Niulize swali lolote kuhusu Pemba na Wapemba

Una maanisha nini? hebu elekeza vizuri kwakua Pemba sio Tumbatu?

Eti mkuu Pemba ccm haipo kabisa? Ila kuna rafiki yangu alinichekesha eti ukiwa ng'ambo ya kisiwa ukabanwa mkojo unaweza kutimua mbio kwenda kukojoa ng'ambo ya pili ya kisiwa kwa vile ni chembamba sana!
 
SIAMINI YANAYOZUNGUMZWA NENDA KARIAKOO UJUE WAPEMBA NI WACHAPAKAZI MAGOROFA MENGI NI YA WAPEMBA WAMEPENYA HADI KUSIKOFIKIKA WAKITAFUTA MAISHA NAFIKIRI WEWE UNACHEMBE YA CHUKI TAJA MATAJIRI WAKUBWA TZ UTAONA WAISLAMU NI NANE NA UTAJIRI WAO HAUKUSHUKA WAMEFANYA KAZI
Hii ni hasara ya kukurupuka, soma uelewe na kama hujaelewa unaweza omba nikueleweshe.
 
Eti mkuu Pemba ccm haipo kabisa? Ila kuna rafiki yangu alinichekesha eti ukiwa ng'ambo ya kisiwa ukabanwa mkojo unaweza kutimua mbio kwenda kukojoa ng'ambo ya pili ya kisiwa kwa vile ni chembamba sana!

Mkuu CCM Pemba wapo ila sio wengi na baadhi ni hawa 10940419_822479347809673_8362356221214514020_n.jpgHapa ni mji wa Wete, na hili la kubanwa na mkojo ni kweli vipo visiwa ni vidogo sana na wanaishiwa watu.
 
Mambo yafuatayo yanawafanya wapemba kuonekana wanapenda siasa.

Kuonekana wachawi.

Wanazaa sana.

Wabaguzi.

Wachafu.

Hawajengi kwao.

Hizi ni propaganda za kupindukia.Ni wapemba asilimia kubwa ndio wana mashirikiano na pande zote Tanzania.
Wapemba wameshika Dini na uchawi kwa kiwango kinachotajwa si kweli.
Miundo mbinu ilicheleweshwa sana,Kiasi mpaka miaka hii ya 2000s walitumia generators na barabara mbovu na finyu.Wanabaguliwa pakubwa kwenye kazi kiasi cha kua wajiri wa taasisi za serikali hukimbilia zaidi cheti cha kuzaliwa hata kabla kukagua certificates za masomo.Suala la uchafu si kweli mana maambukizi ya kipindu pindu yapo chini.Kuhusu kuzaa sana ,Tanzania nzima ilikua ina tatizo hili kabla(ndio mana kukawa na taasisi nyingi zinazo endesha mpango wa uzazi wa mpango )mbona haziku dominant Pemba tu?.
Wameonekana ni wapinzani wakubwa ni kwa sababu tu hii ndio njia halali ya kutumia demokrasia kudai mabadiliko ya kiuchumi na kueleza mawazo mbadala.
Swala la wapemba na uchafu mimi naweza lisemea,
Yupo patron wa chuo kimoja alishawahi niambia ukiona room flani inasumbuliwa sana na kunguni ujue aidha kuna wapemba humo ama walishawahi kuishi humo.
Pia wapemba kwasababu zao za ubaguzi ilipelekea mpaka ndani ya chuo kukawa na mtaa unaitwa mtaa wa pemba kwasababu walipenda kukaa hapo na kujisomea wao kwa wao.
Hivyo mimi binafsi nimeweza kushuhudia kwa macho ama masikio yangu
 
Mimi niseme majungu yananguvu siku zote kuliko ukweli, Ukweli hakuna Wapemba wachafu, Lakini pia hawapendi kuvaa suti, ili umuone Mpemba amekuwa smart mpaka avae kimini? Swala la kunguni lilikuwepo miaka hiyo ambayo umaskini ulikuwa juu tofauti na sio sasahivi na jamii nyingine walikuwa wanalala na ngombe na mbuzi kwenye mabanda kama wanyama.
 
uvivu ndio unachangia sana watu kuzaa ovyo hususani mikoa ya pwani uzaliana sana na ndio mikoa inayoongoza kwa uvivu..naomba unijibu ili swali mtu mwenye upungufu wa nguvu za kiume ana uwezo kurutubisha yai?
Kuzaa sana hakuna uhusiano na uvivu bali ni aina ya maisha na vyakula vinavyoliwa. Wapemba ni wachacharikaji sana na hawabagui mahala. Mimi niliwahi kwenda sehemu inaitwa Inyonga[mpanda] nikawakuta huko. Ila kwa Pemba ninadhani kati ya visiwa hivi viwili, pemba wanakula vyakula vya asili sana [udongo wao ni mzuri sana] mboga yao kuu ni samaki na kwa asili mafuta yao makuu[kupikia] ni nazi. Wataalam wa lishe wanasema watu wanaokula vyakula vya aina hii wanakuwa na afya bora ya akili na mwili. Hivyo kuzaa sana maana yake ni kwamba risasi zao zimejaa zinc,calcium,iron,iodine na zote ni muhimu sana kwa afya.
 
