Niulize swali lolote kuhusu wanawake

Niulize swali lolote kuhusu wanawake

Miss chagga yuko wapi?
Nimeona leo nitoe muda wangu kidogo ili tuweze kusaidiana. Mungu akikupa elimu na maarifa bora kushare na wengine.

Napenda kukaribisha swali lolote lile kuhusu wanawake. Uliza swali lolote kuhusu hali mbali mbali za wanawake, mfano kutoa harufu na uchafu sehemu za siri, kuhisi maumivu wakati wa tendo la ndoa, mzunguko wa hedhi, kushindwa kufika kileleni, kukosa hamu ya tendo la ndoa , matiti kutoa maziwa wakati hanyonyeshi nk,nk.

Karibu, uwanja ni wako. DM iko wazi kwa mtu anayetaka usiri.
 
Hivi mwanamke anataka nini?
Tumejaribu pesa, kuwazalisha,mapenzi lkn bado hawana raha. Wanataka nini hawa wadudu ?
Jambo la kwanza la muhimu unalopaswa kujiuliza ni kwamba huyo mwanamke uliyekuwa nae umeridhika kuwa, anakuelewa anaamini hata kidogo unachompatia?
Jambo la pili, Je unaonyesha kuwa umpenda, una mheshimu??
Jiulize?
 
Hivi mwanamke anataka nini?
Tumejaribu pesa, kuwazalisha,mapenzi lkn bado hawana raha. Wanataka nini hawa wadudu ?
Ungeedit kidogo hiyo comment yako ukaweka neno hata hawa warembo?? Inawezekana umekuwa ukitumia maneno kama haya, ukitumia maneno kama haya hata kama unawapa bilion utawaona watu wa ajabu. Kwa sababu yanaonyesha kutomheshimu
 
Nina maswali mawili
1;mwanamke akikeketwa huwa hafiki kileleni?
2;ni kila bawda ya muda gani mwanamke anapata hamu ya juu ya kugegedwa?
Mm nilikuwa nae aliye keketwa alikuwa anafika kileleni na pia alipenda sana dushe karibia kila cku akiutaka
 
Screenshot_2017-08-19-11-23-36-1.png

Kile kitabu cha namna ya kuwaelewa wanawake kimetoka.
 
Back
Top Bottom