Niulize chochote kuhusu vipimo vya Maabara za Afya

Niulize chochote kuhusu vipimo vya Maabara za Afya

mkuu hapo kitaalam hiyo naweza kuiita "competence assesment", ni katika kuhakikisha kua huyo mpimaji je anajua anachokifanya!?.

nimewahi kushuhudia na kuletewa sampuli ya mtori badala ya sampuli ya haja kubwa (mtu aliekua anaharisha) .. hiyo sampuli ilipimwa na watu wa4 kuna ambao hatukuona kitu ila wenzetu wawili kila mtu akasema kaona mnyoo ilhali hakuna kitu, kwahyo hicho ni kama kipimo cha kujua mtaalam je anajua au anabahatisha!?... ila pia sishauri sana kuwajaribu jaribu wataalam maana moja ya vitu ambavyo vinakufanya upate matibabu bora ni kuwaamini wanaokuhudumia.

mfano: ulisema umewahi kuweka chai kwenye kichupa ukampelekea mtaalamu apime, tuseme hyo chai ni nyeusi, yy akianza kuexamine sampuli atanote kuanzia rangi hadi anamalizia kwenye kuuangalia kwa microscope.. sasa kama ulipeleka chai akaona weusi ina maana ata report black urine ambayo daktari wako ataihusisha na homa ya manjano, huoni ww mgonjwa itakucost!?. kwakua umepeleka sampuli sio.
Kijana unaonekana upo vizuri mno kwenye fani yako. Hongera sana.
 
Back
Top Bottom