Niwafanye nini hawa watu..?

Niwafanye nini hawa watu..?

Wewe ndio una tatozo la kisaikolojia sio tatizo ni tatozo unawaza sana maokoto, leo katika pitapita nikakuta wanawake wenzio wanaongea wanasema kwamba

Mwanaume rijali kibolodinda hawezi kua na Mwanamke mmoja, unaelewa sijui.... Mwanaume rijali hawezi kua na mwanamke mmoja lazima awe na wengine wa kuwatomba wewe ukimletea za kuleta anavusha mwengine anamtomba maisha yanaendelea
😁😁 Kibolodinda
 
Na ukianza tolarate hata kofi kesho anakupiga ngumi ya jicho keshokutwa unakatwa shingo. Vipigo hapana kwakweli. Tena nimependa ujasiri wa dada wa kumuachia watoto nae apambane nao tu, hizi huruma za kusema watoto wataishije sijui watateseka nikiondoka zisisababishe tuwe abused.
Utapigwa utakufa halafu hao watoto unaowawaza utawaacha wanateseka. Utapigwa utapata ulemavu wa kudumu utashindwa kufanya kazi hao watoto watateseka vile vile. Utapata msongo wa mawazo, presha, kisukari,utakufa kabla ya wakati utaacha watoto wanateseka. Kuvumilia unyanyasaji haimaanishi watoto hawatateseka,unaweza kuvumilia unyanyasaji na watoto wakateseka vilevile hasa kihisia na kisaikolojia.Mfano mzuri watoto walioshuhudia mama zao wakipigwa na baba zao wameachiwa majeraha mabaya sana mioyoni mwao.
 
Hizi points zako tuzibold kabisa. Huo uvumilivu wa vipigo mbele ya watoto ndio tunatengeneza kizazi kingine kinachoona kumpiga mwanamke ni sawa yaani kawaida kabisa.
 
Tunazalisha watoto wenye trauma wakati therapy kwa wanasaikolojia ni gharama za juu wengi hatumudu. Mwisho wa siku jamii inajaa watu wakatili.
 
😁 Dah mkuu punguza hasira
Wala sijakasirika sema tu punguzeni mazoea

Mume hazoeleki na mume ndio mtoto wa kwanza anapaswa kulelewa

Shida mkizaa tu dishi linahamia kwa watoto mume anasahaulika.!

Usafi unaweza kuta ni changamoto wa mwili hata makazi

Ukute mwanamke dela moja toka mume kaaga anaenda mpaka anarudi bado liko mwili tena ndio anajifanya yupo bize kupika.!

Muwe wasafi na watundu kwa bed

Nb: acheni kuwa wezi wa pesa za familia mwanamke kuweka akiba ambayo mumu hajui ni WIZI
 
Kilichonisikitisha ni kitendo cha kukupiga na kukulaza nje! Huo ni zaidi ya ushetani! Ushauri wangu ni kwamba huwezi kumkomoa mwanaume kamwe!! Njia pekee labda ya kumfanya aumie ni uolewe na mwanaume atakayekupa maisha mazuri zaidi ya aliyokuwa anakupa yeye! Best revenge is SUCCESS!
 
Wala sijakasirika sema tu punguzeni mazoea

Mume hazoeleki na mume ndio mtoto wa kwanza anapaswa kulelewa

Shida mkizaa tu dishi linahamia kwa watoto mume anasahaulika.!

Usafi unaweza kuta ni changamoto wa mwili hata makazi

Ukute mwanamke dela moja toka mume kaaga anaenda mpaka anarudi bado liko mwili tena ndio anajifanya yupo bize kupika.!

