Andindilile
JF-Expert Member
- Dec 22, 2012
- 289
- 145
yesuruuu!shem kuna maureen tena
ila si ulishammwaga?hiyo haihusiani na mke mwenzangu
wa sasa! Andindilile anataka kuvuruga tu!
lov u more manoah
Mmmmh....!!
umeona eee!
Andindilile una mawazo gani kichwani mwako?
Mmmmh....!!
anawamudu..alafu wote wanaonekana wameridhia na kuridhika kabisa
ni mawazo basi?? Ni mapendo yananyonga kumwoyo
c kuna limbwata ya njegere?
we unadhani bure
loya wangu alishtuka akajiengua mapema!
ni mawazo basi?? Ni mapendo yananyonga kumwoyo