Niulize swali lolote kuhusu wanawake

Niulize swali lolote kuhusu wanawake

Mara nyingi tatizo hili husababisha na matatizo ya kisaikolojia. Ugomvi, stress, uzazi, depression mara chache inatokana na matatizo ya homoni na maumivu


hivi inakuwaje unakosa kbs hamu ya dudu tena ukifanya unajikuta unachubuka tu..lakini kwingine hamu daily😶 .ni kujitune au?
 
Il
Nimeona leo nitoe muda wangu kidogo ili tuweze kusaidiana. Mungu akikupa elimu na maarifa bora kushare na wengine.

Napenda kukaribisha swali lolote lile kuhusu wanawake. Uliza swali lolote kuhusu hali mbali mbali za wanawake, mfano kutoa harufu na uchafu sehemu za siri, kuhisi maumivu wakati wa tendo la ndoa, mzunguko wa hedhi, kushindwa kufika kileleni, kukosa hamu ya tendo la ndoa , matiti kutoa maziwa wakati hanyonyeshi nk,nk.

Karibu, uwanja ni wako. DM iko wazi kwa mtu anayetaka usiri.[/QUO1
During sexual activity,nmeona baadhi ya wadada kuna fluid fluid flani hiv ambazo znakuwa kama povu oovu huwa zinatokaaa lakini kwa wengine wengi wengi hivi sijawahi kuona hiyo kitu despite the fact yakufka kileleni,,yanii wanamwaga na kufka kileleni lakin hawatoi hayooo mapovu povuuu,,,je haya mapovuu ni nini hasa mm huwa siyakubali wala nini coz kuna X flani hivi duuuu ndio kayajaza kama yoteeee,,,alafuuu they look lyk meupeee meupeeee,,msaada mkuuu,,,nielezeee vizuri kuhusu haya mapovuuu?
 
Najibu kufuatia na mie ni ke..hapa inategemea na saikolojia ya mwanamke amejiandaaje... kama ana stress kazima umsaidie kumuweka sawa
Kuna mambo mengi sana ambayo yanaathiri, lakini muhimu ni utayari wa mwanamke na ufundi wa mwanaume. Bila mwanamke kuwa tayari utakesha unasugua
 
Back
Top Bottom