Mkuu hongera kwa elimu uliyoamua kutupa bure
Ila mimi mkuu ninashida sana kwnye mwili wangu yapata miezi 10 sasa nina joto lisilo kwisha, ulimi unachemka, kizungu zungu kisichoisha, mikono na miguu inawaka moto, vitu vinayembea mwilini kma mdudu, nineshapima vipimo kama vyote kam
HIV
SUKARI
FIGO
INI/ HEPATATIS PANEL
UA
ECG/ NEUROPATHY
FULL BLOOD PICTURE
VDRL
BP
MRI BRAIN
Lakini vyote viko sawa sina shida yyte
Ila bdo maumivu nayasikia pale pale nimeshakula antiobitics nying lakin wapi
Sasa sijui hpo utanishauri nn mkuu cha kufanya tafadhali