Maabara Mkononi
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 537
- 659
- Thread starter
- #21
mkuu kipimo cha FBP=Full Blood Picture ni kipimo ambacho kinaonesha idadi ya seli zilizopo kwenye damu na wingi wa damu(Haemoglobin-HB)..Kipimo cha FBP kina saidia kujua Magonjwa gani?
sasa unapopata infection ya aina yoyote hizi cell hua zinaongezeka na kupungua, kulingana na infection uliyo nayo pia kama ukipungukiwa damu kwa namna yoyte ile.
hivyo kupitia hiki kipimo daktari wako anaweza kujua nini hasa ni tatizo kulingana na seli zilivokaa kuongezeka/kupungua au kama ziko sawa..