Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

kelphin

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2019
Posts
10,515
Reaction score
17,439
Ikiwa inakusumbua,ikiwa unataka kufahamu chochote kinachokutatiza.

Karibu
images.jpg

Nieleze kidogo kuhusu subwoofer
Je, unataka kununua, basi zingatia haya.

Zipo za aina mbili old model na digital. Siyo majina hapana ,yaani inaweza kua rising,seapiano,codjec,aborder au vyovyote Ila itakua digital au old model.

Hizo digital ni Aina ya subwoofer ambayo inamuundo wakisasa ,mala nyingi utakuta Ina (nob) kivingilisho Cha sauti kimoja tu.

Ila kinafanya multipurpose, ukibonyeza hyo hiyo nob unaweza ongeza sauti ,kuongeza bass, na mid.
kifupi mambo yote ni in one button.

Faida yake ni kuwa, aina ya power supply yake Ni ilitaka ifanane na ya home theater(Ila haijawahi[emoji2][emoji2inakua na umeme mnyoofu kidogo.

Zinakua na music mkubwa na mdundo zaidi ni digital,yaani yakisasa,
lakini pia display yake ni LCD haitumii umeme mwingi.

Je utaijuaje?
Nob ya kuongezea sauti ni moja tu na zaidi utakuta button za menu na input inategemeana). Ukiigeuza nyuma ina kiplastic kidogo kilichozungushwa nati, yaani ikiwa italeta shida fundi huku nyuma hafungui mfuniko wote wa nyuma, hufungua ki plastic tu hapo nyuma ndio kimebeba card zoote na subwoofer.

Hasara zake
  1. Ikitokea imeharibu card yake hauwez kubadilisha ,sababu ndani Ina circuit Kama ya phone mafundi weeengi hawana(hatuna) technology yakuitengeneza kwahyo unaenda dukani unanunua Tena kard na si chini ya 40000.
  2. Ila ukifika unaipachika tu huangaiki.
  3. Inahitaji utulie ili uioperate maana inatumia single nob.
  4. Speaker yake ya bass huwekwa ohms ndogo ili idunde sana kwahiyo usipende kuweka sauti kubwa Sana kwa muda mrefu.

Aina ya pili ndio zile old model
Hizo zinaitwa dunda udundavyo ni nzuri kwenye uzuri wake. Yenyewe ukiingalia utakuta Ina nob yaani vile vyakuongezea sauti zaidi ya kimoja. Yaani cha master volume, bass, tweeter na mic, na ukivizungusha vinafika mwisho.

Yenyewe ndani power supply yake ni ya kawaida, inatumia mtransformer wake na diodes za kawaida. kisha umeme huingia kwenye capacitor ndio unaanza kusambazwa ndani. Yaweza kuwa Seapiano, Codjec Aborder au vyovyote. Ukiigeuza nyuma mfuniko wote unafunguka wa nyuma.

Faida yake
  1. ikizingua unaiweza kuirekebisha kiurahisi tu
  2. Zinavumilia sana
  3. Hata muziki upo pia
  4. Rahisi kuitumia
Hasara zake
  1. Display yake ni VFD kama ni seapiano hapa mbele inakioo,inavyoimba Kuna vitu vinacheza cheza kwenye kioo(hii ni kwa baadhi ya subwoofer)
  2. Muonekano wake ni wakizamani ikilinganishwa na hizi mpya

Soma hi pia [emoji1427]
Ndani ya subwoofer panya hupenda kuishi humo, huzaliana na kuleta hitilafu kwa kukata nyaya na kula speaker.
Waya wa speaker una chumvi chumvi hivyo akiingia hauachi.

Simple way jinsi ya kudhibiti
Pale kwenye tobo kuna ki corn cha duara huwa wanakipachika unaweza kukitoa kwa kufuata mpangilio ufuatao:

  1. Chukua maji ya moto kidogo na kitambaa, kichovye kitambaa kwenye maji kisha kikande kuzunguka mduara kwa dakika tano.
  2. Kisha chukua kisu, tumia ncha yake kuingiza pembezoni mwa mduara bila kuikwajua. Huku ukiinua kidogo kidogo kuzunguka corn nzima,ukisha kitoa kitoboe vitundu vidogo kukizunguka upande wa ndani(sio Huku uliko Kanda kwa maji).
  3. Ukisha kitoa chukua waya mgumu usuke upande wa ndani kuzunguka uwazi wa duara wote mule ulimotoboa, kisuke hakikisha unaacha vyumba vidogovidogo kiasi kwamba kinaweza kupita kidore kidogo tu.
  4. Paka gundi upande wa ndani, huku ulikokua unakanda na maji kisha kibandike tena kama kilivyokuwa.

