Niwaambieni mapema tu nikija kuwa Rais wa Tanzania kwa Tiketi ya Mgombea Binafsi Daraja la 'Tanzanite' nitaamuru libomolewe haraka

Nimetafuta Mantiki ( Logic ) ya Ujenzi wa Daraja hilo mpaka sasa sijaipata sana sana naona 'Maluweluwe' tupu tu.

Nimejaribu Kuzungumza na Wakandarasi na Wahandisi Waandamizi wamesema hilo Daraja ni Kazi bure tu japo 99% walishiriki Kikamilifu katika Mchakato wake mzima mbele ya Hayati Mmoja wa Mwezi Machi na Marehemu mwingine wa Mwezi Juni.

Siku hizi huwa mnasema Sisi (akina GENTAMYCINE) Wapiga 'Kelele' Mitandaoni tukitoa 'Dukuduku' basi tutoe Suluhisho (njia mbadala).

Sasa nami GENTAMYCINE nasema nikibahatika kuwa Rais wa Tanzania kwa Tiketi ya Mgombea Binafsi hilo Daraja naamuru libomolewe kwani kuwepo Kwake hapo kwa mtazamo wangu (ambao naomba Uheshimiwe) ni 'Takataka' ndani ya Bahari.

Nitakachokifanya Mimi nikiwa Rais wa Tanzania ili Kuondoa Foleni Kubwa ya Watu wa Oysterbay, Masaki, Msasani, Kawe, Kunduchi mpaka Ununio na ikiwezekana hadi Bagamoyo kabisa ni Kuuza Madini baadhi na Ndege Mbili ambazo 'zinaduwaa' tu 24/7 pale JNIA kisha nanunua Meli za Mwendokasi kama Nne ambazo zitakuwa zinasafirisha Watu.

Akili Kubwa ambayo kidogo GENTAMYCINE ningeipongeza kwa wenye Dhamana ya Kikatiba ( japo sasa amelala Kimoja ) na Mwenzake (aliyelala nae Juzi kati hapa) ni kama ningesikia linajengwa Daraja refu la kutoka kati ya Bagamoyo hadi Zanzibar au Tanga hadi Zanzibar.

Kwa mtazamo wangu Maamuzi ya Ujenzi huu wa hili Daraja la 'Tanzanite' yalikuwa ni ya 'Kifisadi' zaidi pasipo Uhalisia na Matumizi ya Tija (Faida) kwa Watumiaji wengi na tafadhali Siku zingine tusirudie tena Kufanya Kosa kama hili kwani kwa wenye Akili timamu si tu wanatucheka bali Wanatudharau mno.

Na kabla sijasahau nikiwa Rais wa Tanzania kwa Tiketi ya Mgombea Binafsi GENTAMYCINE sitoishia tu Kuamuru 'Kubomolewa' kwa hilo Daraja la 'Tanzanite' bali pia nitaamuru upesi sana Mji Mkuu wa Tanzania ubadilishwe 'Kisheria' na Dar es Salaam ndiyo uwe Mji Mkuu na siyo huko Kijijini Mkoani Dodoma.

Ukiusoma Uzi huu na ukipandwa na Hasira nao tafadhali nakushauri tu tafuta Sumu ya Panya au ya Kunguni Unywe Ufe kabisa usiendelee Kukereka nami.

Ila nitapambana hadi Tanzania kuwe na Sheria ya Mgombea Binafsi wa Urais ambapo kwa Kipaji changu Kikubwa cha Ushawishi, Mvuto wa Kiuwasilishaji na nilivyobarikiwa na Mwenyezi Mungu 85% ya Watanzania wenye Akili Timamu (ukiachana tu na 15% wenye Uwendawazimu) watanipigia Kura.

