naam mkuu!. Hapo mrdt wametumia (1&2) kama symbols zinazomaanisha
1-plasmodium falciparum(pf)
2-plasm. ovale,malarie na vivax(pan)
kama kutakua na reaction katika 1 huwezi kureport 1 bali utareport POSITIVE pf ila kama kuna reaction kote 1&2 unareport POSITIVE PAN & PF.. na kama kuna reaction kwenye 2 unareport POSITIVE PAN. . na binafsi sijawahi kuona wanaoreport malaria 1 au 2 kulingana na majibu yaliyotolewa na mrdt,.. kuna mdau nadhani kashasema kua huwezi ku quantify kwa mrdt, ila ni qualitative kwa maana ya positive na negative tu.
ukichunguz majibu yanayoonesha kua malaria moja au mbili utagundua yameandikwa kwa mfumo wa 1mps/200wbcs n.k ambayo ni majibu ya kipimo cha malaria blood slide!.