Niulize swali lolote kuhusu Pemba na Wapemba

Niulize swali lolote kuhusu Pemba na Wapemba

Mambo yafuatayo yanawafanya wapemba kuonekana wanapenda siasa.

Kuonekana wachawi.

Wanazaa sana.

Wabaguzi.

Wachafu.

Hawajengi kwao.

Hizi ni propaganda za kupindukia.Ni wapemba asilimia kubwa ndio wana mashirikiano na pande zote Tanzania.
Wapemba wameshika Dini na uchawi kwa kiwango kinachotajwa si kweli.
Miundo mbinu ilicheleweshwa sana,Kiasi mpaka miaka hii ya 2000s walitumia generators na barabara mbovu na finyu.Wanabaguliwa pakubwa kwenye kazi kiasi cha kua wajiri wa taasisi za serikali hukimbilia zaidi cheti cha kuzaliwa hata kabla kukagua certificates za masomo.Suala la uchafu si kweli mana maambukizi ya kipindu pindu yapo chini.Kuhusu kuzaa sana ,Tanzania nzima ilikua ina tatizo hili kabla(ndio mana kukawa na taasisi nyingi zinazo endesha mpango wa uzazi wa mpango )mbona haziku dominant Pemba tu?.
Wameonekana ni wapinzani wakubwa ni kwa sababu tu hii ndio njia halali ya kutumia demokrasia kudai mabadiliko ya kiuchumi na kueleza mawazo mbadala.

unataka kutwambia sifa hizo zipo ARUSHA??
 
Hayo maeneo ya pwani wakazi wake wengi ni wavuvi..wavuvi huvua usiku na kumpumzika mchana kisha jioni hufunga safari tena kwenda kuvua..kwa hiyo hili swala la kupumzika mchana linatafsiriwa kama uvuvi kimakosa...ukienda hata pale feri utakuta mpaka saa 4 mkojani/ mpemba keshafunga biashara yake na kurudi nyumbani kupumzika..sasa wewe ukimkuta amekaa nje na msuli wake huku pembeni yupo na mkewe basi una conclude kwamba ni wavivu na wanafanya mapenzi muda wa kazi!!!..kwa hiyo usiwe judgemental kwenye suala hilo..wapemba na watu wengine toka pwani si wavivu ndio maana wanajitosheleza kwa chakula na huwezi kuta omba omba mpemba..note mimi sio mpemba!

Aliletwa bwana mmoja mbara kama mkuuwa wilaya, akalazimisha lazima kila mtu awe na hekari 5 za mashamba, akaambiwa sisi tunavua usiku na mchana huku kulima itawezekana vipi??? akapambana na diwani wake wa ccm kwelikweli akamwambia nenda kwenu bara ukawaambie walime kisha walete huku sisi tutanunua.
 
Mimi niseme majungu yananguvu siku zote kuliko ukweli, Ukweli hakuna Wapemba wachafu, Lakini pia hawapendi kuvaa suti, ili umuone Mpemba amekuwa smart mpaka avae kimini? Swala la kunguni lilikuwepo miaka hiyo ambayo umaskini ulikuwa juu tofauti na sio sasahivi na jamii nyingine walikuwa wanalala na ngombe na mbuzi kwenye mabanda kama wanyama.

kulala na ng'ombe na mbuzi hadi leo bara watu wanalala nao hata kuku vitandani wanalala. mm niliwahi kwa sehemu moja kibondo mpakani kabisa huko tunapiga kazi, weeeee unakuta mtu analala na kuku kama viroboto.
 
View attachment 366523 View attachment 366523
Nimeamua kuja hapa rasmi kuizungumzia hali ya Kisiwa cha Pemba kimazingira, Uchumi,Afya,elimu, utamaduni na watu wake. Nimezaliwa Pemba eneo moja la kaskazini mwa kisiwa hiki chenye urefu wa wastani wa kilomita 95, Ni kisiwa chenye amani iliyorithiwa na sio ya woga. Watu wake ni wakarimu sana, lakini sio watu wanaopenda kuendeleza elimu kama msingi wa maisha yao. Hususani ni kipindi hicho ambacho tulikua tukisoma sisi sasa hivi ni tofauti kidogo zaidi kwa watoto wa kiume. Kwa upande wa watoto wa kike wazee hawaweki kipaumbele cha elimu.