Na hatimaye Tanzania itapata bahati nyingine ya Kuongozwa na Mzanaki kutoka Mkoani Mara (Musoma) ambapo najua baadae Watanzania wote mtaniomba niwe Rais wenu wa Milele (Kudumu) kutokana na Uongozi wangu Uliotukuka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cc RRONDO
 
Kuna Tanzanite
Uwanja chato
Dodoma kuitwa jiji
Ilala kuitwa jiji ndani ya Dar
Ununuzi wa ndege
Kununua wapinzani.
Naomba Rais ajaye awe anawasikiliza wataalamu.

Hapo salenda ilikuwa kununua majengo ya watu kisha kujenga interchange kuliko huo ujinga wa daraja la majini.Hata wafadhili huwa wanafaidi kutukopesha kwa ujinga wa mtu mmoja.
True interchange ingesaidia naona foleni itahamia baharini sasa
 
Nimetafuta Mantiki ( Logic ) ya Ujenzi wa Daraja hilo mpaka sasa sijaipata sana sana naona 'Maluweluwe' tupu tu.

Nimejaribu Kuzungumza na Wakandarasi na Wahandisi Waandamizi wamesema hilo Daraja ni Kazi bure tu japo 99% walishiriki Kikamilifu katika Mchakato wake mzima mbele ya Hayati Mmoja wa Mwezi Machi na Marehemu mwingine wa Mwezi Juni.

Siku hizi huwa mnasema Sisi (akina GENTAMYCINE) Wapiga 'Kelele' Mitandaoni tukitoa 'Dukuduku' basi tutoe Suluhisho (njia mbadala).

Sasa nami GENTAMYCINE nasema nikibahatika kuwa Rais wa Tanzania kwa Tiketi ya Mgombea Binafsi hilo Daraja naamuru libomolewe kwani kuwepo Kwake hapo kwa mtazamo wangu (ambao naomba Uheshimiwe) ni 'Takataka' ndani ya Bahari.

Nitakachokifanya Mimi nikiwa Rais wa Tanzania ili Kuondoa Foleni Kubwa ya Watu wa Oysterbay, Masaki, Msasani, Kawe, Kunduchi mpaka Ununio na ikiwezekana hadi Bagamoyo kabisa ni Kuuza Madini baadhi na Ndege Mbili ambazo 'zinaduwaa' tu 24/7 pale JNIA kisha nanunua Meli za Mwendokasi kama Nne ambazo zitakuwa zinasafirisha Watu.

Akili Kubwa ambayo kidogo GENTAMYCINE ningeipongeza kwa wenye Dhamana ya Kikatiba ( japo sasa amelala Kimoja ) na Mwenzake (aliyelala nae Juzi kati hapa) ni kama ningesikia linajengwa Daraja refu la kutoka kati ya Bagamoyo hadi Zanzibar au Tanga hadi Zanzibar.

Kwa mtazamo wangu Maamuzi ya Ujenzi huu wa hili Daraja la 'Tanzanite' yalikuwa ni ya 'Kifisadi' zaidi pasipo Uhalisia na Matumizi ya Tija (Faida) kwa Watumiaji wengi na tafadhali Siku zingine tusirudie tena Kufanya Kosa kama hili kwani kwa wenye Akili timamu si tu wanatucheka bali Wanatudharau mno.

Na kabla sijasahau nikiwa Rais wa Tanzania kwa Tiketi ya Mgombea Binafsi GENTAMYCINE sitoishia tu Kuamuru 'Kubomolewa' kwa hilo Daraja la 'Tanzanite' bali pia nitaamuru upesi sana Mji Mkuu wa Tanzania ubadilishwe 'Kisheria' na Dar es Salaam ndiyo uwe Mji Mkuu na siyo huko Kijijini Mkoani Dodoma.

Ukiusoma Uzi huu na ukipandwa na Hasira nao tafadhali nakushauri tu tafuta Sumu ya Panya au ya Kunguni Unywe Ufe kabisa usiendelee Kukereka nami.

Ila nitapambana hadi Tanzania kuwe na Sheria ya Mgombea Binafsi wa Urais ambapo kwa Kipaji changu Kikubwa cha Ushawishi, Mvuto wa Kiuwasilishaji na nilivyobarikiwa na Mwenyezi Mungu 85% ya Watanzania wenye Akili Timamu (ukiachana tu na 15% wenye Uwendawazimu) watanipigia Kura.