Muwe wasafi na watundu kwa bed

Nb: acheni kuwa wezi wa pesa za familia mwanamke kuweka akiba ambayo mumu hajui ni WIZI
Loooh haya maneno anayaongea mwanaume ambaye hajui heka heka za mtoto, mke wako namuonea huruma niwe mkweli. Zile heka heka za watoto utapata wapi muda wa kukumbuka eti hujabadili dera toka asubuhi??. Ndio maana wanawake huwa tunaambiwa olewa na mwanaume mwenye huruma ambae heka heka za watoto zikifika akikuona hataona mwanamke mchafu bali atamuona mama anayejitoa maisha yake sadaka kwa ajili ya wengine kiasi cha kujisahau yeye mwenyewe.
 
Kweli wa mjini mtoto lainilaini

Na wale wanaoenda shamba kulima huku katoto kananyonya tuwaweke wapi ikiwa we wa mjini unalialia kazi za nyumbani.!

Acheni uvivu.. ndio maana wazazi wanaojielewa wanadeal na watoto wao wa kike mapema sana

Mzazi akikwepa wajibu lazima ukawe kituko unakoenda

Halafu kama una kipato ajiri mtu akusaidie shida nini.?
 
Yaani mwanamke mwenye homoni sahihi ukimbie ndoa kisa mwanamke mwenye kitobo kama wewe amevizia udhaifu wako akakudokolea. Dah!

Yawezekana hata shtaka la kuguswa kakofi kidogo ni kutokana na kufungua mdomo ukidhani kumpayukia mwanaume ndio kumshinda, a masculine man ukimletea kamdomo lazima akuguse kidogo.

Andiko lako lina kasoro nyingi zinazoashiria na wewe kuna sehemu umechangia hayo makosa, ila hauwezi andika hapa.

Ukiona wanandoa wanatembea kwa furaha, huko vyumbani kuna muda kuna filamu ndefu na zenye simanzi.
 
Yaani baadhi ya wanawake bhana .....

Kukacha ndoa, baadaye uwe unati.wa hovyo na waume za watu ndio chaguo sahihi.

Yaani uachie fisi bucha, wewe ukale mizoga iliyojiozea huko msituni ndio ujanja.

Watoto wanapaswa kulelewa kikakamavu kadiri ya jinsi zao, kinyume chake hayo ndio matokeo yake
 
Wanaume tuache kujinyanyua mabega na kujihesabia haki dhidi ya wanawake!

Kwamba mwanaume kaumbiwa tamaa kuchepuka ni sawa ila kwa mwanamke ni uhaini.

Tustuke that's no longer working na tuadjust kuendana na mabadiliko haya ya kijamii yaliyotokea.
Bora useme wewe mwanaume mwenzao, hii dhana ya mwanaume ameumbiwa tamaa itaishia kwa sisi wahenga hawa ndugu wa nyuma yetu moto utawawakia wasipobadili mindset
 
Kweli wa mjini mtoto lainilaini

Na wale wanaoenda shamba kulima huku katoto kananyonya tuwaweke wapi ikiwa we wa mjini unalialia kazi za nyumbani.!

Acheni uvivu.. ndio maana wazazi wanaojielewa wanadeal na watoto wao wa kike mapema sana

Mzazi akikwepa wajibu lazima ukawe kituko unakoenda

Halafu kama una kipato ajiri mtu akusaidie shida nini.?
Mtoto laini wa mjini?? Hao wa vijijini wenye nguvu ndo maana wanakuwaga hoi wamechoshwa na majukumu ya kulea hadi umri na muonekano haviendani, binti anaonekana mzee kisa majukumu yamemzidi, ndiyo hayo maisha unataka tuishi??. Au wakati mwingine mtoto mdogo analelewa na mtoto mdogo mwenzie ili mama afanye kazi nyingine kitu ambacho kinahatarisha usalama wa mtoto. Na unavyosema ajiri mtu kwa ambae hana kipato je??. . Na kazi za nyumbani zinachosha vizuri sana tu kama kazi za kutoka nyumbani so usidharau mtu anayezifanya haijalishi ni msaidizi au ni mama.