Pemba imejigawa Miji mikuu 3, mizuri sana yenye huduma zote za jamii inayojitosheleza. Miji hii imejigawa na nikutoka kilomita 18 hadi mji mwingine. kwakua Miji hii imejigawa unaweza ukifika ukasema Pemba hakuna Maendeleo lakin Maendeleo yapo sababu kuu ya kutoyaona maendeleo hayo ni kila Mji na watu wake na Mambo yakeView attachment 366635 .View attachment 366631 View attachment 366632View attachment 366634 Bahari ya Pemba ni Blue yenye beach nzuri sana, ikiwa ina navisiwa vidogo vidogo ndani yake.

Idadi ya Watu wa Pemba kwenye sensa ya mwaka 2012 ni 406,808 ingawa wengi kipindi kile hawakujiandikisha.
View attachment 366728 View attachment 366729 View attachment 366730 View attachment 366731 View attachment 366732

Nimejifunza mengi sana katika maisha yangu ninayoishi pemba, kwakua nakielewa kisiwa hiki utandu na ukoko vizuri sana kuanzia ncha ya kusini mwa kisiwa mpaka kaskazini mwa kisiwa. Nimevutiwa kuweka bayana hapa kuhusu Hali yote ya pemba kwa sababu:

Nimepata changamoto nyingi niliposafiri sehemu tofauti watu wengi wana shauku ya kuijua Pemba na wapemba wakoje, wengi wanawaona wapemba kama hawasomeki au hawaeleweki, wengi wanawaona wapemba wana msimamo si watu wa kuyumba, wachawi ni watu wa kujituma.Wabaguzi hawapendi kujichanganya na wengine.

Nina majibu ya kutosha kuhusu hayo hapo kwa ufupi, ninapenda ukiwa na chochote ambacho umewahi kusikia kuhusu Pemba au kukukutokea niulize, nitajibu majibu yasiyopendelea upande wa kwetu au kujinasibu kwa majibu ya kejeli kwa wengine. nimeishi na watu tofauti nimesoma mazingira na tabia za watu wengi sana.View attachment 366637 View attachment 366639
Nipo na rafiki yangu hapa, anauliza kuna machangu huko?
 
Nipo na rafiki yangu hapa, anauliza kuna machangu huko?

Pemba hiyo biashara haijawahi kuweko na haitotokea kuwepo hata siku moja. Ukija Pemba kama kivazi chako hakiko rasmi ukitembea huwezi kunyanyua uso ukaangalia watu. Na inabidi ubadilike tuu.
 
Wale wapemba weupe kama waarabu wanapatikana sehemu gani? Hapo pemba nataka nije kuowa huko nasikia bila milioni hupati mke na vip tabia zao wanawake wa kipemba? Majbu plz

hawapigwi kama ngoma
hawalimi kama trekta
hawawezi kupka ugali 20kg kwa siku
magovi mwiko kwao
 
Hayo marashi ya Pemba yakoje mkuu! Maana niliwahi kupanda meli ya unguja na wapemba lakini walikuwa hawanukii
 
Kwanini PEMBA ni washika dini sana.. ila ukienda Zanzibar unakuta kuna asilimia kubwa sana ya mashoga'tena ni vijana wadogo saana???
 
Kwa nini wapemba na waunguja hawana maelewano mazuri, na mpemba kuoa muunguja ni bora akaoe mkurya kwa nini???
 
Kwa nini wapemba na waunguja hawana maelewano mazuri, na mpemba kuoa muunguja ni bora akaoe mkurya kwa nini???

Mara nyingine hata ndugu huwa hawana maelewano mazuri na hii inaweza kutokea mmoja akiwa na kipato zaidi na wengine ni hahe hohe, Lazima yatakuwepo maneno ya chini chini hi ni kawaida, ndio kama Wazanzibar.
 
Kwanini PEMBA ni washika dini sana.. ila ukienda Zanzibar unakuta kuna asilimia kubwa sana ya mashoga'tena ni vijana wadogo saana???

Dini imeshikwa Kweli na Wapemba na sio utani, hili la ushoga ni mapenzi ya mtu.
 
Back
Top Bottom