KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 20,150
- 40,921
- Thread starter
- #101
Vibudu (utumbo wa kuku, vichwa, miguu na firigisi)! Huwa najiuliza vinapatikana wapi kwa wingi vile kila siku kiasi kwamba mtu ndiyo biashara yake kila siku??
vinapatikana kwa wauza kuku