Halafu mwanamke kutaka juhudi zake zithaminiwe sio kuonekana kituko, kila binadamu ana haki ya kazi yake kuthaminiwa ipasavyo haijalishi anafanya kazi nyumbani au ofisini. Kama wewe una hayo mawazo ya kumuona kituko mwanamke aliyebeba mimba miezi tisa na kunusurika kufa labour ili wewe uitwe baba nampa pole mwanamke uliyenaye kwenye maisha yako. Hata tumbo la period likiuma sidhani kama unaweza hata kumsogezea kikombe cha maji ya moto apunguze maumivu, utasema mwanamke kulalamika tumbo la period anaonekana kituko😂😂😂😂
 
Bora useme wewe mwanaume mwenzao, hii dhana ya mwanaume ameumbiwa tamaa itaishia kwa sisi wahenga hawa ndugu wa nyuma yetu moto utawawakia wasipobadili mindset
Kabisa mkuu, wanawake siku hizi tunaondokana na dhana ya kuvumilia ujinga,hakuna faida yoyote ya kuvumilia kitu kinachokuumiza,haipo.
 
Yaani mwanamke mwenye homoni sahihi ukimbie ndoa kisa mwanamke mwenye kitobo kama wewe amevizia udhaifu wako akakudokolea. Dah!

Yawezekana hata shtaka la kuguswa kakofi kidogo ni kutokana na kufungua mdomo ukidhani kumpayukia mwanaume ndio kumshinda, a masculine man ukimletea kamdomo lazima akuguse kidogo.

Andiko lako lina kasoro nyingi zinazoashiria na wewe kuna sehemu umechangia hayo makosa, ila hauwezi andika hapa.

Ukiona wanandoa wanatembea kwa furaha, huko vyumbani kuna muda kuna filamu ndefu na zenye simanzi.
A real masculine man hampigi mwanamke,mwanaume kumpiga mwanamke ni dalili ya udhaifu maana anajua mwanamke hana nguvu za kumrudishia. Kama wewe masculine sana kampige mwanaume mwenzio mpambane sio kutafuta uanaume kwa kiumbe amacho hakiwezi kupambana na wewe.
 
Kwa hiyo kwa maelezo ya mtoa mada huyo mumewe anamtunzia heshima?
Sana tu...ila shida ameleta mwanamke baada ya kuanza ufukunyuku kusachi mpaka simu ya mwanaume. Unapoampekua mwenza wako basi uwe tayari umeshafanya maamuzi ya kuachana
Kwa hiyo kwa maelezo ya mtoa mada huyo mumewe anamtunzia heshima?
Najua wanawake wengi mtatoa ushauri wa kimihemko ili kurahisisha hiyo ndoa ivunjike ila najua hamtakuwa tayari kumsaidiabchochote mwenzenu pindi life lake litakapoenda wrong na kupoteza mustakabali mzima wa watoto wake.
 
Kabisa mkuu, wanawake siku hizi tunaondokana na dhana ya kuvumilia ujinga,hakuna faida yoyote ya kuvumilia kitu kinachokuumiza,haipo.
Lau kama mngekuwa mnahudhuria zile kesi za madawati ya jinsia na usuluhishi wa masuala ya ndoa ndio mngekuwa mnajua majuto wanayopitia wanawake waliofosi talaka kwa waume zao.

Huwezi kupata mwanaume malaika katika dunia hii.

Nadhani makungwi na masomo wenu wawekee mafunzo ya kuwakanya kupekuapekua simu za waume zenu...Inaonesha ni jinsi gani hamjiamini.

4 years kama huyo mwanaume angekuwa hampendi au hamtaki mkewe si angemuacha na kumleta mchepuko ndani? Why hajafanya hivyo? Bado anampenda mke wake.

Mchepuko atapita ila mke atabaki.
 
Mkuu mawazo yako ni ya kizamani sana, makungwi wa kizazi hiki sio wale wale wa miaka ile kama wewe ni kijana under 30 na hujaoa bado nakuhurumia kwa hii mindset
 
Back
Top Bottom