Niulize swali lolote kuhusu wanawake

Niulize swali lolote kuhusu wanawake

Kuna point za mwanzo umejibu mwanamke eti hajawahi Kuwa bora tangu kuumbwa ulimwengu sijui dhaifu na ukitumia had bible kufanya justification zako kuhalalisha mawazo ya kiuoga ya wanaume wengi especially wa ki Africa. Hayo maumbile sio udhaifu ni biological makeup ni sawa na udogo wa chura uite udhaifu. Hafu huna tofauti na wa Saudi a Arabia wanaume wa naongelea mambo ya wanawake huku wakiwa wanaume hicho si kituko
Msingi wa swali lake alitaka kumjua "ideal woman". mwanamke bora. Na ndio maana nilimwambia hakuna ideal woman. Nafikiri kuna kitu umekimiss. Na sio kutaka kuundermine mwanamke bali mwanaume aelewe kwamba hawezi kupata mwanamke aliyekamilika kwa kila kitu. Kama ambavyo hajawahi kuwepo mwanaume bora
 
But the way you answered mhhhhhh. Chini ya jua no one is perfect kabisa au aliye kamili so stop labelling us as weak vile mliaminishwa kuanzia kwenye maandiko

Hamna cha ugynaecologist hapo mengi chaka Kuwa mtaalamu haimaanishi utajua experience ya wanawake. Mie mwenyewe naweza kusoma nikajua kuhusu wanaume Ila nikiuliza utamu muupatao wakati wa bao nami nielezee siwezi nitakuwa nadaganya kabisa
Hahaha labda anayejibu ni gynaecologist
 
Hamna cha ugynaecologist hapo mengi chaka Kuwa mtaalamu haimaanishi utajua experience ya wanawake. Mie mwenyewe naweza kusoma nikajua kuhusu wanaume Ila nikiuliza utamu muupatao wakati wa bao nami nielezee siwezi nitakuwa nadaganya kabisa
Ishia hapo hapo usiende mbele kuhusu utamu wetu utuache kidogo
 
But the way you answered mhhhhhh. Chini ya jua no one is perfect kabisa au aliye kamili so stop labelling us as weak vile mliaminishwa kuanzia kwenye maandiko
Kwaiyo una pinga maandiko!!?
kila Mtu ana mapungufu yake!
Me Mzee wangu aliwahi kuniambia usigombane na Mwana mke wakati mwingine anaweza kukujibu vibaya sababu yupo kwenye siku zake!!
Sijuwi zaidi juu ya hili Mzee naye aliniongopea au!?
 
Mleta mada, Kwanini wasagaji wameongezeka siku hizi?
Kuna sababu nyingi sana moja ni kwamba uwazi umekuwa mkubwa sana na uhuru wa watu kujieleza. So people are coming out
Pili kumekuwepo na movement nyingi za kutetea LGBT
Tatu, wakati huu culture inakalibia kufuse. Kwa hiyo watu wamekuwa wakiiga mambo
Nne, Kumekuwepo na kulegea kwa malezi katika familia nyingi
 
But the way you answered mhhhhhh. Chini ya jua no one is perfect kabisa au aliye kamili so stop labelling us as weak vile mliaminishwa kuanzia kwenye maandiko
Wewe hauamini maandiko mkuu?
 
Wewe hauamini maandiko mkuu?
Naamini Ila mengi yaliandikwa na wanaume so walitia chumvi kumuonea mwanamke maana zamani wanawake hawakua na haki popote. Ndo maana Yesu alipopelekewa yule mwanamke kahaba kwa uzinzi wampige mawe pekee akawaambia asiye na dhambi awe wa kwanza kumpiga mawe. Ndo uone uonevu sasa
 
Back
Top Bottom