NB: Hii ni kwazile subwoofer kama pichani hapo juu, ambazo hutolea upepo pembeni kwenye kiduara. Wale zinazotolea mbele chini ni habari nyingine.

***
Kiasi chake mtanielewaView attachment 1560194View attachment 1560195

Some updates,
Je, music system yako haina bluetooth na unataka kuongezea? Easy sana na inawezekana pia, kwa mafundi ninaweza kuwaelekeza.

Lakini pia music system yako ulipenda itoe mp5, yaani picture, video inawezekana pia[emoji3][emoji3].
Hususani wale wenye TV za kizamani yaani unachomeka flash disk yako kwenye subwoofer, unapata mdundo alafu kuna cable itatoka kwenye subwoofer hadi kwenye TV yako.

Stay here.
More good things are here.
Welcome.

View attachment 1921368
View attachment 1921369
 
Hizi ndio juakali au kisiagi kwa wenzetu kenya wanavyoita,,wanazitumia sana
No
Hawa hawasuki mkuu
Wanafanya kuunganisha tu
Watu wengi hutamani ule mziki wa gari nyumbani,ila power supply ndio ilikua kikwazo ,ila tangu wachina wazilete ndio ukaona jamaa wanaanza hi kazi
Hapo anachukua equalizer kama ilivyo anaingiza kwenye ki box😀
 
Kama kuna mtu yuko interested, nasukuma Denon AVR 2805, iko na original remote. Naiuza maana nimekuwa nazo nyingine, hivyo siitumii tena.

Bei 280k.
 
Attachments

  • 20251019_142652.jpg
    20251019_142652.jpg
    579.1 KB · Views: 31
  • 20251019_142645.jpg
    20251019_142645.jpg
    434.8 KB · Views: 37
  • 20251019_142808.jpg
    20251019_142808.jpg
    791.9 KB · Views: 36
Nimekuwa nazo nyingi, nataka nipunguze walau. Nina Sony iliharibika ila inawaka lakini sauti haitoi, nina onkyo nayo inawaka ila inaenda kwenye protection mode
AVR ni nzuri changamoto kubwa ninzikiharibika kutengenezeka ni ngumu hasa IC zake kupata na fundi mwenye ujuzi nazo ,mpaka sasa mimi nimetumia sony str DN 810, hii niliuza, nikamiliki pioneer elite lx 103 waliibutua watoto ,ilikuwa inatumia umeme wa 110 wakakonect direct haikutengenezeka, nikachukua yamaha avantage Rx a880 ikazingua ikawa haifingui maine zone,ikawa inafungua zone2 basi,mpaka leo haijatengenezeka, nikanunu denon avr 2200H hdmi card ikafa, nikapata yamaha avantage rx A2000 mashine ya maana sana hii, iliingia protection mode, wakati wa kuiformat ikafa DSP IC sijapata spare mpaka leo, nikapata yamaha rx V 773 hii imeuwa power supply,mpaka leo sijapata spare. Katika amp zote hizo nina jiwe moja la dungu Kenwood Kr 7070 hii avr za zamani 1995 hii ndio huwa haifi naikizingua inatengenezeka.maana ni more manual, na ndio huoninaniokoa kama buckup amplifier, ni ya five chanels.
 
Zipo wap zote hizo
 
Nikajua ni mimi tu..

Pioneer ilistuck yaani ikawa haifanyi kazi button yeyote...

Nikanunua onkyo.

Nayo ikakata tu sauti hadi sasa iko kwa fundi nishaikatia tamaa..

Nafikiri shida nyingine kwa sababu tunanunua used bongo mpya hakuna..

Niliona Mrisho alishusha zingine nikawa natamani niagize. Bt nimekata tamaa..

Natamani niagize za kichina alibaba shida nazo hazina features nzuri na nyingi kama hizi za europe na america.
 
Mrisho ameshusha vitu,nilipishana na marantz moja latest ya 2020 nine channel, aliiwahi jamaa wa arusha. Tatizo la haya madude mziki wake ni mtamu sana, mnoo maana unaset kama unavyotaka,kurudi tena kwenye 2 channel music hutaman kwa kweli
 
Zile za mchina achana nazo. Avr mpya za kumenya kwenye box hapo kenya unazipata, kuna jamaa wanaitwa clouds solutions wanazo,tatizo bei. Naitamani sana nikamate moja mpya niachane na hizi used
 
Mrisho ameshusha vitu,nilipishana na marantz moja latest ya 2020 nine channel, aliiwahi jamaa wa arusha. Tatizo la haya madude mziki wake ni mtamu sana, mnoo maana unaset kama unavyotaka,kurudi tena kwenye 2 channel music hutaman kwa kweli
Speakers gani unazotumia kwa sasa mkuu?
 
Back
Top Bottom