wa kwanza anapaswa kulelewa

Shida mkizaa tu dishi linahamia kwa watoto mume anasahaulika.!

Usafi unaweza kuta ni changamoto wa mwili hata makazi

Ukute mwanamke dela moja toka mume kaaga anaenda mpaka anarudi bado liko mwili tena ndio anajifanya yupo bize kupika.!

Muwe wasafi na watundu kwa bed

Nb: acheni kuwa wezi wa pesa za familia mwanamke kuweka akiba ambayo mumu hajui ni WIZI
Sawa ila hapo mwisho hapo
Akiba kutoka PESA zipi?
 
Ndoa huiwezi ondoka.

huwezi kuwakomowa watu walio mapenzini kwa zaidi ya miaka minne.

Hao watoto mimi ndio walionifanya mpka nikoment hapa!.

Je una mpango gani wa malezi ya hao watoto baada ya kuondoka hapo???
Mazingira umeyatengeneza au unakurupuka kuondoka???
Hapo unaenda kuumiza viumbe visivyo na hatia.

Achaneni, lipiza kisasi lakini watoto hakikisha umeandaa mustakabali mzuri wa malezi yao...

NB;;
Mumeo ana pesa?? sio za kula na kuvaa!!!! ana miliki pesa nyingi ukwasi??? nijibu hapa nikupe ushauri.
Alikijibu? Na je ulimshauri?
 
Wewe nenda tu utatamani kurudi ila utashindwa.

Mwenzako anayo experience ya muda mrefu wakati wewe unayo ya muda mfupi.... Hicho kibwana kipya kitaku....

Umejiandaaje kuwa mchepuko wa mume wa mtu?
Why mchepuko ..mchepuko.. hivi ukiwa nje ya mfumo ni lazima uchepuke? Kwani lazima kuwa na mwanaume? Hii legacy imekaaje hii ...
 
Kwa muda mrefu nimekuwa nikimuhisi mwanamke mmoja kuwa na mahusiano na MUME wangu kutokana na charting zao ..na ubize WA simu WA MUME wangu..

Wiki iliyopita nikapata nafasi nzuri ya kukagua simu ya Mr hivyo ..nimethibitisha pasi na shaka kuwa wako katika mahusiano kutokana na majina ya kimapenzi wanayoitana,na MAWASILIANO ya mara kwa mara( karibu kila siku wanawasiliana asubuh,mchana Hadi usiku).

Nilichofanya niliscreenshot MESEJI zoote nikajitumia na sikuacha ushahidi wowote kama nilishika simu yake..MAISHA yanaendelea kama kawaida ...

Wote ni waajiriwa..Tuna miaka 10 ya ndoa(tulikubaliana kufunga ndoa ya serikali sisi wenyewe bila kushirikisha wazazi hivyo hata mashahidi hawakuwa ndugu zetu Wala rafiki zetu japo MAHARI ALITOA na taratibu zingine zilifuatwa. Hivyo tukaanza kuishi pamoja ili tukijipata tufunge ndoa ya kanisani) , ..but Hadi leo hatujafanikiwa kuwa na ndoa ya kanisani.

Tuna watoto 4( mmoja WA mama mwingine mkubwa kwa watoto wangu jhakuwahi kunieleza kabla ..niligundua baada ya kuanza kuishi pamoja... lakini MAISHA yaliendelea)

Sikuwa na tabia ya kumchunguza Mume wangu apo mwanzo Kilichonifanya nianze kumchunguza ni mabadiliko ya muda mrefu yaliyopo ndani( miaka kama 4 sasa )dharau ,MAPUUZA, kutokujali mambo..Kuna KIPINDI aliwahi kunipiga,kunifungia mlango nje Tena nikiwa na mtoto mdogo WA miezi(nilimuacha ndani) sikuwahi kusikia neno la Msamaha kutoka kwake aliona sawa tu...bado nilivumilia MAISHA yakaendelea ...ukikosea jambo anakua mkali kupita maelezo Tena kwa maneno makali ya kukera.Mwanzoni nilikua naumia sana na kulia.. badaye nilivyoona ni ujinga kumlilia mtu ambaye haoni thamani ya chozi lako na Wala hawezi kubadilika,na mimi nikaanza kupunguza upendo taratibu kwake nikahamishia mapenzi kwa watoto wangu,kazi na kuanzisha biashara zangu,...

Tendo la ndoa SIJAWAHI kumnyima japo sometimes mood inakata kabisa nikianza kufikiria matukio na kauli zake.. tunaweza kukaa hata wiki hatujagusana ...

Sasa kilichonifanya nije hapa...
Ni hiki.. kwa muda wote huo nilikua natafuta nafasi na chanzo kikuu Cha mabadiliko hayo...Nimeshakipata kama nilivyoeleza huko juu MAHUSIANO na mwanamke mwingine..na ushahidi ninao..

Sitaki kumuuliza WAla kuongea naye chochote juu ya hilo..

Nataka niondoke nikaanzishe MAISHA yangu nimuache na watoto ( kuhusu kuondoka na watoto hapa usinishauri))

....lakini kabla ya kuondoka, nataka AJUE KAMA NIMEJUA USALITI WAKE na nataka ATESEKE KISAIKOLOJIA alipie MAUMIVU yote niliyoyaishi kwa miaka yote hiyo..

Je NITUMIE MBINU GANI?.. Ikiwezekana nipe MBINU ya kumtesa na huyo mwanamke(iwe MENTALLY). Tena ikiwezekana kuwafanya wote wawili kila mmoja kwa wakati wake anipe hela Ndefu afu nijikatae ZANGU lengo ni kuwakomoa tu...wasinisahau..
SIMTAKI TENA!!
Kama kweli unampenda,utamlinda.Wote waliofanya maamuzi kama unayotakankufanya waliishia kujuta.Unachotakiwa ni kutumia huo ushahidi wako kuwaita hao mashahidi wa ndoa yenu,huyo mchepuko na mumeo uwasanue live .Atajirudi na maisha yataendelea.Acha tamaa ya fedha,kuchepuka tuu ndo umkimbie mumeo! Acha mambo hayo wee dada.
 
Back
Top Bottom