Na hatimaye Tanzania itapata bahati nyingine ya Kuongozwa na Mzanaki kutoka Mkoani Mara (Musoma) ambapo najua baadae Watanzania wote mtaniomba niwe Rais wenu wa Milele (Kudumu) kutokana na Uongozi wangu Uliotukuka.
Shida yetu wabongo ni wabinafsi mno, hii miundombinu usiyoona faida zake ,watakaokuja kuziona ni wajukuu zetu , hata huko Ulaya na Marekani ile miund mbinu mnayoenda kushangaa imejengwa zaidi ya kane moja na ushee iliyopita,wale wenzetu hawakusema hawaoni faida ya kujenga madaraja kama yale ya Brooklyn au kujenga reli za chini ya ardhi n.k. Kama wewe huoni faida wengine watakuja kuiona hiyo faida tatizo letu sisi pamoja na viongozi wetu hatuna vision bali tunajiangalia wenyewe.
 
Nakubaliana na wewe kwa kiasi fulani ingawaje suala lenyewe wengi hawajui kwamba limeingiliwa na AID POLITICS!
Daraja hili la TANZANITE kwa kweli ni misplaced AID toka serikali ya Korea Kusini.

Historia ya mradi wa hilo daraja ni kwamaba nasikia kuwa S. Korea yenyewe ilitaka mradi spectacular unoweza kuonekana Jijini na kutangaza jina la nchi yao.
Ikumbukwe kuwa S. Korea ilishatoa msaada wa daraja katika mto Malagarasi, daraja zuri tu, lakini liko porini huko.
Hivyo wakaomba kufadhili mradi unaoonekna hapa mjin DSM.

Wataalam wetu walitaka ipanuliwe Salender Bridge , lakini hapo ndo AID POLITICS zikaingia maana ,daraja la sasa limejengwa na japani, na isingekuwa vizuri kumfunika Mjapani katika iradi yake.
Ndipo ilipobuniwa hiyo route y baharini.
(hii ni kadri ya ka mbu kangu, kanakosikilizia)

Sasa madhara ya daraja hili la TANZANITE ni makubwa sana
MOJA, Eneo linapopita kule Oystrbay kutaharibika kwa kuelekeza traffic sehemu za kupumzika wazito. Hata thamani ya nyumba pale itapungua. Karibu na sehemu ya Oysterbay daraja linapotua kuna residence za balozi kadhaa, itabidi wahame!

PILI, huku hospitali kutulivu, Agha Khan, magari mengi na kelele karibu na hospiali.

TATU Traffic kubwa ya kutoka sehemu nyingine itaelekezwa kwenye hili draja, hivyo watu toka Kinondoni, Mikocheni, Mwananyamala, Msasani na hata wanaotka mbali watakwepa Ali Hassan Mwinyi Rd na kwenda kule. Hivyo eneo lote la Oysterbay litakuwa na high traffic counts.

NNE , was it worth it?
Hivi wahandisi wetu Wizara ya Ujenzi na TANROADS, waleshindwa kupata routes zingine ku decongest daraja la Salender. Kwa mfano daraja lindine toka Kinondoni kupitia Hananasif?

Kimsingi nakubaliana na hoja!
Huwa napenda sana 'technical analysis' kama hii yako Mkuu. Hakika umetiririka vizuri na nimekuelewa vyema huku nikiwa nimejifunza Vitu fulani fulani. Asante...!!!!
 
Huenda ni kweli kwamba hakukuwa na sababu ya kujenga daraja...

Lakini hilo la kusema barabara za kule gari ni chache ni uongo...

Ali Hassan Mwinyi Rd ndio barabara pekee inayoingiza magari wilaya ya Ilala/CBD kwa upande wa mashariki wa Dar...

