Niulize swali lolote kuhusu wanawake

Niulize swali lolote kuhusu wanawake

Asante kwa jibu zuri,naomba kujua kinachosababisha mwanamke kutokwa na harufu mbaya ukeni nini?maana hiyo harufu hata uoge vipi haiishi,je tiba yake nini?
Kuna harufu tofauti tofauti na zote zinasababisha na maambukizi. Harufu hiyo haishi kwa kuoga au pafyumu. Lazima kutumia antibiotics
 
Mkuu mimi swali langu ni moja tu

Iv yale maji wanayorushaga (squirt) yanatokeaga wapi je sio kwenye kibovu?

maana mm kwa mara ya kwanza nilihisi nimerushiwa kojo na nilimind kweli.
😂😂😂😂kuwa na men mshamba km ww dah..hahaha alafu ni kibofu sio kibovu..hatuna ubovu ss tuna kibofu😋😋😊😊
 
huu hzi ht kwa wanawake ambao hawajesx kitambo unaweza jikuta unakuwa wet ghafla😢😢😢
images(1).jpg

Tutateleza kama nyoka pangoni hakuna shida endelea kuwa wet!
 
Back
Top Bottom