Tour De France
JF-Expert Member
- Jun 12, 2014
- 313
- 275
nikupe mfano mdogo tu baba yupo nyumba hana kazi yoyote amekaa tu unategemea nini zaidi? lazima akili ita-focus kwenye ngoni tu?
Nimekaa mikoa yote ya pwani na ninaifahamu vizuri sana ni wavivu kupindukia na wanapenda sana ngono kuliko kazi,vile vile kumbuka ukiwa mtu wa kazi hauwezi kuwaza ngono kila muda tofauti ukiwa hauna kazi.
Lakini kidoogo labda asili yao ya dini ndio vinavyowafanya wazaliane kwa wingi
Hayo maeneo ya pwani wakazi wake wengi ni wavuvi..wavuvi huvua usiku na kumpumzika mchana kisha jioni hufunga safari tena kwenda kuvua..kwa hiyo hili swala la kupumzika mchana linatafsiriwa kama uvuvi kimakosa...ukienda hata pale feri utakuta mpaka saa 4 mkojani/ mpemba keshafunga biashara yake na kurudi nyumbani kupumzika..sasa wewe ukimkuta amekaa nje na msuli wake huku pembeni yupo na mkewe basi una conclude kwamba ni wavivu na wanafanya mapenzi muda wa kazi!!!..kwa hiyo usiwe judgemental kwenye suala hilo..wapemba na watu wengine toka pwani si wavivu ndio maana wanajitosheleza kwa chakula na huwezi kuta omba omba mpemba..note mimi sio mpemba!