safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,169
- 15,851
Ni sahihi mkuu,masomo yanategemeana sana huko.Sidhani mzee..Anatomy basic tu ukiijua Physiology unasoma fresh tu..na wakati wa kusoma physiology muda mwingine ndo unaielewa na anatomy vizuri.
Mimi physiology nilikuwa nateleza tu,ila anatomy ile kukariri kariri ilikuwa inashosha aisee..
Anatomy unakuja kusoma physilogy yake.
Pathology unaisoma anatomy ambayo tayari ina disease yake
AU physiology ambayo haiko sawa.
Ila nawaheshimu sana watu wa medicine aisee.