Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,106
Me ckumic wala nini, mtu mwenyewe huonekani, natania wee, nimekumic kweli wangu, vp maisha, yako poa au?
Ntaonekana soon.. Just wait. Hawajambo L, L, na S?
Me ckumic wala nini, mtu mwenyewe huonekani, natania wee, nimekumic kweli wangu, vp maisha, yako poa au?
Karibu mwaya, ukija nitakupikia mapure, L, L na E sio S, hawajambo wanakusalimu.Ntaonekana soon.. Just wait. Hawajambo L, L, na S?
Ulishawahi kutoa namba yako ya 07!
Karibu mwaya, ukija nitakupikia mapure, L, L na E sio S, hawajambo wanakusalimu.
napita tu..
nimekutafuta kumbe ulipita huku
uje home nina maongezi na ww!
nakusubiri bas!
nishafika..uko wap?
Afu jana niliku dipu hukupiga
nilikua tyt na manoah..si wajua tena