Niwafanye nini hawa watu..?

Niwafanye nini hawa watu..?

Hivi kumbe hekima ilikuwa n hii ..... mzee wangu pia alikuwa akirudi safari atatoa taarifa mapema na akija utashangaa katanguliza vitu vyake, hata kama yeye atakuja jioni hiyohiyo 🤔🤔

Nilikuwaga sielewi mchezo kabisa 😂
Kwa kufanya hayo, ilikuwa ni nafasi ya mama kufanya clearance ili kama kuna mambo ya gizani alifanya, anajiweka sawa

Hakuna Mzee wa zamani angerudi nyumbani ghafla pasipo kutanguliza kimzigo/Koti ama chochote

Siku hizi na hizi simu zenu, watu wanakaguana hadi usiku wa manane 🙌

Kuna ndoa itadumu kweli
 
Na wazee wengine walifabya hivyo ili kumuandaa mama ampokee 'vizuri'; mama aweke sawa mji na kuandaa chakula sahihi.

Hata sasa wenye busara hutoa taarifa mapema kila anapokaribia kufika.

Kuna baba mmoja akiwa Kibaha anatoa taarifa, hata kama asubuhi alisema atarudi.
Akifika jirani na nyumbani anaita watoto wachukue vitu na zawadi, yeye anapiga zake vitu na mchemsho; saa nne hivi usiku anaenda nyumani.
 
Ndiyo hivyo Mkuu
 
Atumie mwili wa mwanaume aliyemuumiza??. Hivi mtu akikuumiza unaweza hata kuruhusu akushike mkono? Serious??. Kuna yale makosa madogo madogo ila mtu anipe mateso aliyompa huyu mdada halafu eti mwili wake uwe unanitoa uchovu!!!!.hizo hisia zinatoka wapi???
Unataka umpende mwanaume ndio upate hisia?
Wamekuambia wanataka kupendwa ?
 
Nasoma
 
Attachments

  • 1003345199.jpeg
    1003345199.jpeg
    99.8 KB · Views: 1
Mambwa naona yanatetea mbwa mwenzao.!!

Sikiliza top face, acha mpango wa kujitesa na kutesa watoto, sikiza USIONDOKE..
Inatakiwa umuonjeshe sumu aliyoitengeneza mwenyewe..!!

Kwa mlipofikia mumeo kavuka mstari, Anakupiga, anakutesa, anakusaliti, tendo hakupi kwa wakati na hakuheshimu..!!
Hapo tayari ndoa imekufa imebaki kwenye makaratasi tu!

Cha kufanya

Mtafute boss wake mtege mpaka aingie kwenye mfumo, anza kumpa kei kisha mvuruge avurugike..!! To mbwer kwa raha zako tena gugumia kwa utramu kabisaa..!!

Hapo sasa utalipa kisasi chako vizuriiii You know wara I mean 😹😹

Hao wapuuzi wataishi kama mashetani, unamwambia boss mmoja apangiwe Kagera mwingine Songwe halafu wewe unabaki hapo hapo kwa huyo boya kwenye nyumba yake ukiendelea kulea watoto wako kwa amani na utulivu huku ukila maisha na boss kubwaaa..!!
Mmmh unampoteza mwenzio, akae atulie asianzishe mahusiano mapya. Akifumaniwa yeye do ataonekana tatizo na ndoa yao itaishia hapo.
 
Week tu hamja gusana una lalama!!

Me sijaichapa Toka mwezi March na aibu utaona wewe
 
😁😁😃😃😃😃 Dah nimecheka kwa huzuni!!
Hii Yako ni kubwa sana aseee ..hivi unawajua hao mambwa vizuri
.
Kwanza alivyo na wivu! ..NITAGEUZIWA KIBAO KUWA Mimi NDIYE Malaya mkuu na aibu itakua juu yangu.. alafu wengine uongo hatuwezi NITADAKWA MCHANA KWEUPE! 😂😂
Tuliza kalio bado unampenda huyo mwanaume, subiri akuue na presha au magonjwa au kipigo kabisaaa..!!
 
Ndoa bado ipo avumilie, awe na imani ipo siku mme wake atapigwa tukio na akili itamkaa sawa.
Au sio?
Akae asubiri, na vipi kama hajapigwa tukio?

Na kwa muda gani atamsubiri?
Wakati huo yeye aja zake nani anamtimizia?

Kwa maoni yako akae asubiri kifo chake..!!

Angekua mwanao ungeshauri hivi?

Au ungefanyiwa hivi na mkeo ungevumilia?
 
Kwa taarifa yako wanaume karibia wote tupo kama huyo jamaa Yako, ni vile tu wake zetu hawapekui simu zetu kama wewe na tunawaheshimu. Simu upekue mwenyewe halafu unakuja kulia lia hapa. Elewa tu hakuna mtu anaogopa kuachwa na hakuna mwanaume ataumia kisa wewe mke umekimbia nyumba. Nenda jamaa abaki na watoto awatafutie dada wa Kaz kuwaelea uone kama atakukumbuka wewe maisha haya
 
Back
Top Bottom