Niulize swali lolote kuhusu Anatomy

Sidhani mzee..Anatomy basic tu ukiijua Physiology unasoma fresh tu..na wakati wa kusoma physiology muda mwingine ndo unaielewa na anatomy vizuri.

Mimi physiology nilikuwa nateleza tu,ila anatomy ile kukariri kariri ilikuwa inashosha aisee..
Ni sahihi mkuu,masomo yanategemeana sana huko.

Anatomy unakuja kusoma physilogy yake.

Pathology unaisoma anatomy ambayo tayari ina disease yake
AU physiology ambayo haiko sawa.

Ila nawaheshimu sana watu wa medicine aisee.
 
Nasikia kuna jamaa alipata Penile Fracture wakati wa kujamiiana na mwanamke mwenye makalio makubwa.

Unalizungumziaje hili suala muanzisha uzi
Ni kweli penile# inatokea though sio mara nyingi sana,na ili iweze kutokea ni lazima penis muda huo iwe imesimama kisawasawa, uume ambao haujasimama hauwezi kupata fracture.
Kinachotokea ni kwamba mtu anapokuwa yupo kwenye erection kuna sehemu za penis huwa zinajaa damu kama sponge flani hivi,sasa ikitokea wakati wa kusex uume ukapindishwa kwa nguvu let's say labda kwa staili ile ya woman on top,akaikalia penis vibaya na ikapinda inaweza kusababisha kupasuka au kuachia kidogo kwa hizo sponge either moja au zote,hiyo ndio tunaiita penile #,ni tofauti na # nyingine sababu penis haina mfupa!
 
Mkuu sijui ni nne ya mada au la..nina gonjwa lilinipata sijajua mpk leo ni ni ugonjwa gn..NILIUMWA SÌKU 2 MFULULIZO ,JOINT ZOTE ZA MWILI WANGU ZILIFAIL KUFUNCTION..KUTWA NIPO KITANDANI NIMELALA CHALI..ILA SIKU YA TATU NIKAWA SAWA..Unahisi ni nini mkuu?
 
Zilifeli ku function kwamba zilikuwa zinauma au zilikosa nguvu
 
Zilifeli ku function kwamba zilikuwa zinauma au zilikosa nguvu
Mkuu zilikosa nguvu completely..mkuu kwa mfano nkijitahd kutikisa hata kidole tu nashindwa..na nikilala mlalo mmoja mda mrefu naumia sana..Aisee..kna mdau nlimuuliza akanijibu arthritis.
 
(A)Cranial nerve

Ooh -olfactory
Ooh -optic
Ooh -oculomotor
To - Trigeminal
touch- trochlear
And -Abducent
Feel -Facial
A - Auditory/Vestibulocochlear
Girls- Glossopharyngeal
Vest -Vagus
Aahgh- Accessory
Heaven -Hypoglossal
meza hapo hiyo mnemonic.

2..Ni trigeminal sababu ina three branches.
3 MIXED.
Cranial nerve functions mnemonic "Some says mary money but my brother said big breats matters most"

S=Sensory
B=Both motor and Sensory
M=Motor

4.ORIGIN.
Trigeminal nerve ndiyo Cranial nerve pekee ambayo inatoka kwenye pons,asilimia kubwa zinatokea kwenye ponto-medulally junction au na baadhi above pons.

5. TEST
Unaweza uka test sensations au jaw jerk reflex kumbuka its both motor and Sensory nerve.

Sent from my Huawei mate 9
Shukrani sana chief.
 
Mkuu zilikosa nguvu completely..mkuu kwa mfano nkijitahd kutikisa hata kidole tu nashindwa..na nikilala mlalo mmoja mda mrefu naumia sana..Aisee..kna mdau nlimuuliza akanijibu arthritis.
Kutokana na maelezo yako though siwezi kuthibitisha kwa hapa ila nadhani ulipata shida moja inaitwa Periodic paralysis,hii inatokea maramoja na pia husababishwa na sababu mbalimbali ila nadhani hii yako ilitokana na kushuka kwa kiwango cha potassium mwilini either baada ya kufanya shughuli ngumu sana au Sababu nyingine mbalimbali.
Shida hii huwa haikawii kuisha huchukua masaa au siku kadhaa na mgonjwa hurudi kwenye hali yake ya kawaida kabisa.
 
Duh Mkuu km ulikuwepo hii ilianza baada ya jioni kufanya mazoezi ya nguvu tna Sana..Ndo ikanipata hii hali..nikadhani ni malaria.
 
Back
Top Bottom