Hiyo barabara kwa kiasi kikubwa imelemewa na ni muda mchache sana katika siku huwa inakuwa wazi (mchana katikati na usiku kuanzia saa 3 hivi)...

Njia ya haraka kupunguza foleni za kuelekea Posta ilikuwa ni kuhamisha maofisi makubwa na kuya allocate sehemu tofauti tofauti...yaani kuwa na CBDs tofauti tofauti...
Asante kwa Uchambuzi wako mzuri Mkuu.
 
Mtu anapo toa mada, asihukumiwe kwa mawazo yake. Saa nyingine naona Kama ni chuki binafsi au ufinyu wa akili, kwa mtu msomi anayesoma Sana vitabu n.k, hawezi kusema mtoa mada kaandika maneno mengi hivyo ni jobless. Si kweli...

Watu wa namna hii ata katika vitabu vya dini Kama Biblia, upenda kusoma kamstali kamoja tu paspo kusoma chapter nzima na kuelewa lengo la mwandishi.

Endelea kutupa habari
Asante Mkuu kwa Ushauri wako na wala Usijali kwani GENTAMYCINE najua sababu Kubwa ya Kuchukiwa ni kwa 'Baraka' za Kipekee nilizonazo ambazo Mwenyezi Mungu 'amenikarimu' nazo huku akiwa amewanyima Wao Watesi ( Critics ) wangu.
 
Kuna siku anaamka huna cha kupost ila unaokoteza tu.

Tafadhari bana.. utashusha heshima yako humu.
Heshima yangu hapa JamiiForums ingekuwa inashuka ningekuwa nafuatiliwa na Wengi 24/7 huku idadi ya 'Followers' wangu ikiongezeka? Tafadhali sijakulazimisha Unifuatilie halafu nilipojiunga hapa JamiiForums nilikuambia kuwa nataka Heshima kutoka Kwako au kwa Wengine?

Hivi ukishakuwa *Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer " kama GENTAMYCINE bado unahitaji Kulazimisha Heshima au 'automatically' tu Unaheshimika?

Kumbe nikiwadharau huwa sikosei sana.
 
Hatutarudia Tena kosa kumpa nchi mrwanda au mburundi tulijifunza kwa mwendazake wewe Kila siku unamsifia PAKA na unyarwanda wako halafu tukupe nchi never.
 
Daraj la Tanzanite limemeza ndoto za Kizazi kijacho kwa maaana kwamba BAHARI YA HINDI ingeweza kutambaaa kupitia Mto Msimbazi kupita Magomeni, Kigogo, Tabata, Vingunguti mpaka ikafika mpaka Pugu Mnadani.

Kupanua Mlango wa Mto Msimbazi ili kuruhusu Maji ya Bahari kutokea Surrender Bridge ingekuwa na gharama kubwa lkn ingekuwa na Faida mara mil.1 ukilinganisha na Tanzanite.

Na Jiji la Daaslam lingepata mvuto wa Kipekeee, Mafuriko ya Kila mwaka Pale Jangwani, Kigogo nk yangeisha, Shida ya Usafiri maeneo ya Tabata, Buguruni nk ingeisha maaana tungepiga Boti, Maeneo ya Utaliii yangeongezeka maaana ungeza Kuta Beach pale Vingunguti machinjioni nk.

Anyway bado tuko Dunia ya Tatu na akili zetu zinaona ya Dunia ya 1.
 
Nadhani mtoa mada unakosa utaalamu wa mipango miji na jinsi ulimwengu unavyokwendna na maswala ya tabia nchi. Hivi unafikiriu siku Dar ikimezwa na bahari kama New Orlens ilivyomezwa na Katrina, daraja la zamani la Salender litabaki? au magogoni patakuwa salama? Labda ungejiuliza Dar ina kina gani kulinganisha na usawa wa bahari kupata picha kamili.
Kweli kabisa, daraja la Salender halitabaki. Lakini kabla halijabomoka hilo la Tanzanite litakuwa katika hali gani?
 
