Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

kelphin

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2019
Posts
10,434
Reaction score
17,203
Ikiwa inakusumbua,ikiwa unataka kufahamu chochote kinachokutatiza.

Karibu
images.jpg

Nieleze kidogo kuhusu subwoofer
Je, unataka kununua, basi zingatia haya.

Zipo za aina mbili old model na digital. Siyo majina hapana ,yaani inaweza kua rising,seapiano,codjec,aborder au vyovyote Ila itakua digital au old model.

Hizo digital ni Aina ya subwoofer ambayo inamuundo wakisasa ,mala nyingi utakuta Ina (nob) kivingilisho Cha sauti kimoja tu.

Ila kinafanya multipurpose, ukibonyeza hyo hiyo nob unaweza ongeza sauti ,kuongeza bass, na mid.
kifupi mambo yote ni in one button.

Faida yake ni kuwa, aina ya power supply yake Ni ilitaka ifanane na ya home theater(Ila haijawahi[emoji2inakua na umeme mnyoofu kidogo.

Zinakua na music mkubwa na mdundo zaidi ni digital,yaani yakisasa,
lakini pia display yake ni LCD haitumii umeme mwingi.

Je utaijuaje?
Nob ya kuongezea sauti ni moja tu na zaidi utakuta button za menu na input inategemeana). Ukiigeuza nyuma ina kiplastic kidogo kilichozungushwa nati, yaani ikiwa italeta shida fundi huku nyuma hafungui mfuniko wote wa nyuma, hufungua ki plastic tu hapo nyuma ndio kimebeba card zoote na subwoofer.

Hasara zake
  1. Ikitokea imeharibu card yake hauwez kubadilisha ,sababu ndani Ina circuit Kama ya phone mafundi weeengi hawana(hatuna) technology yakuitengeneza kwahyo unaenda dukani unanunua Tena kard na si chini ya 40000.
  2. Ila ukifika unaipachika tu huangaiki.
  3. Inahitaji utulie ili uioperate maana inatumia single nob.
  4. Speaker yake ya bass huwekwa ohms ndogo ili idunde sana kwahiyo usipende kuweka sauti kubwa Sana kwa muda mrefu.

Aina ya pili ndio zile old model
Hizo zinaitwa dunda udundavyo ni nzuri kwenye uzuri wake. Yenyewe ukiingalia utakuta Ina nob yaani vile vyakuongezea sauti zaidi ya kimoja. Yaani cha master volume, bass, tweeter na mic, na ukivizungusha vinafika mwisho.

Yenyewe ndani power supply yake ni ya kawaida, inatumia mtransformer wake na diodes za kawaida. kisha umeme huingia kwenye capacitor ndio unaanza kusambazwa ndani. Yaweza kuwa Seapiano, Codjec Aborder au vyovyote. Ukiigeuza nyuma mfuniko wote unafunguka wa nyuma.

Faida yake
  1. ikizingua unaiweza kuirekebisha kiurahisi tu
  2. Zinavumilia sana
  3. Hata muziki upo pia
  4. Rahisi kuitumia
Hasara zake
  1. Display yake ni VFD kama ni seapiano hapa mbele inakioo,inavyoimba Kuna vitu vinacheza cheza kwenye kioo(hii ni kwa baadhi ya subwoofer)
  2. Muonekano wake ni wakizamani ikilinganishwa na hizi mpya

Soma hi pia
Ndani ya subwoofer panya hupenda kuishi humo, huzaliana na kuleta hitilafu kwa kukata nyaya na kula speaker.
Waya wa speaker una chumvi chumvi hivyo akiingia hauachi.

Simple way jinsi ya kudhibiti
Pale kwenye tobo kuna ki corn cha duara huwa wanakipachika unaweza kukitoa kwa kufuata mpangilio ufuatao:

  1. Chukua maji ya moto kidogo na kitambaa, kichovye kitambaa kwenye maji kisha kikande kuzunguka mduara kwa dakika tano.
  2. Kisha chukua kisu, tumia ncha yake kuingiza pembezoni mwa mduara bila kuikwajua. Huku ukiinua kidogo kidogo kuzunguka corn nzima,ukisha kitoa kitoboe vitundu vidogo kukizunguka upande wa ndani(sio Huku uliko Kanda kwa maji).
  3. Ukisha kitoa chukua waya mgumu usuke upande wa ndani kuzunguka uwazi wa duara wote mule ulimotoboa, kisuke hakikisha unaacha vyumba vidogovidogo kiasi kwamba kinaweza kupita kidore kidogo tu.
  4. Paka gundi upande wa ndani, huku ulikokua unakanda na maji kisha kibandike tena kama kilivyokuwa.

NB: Hii ni kwazile subwoofer kama pichani hapo juu, ambazo hutolea upepo pembeni kwenye kiduara. Wale zinazotolea mbele chini ni habari nyingine.