Mimi niseme majungu yananguvu siku zote kuliko ukweli, Ukweli hakuna Wapemba wachafu, Lakini pia hawapendi kuvaa suti, ili umuone Mpemba amekuwa smart mpaka avae kimini? Swala la kunguni lilikuwepo miaka hiyo ambayo umaskini ulikuwa juu tofauti na sio sasahivi na jamii nyingine walikuwa wanalala na ngombe na mbuzi kwenye mabanda kama wanyama.
Asante kwa majibu yoote mazuri kuhusu Pemba. Binafsi sijawahi kufika visiwa hivi zaidi ya kutua uwanja wa Ndege Karume Zanzibar japo sikushuka.

Kwa ufupi sana baada kufuatilia kwa ukaribu mjadala huu, nilijifunza kuwa kisiwa hiki kina historia nzuri sana, Wapemba ni wachapakazi, wamoja na Ndio maana mnakataa kwa umoja wenu na kwa nguvu zote udhalimu wa serikali ya ccm.

Mwisho nimeipenda sana jinsi unavyojibu issues kwa umakini na kwa uelewa mkubwa hata zile zinazo kera na kuudhi !

Mpemba karibu sana Arusha, hata Mimi pia ni maarufu hapa Arusha kuliko LEMA.
 
Ahsante kwa kupita kwako hapa hata kwa salamu, Umenifurahisha ulivomalizia, inshallah nitakuja Arusha lakini sio kipindi hiki cha baridi.
 
nawapenda wapemba kwa mambo yafuatayo-
1-ukarimu
2-mademu wazuri
3-msimamo
4-ni wepesi kusema NO
wanapokandamizwa..huwezi kuwanyanyasa wakakupigia makofi
5-hata ukiwanyima ajira serikalini hawawezi kua ombaomba,wanajua kuitafuta hela
6-wanauwezo wa kuteka maeneo ya maadui kibiashara bila wenyewe kushituka
LAKINI..
nawachukia kwa yafuatayo..
1-uchawi
2-kuthamini imani za waarabu kupitiliza
 
WEWE UKO FAIR MKUU
 
Shukrani Mkuu, Ahsante sana kwa kuwa muwazi hujamungunya maneno, na mimi nakupongeza kwa hilo. Hizi sifa 6 zitozitolea tena ufafanuzi na nimeona umezielewa vizuri lakini hizi 2 za chuki kwakua Mungu anatukataza kuchukiana nitakujibu, lakini kama utanipa ushahidi wa uchawi ambao umeuona dhahiri au kufanyiwa na Mpemba utanisaidia sana kukuelewesha, na tuwe wakweli kwakua wengi wanaolalamika Wapemba ni wachawi ni wale waliojaribu kuwafanyia vitu vibaya Wapemba wakapata majibu wasiyoyategemea. Hili la waarabu sijui niseme imani yao ni ipi manake waarabu wana imani tofauti.
 
naomba nifafanue..
yasemekana makao makuu ya wachawi, Ging'ingi yapo huko..
 
Kuzaa sana hakuna uhusiano na uvivu bali ni aina ya maisha na vyakula vinavyoliwa. Wapemba ni wachacharikaji sana na hawabagui mahala. Mimi niliwahi kwenda sehemu inaitwa Inyonga[mpanda] nikawakuta huko. Ila kwa Pemba ninadhani kati ya visiwa hivi viwili, pemba wanakula vyakula vya asili sana [udongo wao ni mzuri sana] mboga yao kuu ni samaki na kwa asili mafuta yao makuu[kupikia] ni nazi. Wataalam wa lishe wanasema watu wanaokula vyakula vya aina hii wanakuwa na afya bora ya akili na mwili. Hivyo kuzaa sana maana yake ni kwamba risasi zao zimejaa zinc,calcium,iron,iodine na zote ni muhimu sana kwa afya.
Jibu zur sana na laiti wangekazana kusoma tanzania one wangetoka huko
 
naomba nifafanue..
yasemekana makao makuu ya wachawi, Ging'ingi yapo huko..

Ok ni kweli Giningi Ipo mkoani kusini mwa kisiwa cha pemba na sehemu ambayo ina mikorosho midogomidogo, hii sehemu iko mbali na kijiji na ukipita kama vile kuna watu wanaisafisha kila siku kakua hauwezi kukuta majani chini ya miti. niliwahi kufika hapa, lakini nikwambie tuu kutokana na hadithi za wazee wa hapa maeneo ya Giningi wanasema enzi hizo zimepita na kwa sasa kilichobaki ni eneo tuu. Uchawi ulikuwepo enzi hizo.
 
