Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
nawewe unapenda mda wote tukae ndani, sawa hamna tatizo mpenzi wangu!
nataka tu kukaa ndani leo
nataka tu kukaa ndani leo
sor!twende kanisani muda ushafika!
nataka tu kukaa ndani leo
na mimi eti dear...!?
nawewe unapenda mda wote tukae ndani, sawa hamna tatizo mpenzi wangu!
kila kitu kinaenda sawa...jiweke mkao wa kuidhinisha tu
ah ah! Utaishia kusikia sauti nyororo ya mahaba akitoa my mpenzi mimisa
Afu nimekutana na yule mwalimu wako wa pale DIT anauliza eti utaenda lini ku clear sup zako..., au ndo umekubali yaishe
Tafuta kabisa dawa za presha
Hivi kithembe kimekuandha lini???
athante mwaya. Nimekumith
Huyu jamaa namshangaa, anajidanganya kuwa yeye ndo the choosen one, khaa....! Bongo hii
Hivi unajua unaongea na mmoja wa wasimamizi wa ndoa zenu hapa CC.....:A S 39::A S 39:
hahaaaa!haya nauniambieShhhiiiiiiii, twende PM tukalonge.
Hapa watoto bado hawajalala.
Mbona umeniacha nazubaa mwenyewe PM? Acha masihara bana.hahaaaa!haya nauniambie
kwa siri nakuskiliza!