Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
ha ha ha ha..kakimbia?
loya alisepa
sasa hvi anakula mema ya nchi
nampenda sana!
ha ha ha ha..kakimbia?
Una mwangalia mimisa wewe ukiwa kama nani kwake?
pole best yangu!
yana mwisho lkn!
punguza ukali
mnaweza kua wawili
na kusiwe na shida!
Yana mwisho lakini hapa naona manoah kakomaa kwelikweli, sikati tamaa
Futa kauli yako haraka sana shemeji yangu kama hutaki kunitibua!
kwani si ushauri tu
kuliko mgombane?haya nimefuta kauli!
mapenzi yetu sie sio ya ku share shemeji yangu mimisa ana moyo mmoja na mie nina moyo mmoja
labda Andindilile awe kifungoni
ila kama yupo huru unalo!
Andindilile wake pekee
mapenzi yetu sie sio ya ku share shemeji yangu mimisa ana moyo mmoja na mie nina moyo mmoja
aaah wapi..? Ule uliompa Maureen ni wa nani? Acha uongo bhana
aaah wapi..? Ule uliompa Maureen ni wa nani? Acha uongo bhana
labda Andindilile awe kifungoni
ila kama yupo huru unalo!