Ni wabaguzi sana! hasa kwenye ukabila, dini na pia tofauti ya kisiasa. Toufauti ya kisiasa naelewa lakini tatizo imepitiliza kupita kiasi mpaka kwenye misiba na huduma za kijamii. CUF hawashiriki kwenye misiba ya mtu yeyote wa Chukua Chako Mapema. Wiki iliyopita kuna kijana kafiwa na mama yake kijana ni CUF mama alikuwa Chukua Chako Mapema hakuna alieshiriki hata marafiki zake wa karibu. Katika mfungo wa ramadhani kuna shehe aliomba wafuate watoe huduma za kijamii kwa wana Chukua Chako Mapema lakini waliambizana tusimsikilize huyu sisi tukusikilize viongozi wa chama.

Mimi naona si hasa inarudisha maendeleo sana ya Pemba.
 
Wako Poaa lakini dada zao hawataki tuwaoe

Kuhusu suala la kuoa na kuolewa na Mpemba sio kama hawataki na kama wapo wanaokataa basi watakua wanapingana na Mungu, kuna masharti kwenye ndoa ya dini yetu ya Kiislamu ni lazima kwanza yatangulizwe hayo kabla ya kuanza shughuli yote ya ndoa.

1:Uwe Muislamu
2:Ujulikane Ukoo wako

Haya masharti ndio yanayowasaidia Wapemba mpaka leo ukawaona ni watu wenye Imani, nidhamu,Uaminifu heshima na Mpemba yoyote akizaa ana hofu na kizazi chake kisije kikabadilika. Nikwambie tuu hata huku Pemba ikiwa utaonekana imetokea ukoo hauko vizuri basi ndoa hiyo haiwezi kuwepo. na sio kwamba wanabaguliwa baadhi ya watu fulani.
 
Jibu zur sana na laiti wangekazana kusoma tanzania one wangetoka huko
Ukilinganisha wasomi kati ya visiwa vya unguja na pemba kwa wapemba ni wengi zaidi.
Kama kuanzia 1964 elimu kuanzia primary hadi sekondary ni bure na ni kinyume cha sheria kwa mzazi kutompeleka mtoto shule. Ninashangaa mnapoamini kuwa watu wa pemba hawana elimu. Ratio wise watu wa visiwa vya unguja na pemba wamesoma zaidi ya bara kwani huku kwetu kuanzia mwaka huu elimu ya sekondary ndiyo imekuwa bure wakati wenzetu imekuwa hivyo kwa miaka mingi tu.
 
Ni wabaguzi sana! hasa kwenye ukabila, dini na pia tofauti ya kisiasa. Toufauti ya kisiasa naelewa lakini tatizo imepitiliza kupita kiasi mpaka kwenye misiba na huduma za kijamii. CUF hawashiriki kwenye misiba ya mtu yeyote wa Chukua Chako Mapema. Wiki iliyopita kuna kijana kafiwa na mama yake kijana ni CUF mama alikuwa Chukua Chako Mapema hakuna alieshiriki hata marafiki zake wa karibu. Katika mfungo wa ramadhani kuna shehe aliomba wafuate watoe huduma za kijamii kwa wana Chukua Chako Mapema lakini waliambizana tusimsikilize huyu sisi tukusikilize viongozi wa chama.

Mimi naona si hasa inarudisha maendeleo sana ya Pemba.
Watu wanaona hivyo kwa vile idadi ya wapemba ni kama laki nne hivi lakini hata huku kwetu siasa imeleta ubaguzi mkubwa ila haionekani kwa vile nchi hii ni kubwa sana na lau tungekuwa kama pemba basi ingeonekana.
 
Kuhusu suala la kuoa na kuolewa na Mpemba sio kama hawataki na kama wapo wanaokataa basi watakua wanapingana na Mungu, kuna masharti kwenye ndoa ya dini yetu ya Kiislamu ni lazima kwanza yatangulizwe hayo kabla ya kuanza shughuli yote ya ndoa.

1:Uwe Muislamu
2:Ujulikane Ukoo wako

Haya masharti ndio yanayowasaidia Wapemba mpaka leo ukawaona ni watu wenye Imani, nidhamu,Uaminifu heshima na Mpemba yoyote akizaa ana hofu na kizazi chake kisije kikabadilika. Nikwambie tuu hata huku Pemba ikiwa utaonekana imetokea ukoo hauko vizuri basi ndoa hiyo haiwezi kuwepo. na sio kwamba wanabaguliwa baadhi ya watu fulani.
KUNTU
 
Back
Top Bottom