Nimetafuta Mantiki ( Logic ) ya Ujenzi wa Daraja hilo mpaka sasa sijaipata sana sana naona 'Maluweluwe' tupu tu.

Nimejaribu Kuzungumza na Wakandarasi na Wahandisi Waandamizi wamesema hilo Daraja ni Kazi bure tu japo 99% walishiriki Kikamilifu katika Mchakato wake mzima mbele ya Hayati Mmoja wa Mwezi Machi na Marehemu mwingine wa Mwezi Juni.

Siku hizi huwa mnasema Sisi (akina GENTAMYCINE) Wapiga 'Kelele' Mitandaoni tukitoa 'Dukuduku' basi tutoe Suluhisho (njia mbadala).

Sasa nami GENTAMYCINE nasema nikibahatika kuwa Rais wa Tanzania kwa Tiketi ya Mgombea Binafsi hilo Daraja naamuru libomolewe kwani kuwepo Kwake hapo kwa mtazamo wangu (ambao naomba Uheshimiwe) ni 'Takataka' ndani ya Bahari.

Nitakachokifanya Mimi nikiwa Rais wa Tanzania ili Kuondoa Foleni Kubwa ya Watu wa Oysterbay, Masaki, Msasani, Kawe, Kunduchi mpaka Ununio na ikiwezekana hadi Bagamoyo kabisa ni Kuuza Madini baadhi na Ndege Mbili ambazo 'zinaduwaa' tu 24/7 pale JNIA kisha nanunua Meli za Mwendokasi kama Nne ambazo zitakuwa zinasafirisha Watu.

Akili Kubwa ambayo kidogo GENTAMYCINE ningeipongeza kwa wenye Dhamana ya Kikatiba ( japo sasa amelala Kimoja ) na Mwenzake (aliyelala nae Juzi kati hapa) ni kama ningesikia linajengwa Daraja refu la kutoka kati ya Bagamoyo hadi Zanzibar au Tanga hadi Zanzibar.

Kwa mtazamo wangu Maamuzi ya Ujenzi huu wa hili Daraja la 'Tanzanite' yalikuwa ni ya 'Kifisadi' zaidi pasipo Uhalisia na Matumizi ya Tija (Faida) kwa Watumiaji wengi na tafadhali Siku zingine tusirudie tena Kufanya Kosa kama hili kwani kwa wenye Akili timamu si tu wanatucheka bali Wanatudharau mno.

Na kabla sijasahau nikiwa Rais wa Tanzania kwa Tiketi ya Mgombea Binafsi GENTAMYCINE sitoishia tu Kuamuru 'Kubomolewa' kwa hilo Daraja la 'Tanzanite' bali pia nitaamuru upesi sana Mji Mkuu wa Tanzania ubadilishwe 'Kisheria' na Dar es Salaam ndiyo uwe Mji Mkuu na siyo huko Kijijini Mkoani Dodoma.

Ukiusoma Uzi huu na ukipandwa na Hasira nao tafadhali nakushauri tu tafuta Sumu ya Panya au ya Kunguni Unywe Ufe kabisa usiendelee Kukereka nami.

Ila nitapambana hadi Tanzania kuwe na Sheria ya Mgombea Binafsi wa Urais ambapo kwa Kipaji changu Kikubwa cha Ushawishi, Mvuto wa Kiuwasilishaji na nilivyobarikiwa na Mwenyezi Mungu 85% ya Watanzania wenye Akili Timamu (ukiachana tu na 15% wenye Uwendawazimu) watanipigia Kura.

Na hatimaye Tanzania itapata bahati nyingine ya Kuongozwa na Mzanaki kutoka Mkoani Mara (Musoma) ambapo najua baadae Watanzania wote mtaniomba niwe Rais wenu wa Milele (Kudumu) kutokana na Uongozi wangu Uliotukuka.
Tatizo ni kwamba hiyo asilimia 85 ya wenye akili timamu Tanzania inaweza ikawa ni 5 % ya Watanzania.
 
Back
Top Bottom