Hali ya hewa Marekani ipoje? Je ni baridi
.
Je ni virahisi kupata demu huko?(Ebu eleezea kwa undani kidogo kuhusu swala la mapenzi Marekani)?
Je nikweli wa Afrika wanaopata scholarship Marekani wanalazimishwa kufanya vitendo vya kishoga?
Vipi kuhusu swala la ubaguzi wa rangi?
Vipi kuhusu Maisha ya Marekani ni upweke au yakuchanganyikana na watu?
Mambo Gani Mazuri mengi wanayofanya wa Marekani kutushinda sisi Waafrica (wanaandaje vijana wao kupambana na Maisha zaidi ya kuwapa elimu?
Ww kama Mwafrika utawasaidiaje ss wa Afrika kufika Marekani (Ebu tupe Maelezo kidogo kuhusu Homeless people Marekani na nini kichangia watu wengi kuwa homeless)
Naomba kufahamu mashirika yanayowasaidia watu kwenda Marekani ,Hapa Africa?
Tabia ya watu wa Marekani iko taufuti kivipi na watu wa Africa?
No changamoto zipi umepitia tangia uanze kuishi Marekani ?
Muda Mwingi wewe ukiwa Marekani unaambatana nakinani au upo kivyako vyako tu ?
Kitu Gani unakiona kwa watanzania kipo tofauti na nchi zingine?
Lete Habari Boss
.
Sent using
Jamii Forums mobile app