***
Kiasi chake mtanielewaView attachment 1560194View attachment 1560195

Some updates,
Je, music system yako haina bluetooth na unataka kuongezea? Easy sana na inawezekana pia, kwa mafundi ninaweza kuwaelekeza.

Lakini pia music system yako ulipenda itoe mp5, yaani picture, video inawezekana pia.
Hususani wale wenye TV za kizamani yaani unachomeka flash disk yako kwenye subwoofer, unapata mdundo alafu kuna cable itatoka kwenye subwoofer hadi kwenye TV yako.

Stay here.
More good things are here.
Welcome.

View attachment 1921368
View attachment 1921369
 
Nilinunua active subwoofer AR M-10 inch 10, carpeted boom box ndani imejaradiwa manyoya, 4ohms, 40-200hz frequence nk. nadhan mnaona hzo frequence kwa mpenda bass deep haitosh nikaingia sokon ili kuboresha bass nikamenya equalizer ya mzk wa gari yny option ya output subwoofer inayoshuka frequence mpk 20hz nikaifunga aisee yan bass naweka sauti robo tu panachafuka htr one day nlisogea mpk nusu mpk box la spka likawa linatembea ndani kshndo kzto sn, hii equalizer ina option nzuri sn kwa mid na trebble nimepanga kumenya booster ya gari na spka kali za sony na twitter nifunge kwny equalizer ili niwe nachanganya viungo vyote. karibuni kwa maswali maoni na ushauri..
 
Picha iko wapi mkuu vp kuhusu gharama mpk kula dundo hilo
 
Weka picha tujifunze kwa kuona
 
Picha iko wapi mkuu vp kuhusu gharama mpk kula dundo hilo
active subwoofer bei 200,000 power supply 50,000 ampia 15, specifications za sub ni carpeted boom box, magnet 20 oz, voice coil KVS 1.5 4LAYES, frequence resp.40-200hz, 4omhs, sensitivity 90db/mw.
Equalizer ni ya boschmann band 7 ina option ya subwoofer out yny SUB GAIN, frequence resp 20 - 150hz, ina output ya rear na front speaker inachuja hatari sana....BEI YAKE 100,000 - 120,000 inategemea uko wp ila haivuki hapo.
 
Asante kwa ufafanuzi mkuu picha ingependeza zaidi
 
Hivi unaweza kudesgn soundbar kwa kuiongezea bass, mfano bar ni wireless harafu bass ni inch 6 ukaweka inc 10 na ika connet
 
Hivi unaweza kudesgn soundbar kwa kuiongezea bass, mfano bar ni wireless harafu bass ni inch 6 ukaweka inc 10 na ika connet
Suala sio ukubwa wa spika hata uweke inc 12 kwanza itategea uwezo wa amplifier ya soundbar, pili frequence respond ya sound bar, tatu ni spika yenyewe, ohms zake vs ohms za amplifier ya sound bar, narated power ya spika
 
45 Hz - 16 KHz frequency, ohms ya speaker kipengele
 
45 Hz - 16 KHz frequency, ohms ya speaker kipengele
Kwa hizo frequency kupata bass nzito sahau ,walau hata ingekuwa 30hrz ,hiyo hata seapiano anamkalisha. Hata ingekuwa bass ya 200w kwa hizo freq, ikkutana na bass ya 100w ya 20 hrz, hiyo watt 100 inamkalisha vzuri tu.Hizo n freq ni za mid na high, uza iyo hombo,hapo hupati bass mpaka upandishe sauti juu,unakuwakama unatumia mzki wa full range
 
Ikiwa home theater Samsung haisomi USB inaandika error.

Je inasababishwa na nn? Na inawezekana kutengeneza li isome USB?
Soma menu yake ina uwezo wa kusoma file fomat gani. Pia ina uwezo wakufungua file folder kwa kiwango gani,jeninaweza kufungua file within file au mpaka nyimbo ziwe open ndio inaweza kucheza?
 
Mwanzo ilikuwa ikiplay USB lakini sasa haisomi tena.

Je natakiwa nifanye nn icheze?
Au naweza badilisha mfumo mwingine wa USB?
 
Kwa hizo frequency kupata bass nzito sahau ,walau hata ingekuwa 30hrz ,hiyo hata seapiano anamkalisha. Hata ingekuwa bass ya 200w kwa hizo freq, ikkutana na bass ya 100w ya 20 hrz, hiyo watt 100 inamkalisha vzuri tu.Hizo n freq ni za mid na high, uza iyo hombo,hapo hupati bass mpaka upandishe sauti juu,unakuwakama unatumia mzki wa full range
30 Hz - 20 KHz, Je hizi frequency deep na punch bass inakuwepo au miyeyusho tena
 
Back
Top Bottom