MO11
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 19,698
- 42,009
Wewe unavyojibu ni kisayansi-kimu mnoo!Nina shaka na wewe kama wa uswazi.
kwa kuwa hatuna alama sawa endelea hivyo hivyo
Wewe unavyojibu ni kisayansi-kimu mnoo!Nina shaka na wewe kama wa uswazi.
kwa watoto zipo ila sio miaka 15 na kuendelea labda za pua hii ni kawaida sio kwetu tu hata kwenu
Karibuni wapendwa...
mkuu wee unakaa uswazi gani....mimi nipo pande za manzese...uzuri...
Mimi nimefanya kazi na waswahili. Moja ya niliyokutana nayo ni kuwa wanaume na wanawake wanapenda sana ngono na hawana maadili hata kidogo kwenye kujamiina. Sababu ni nini?
Halafu wengi wana tabia za ushirikina, kisa ni nini?
Kwenye kazi ni wavivu sana, na ajabu ni kuwa wanaridhika na vitu vidigo sana kama T Shirt au ushungi.
Ajabu moja ni kuwa wanapenda sana ubwabwa na vizawadi vidogo vidogo, tatizo ni nini??
Waswazi wengi tumewekeza kwenye mbunye....ndio sehemu ambayo tunapunguzia stress zetu za kutwa nzima....
magomeni makuti mwanangu
Mimi nimefanya kazi na waswahili. Moja ya niliyokutana nayo ni kuwa wanaume na wanawake wanapenda sana ngono na hawana maadili hata kidogo kwenye kujamiina. Sababu ni nini?
Halafu wengi wana tabia za ushirikina, kisa ni nini?
Kwenye kazi ni wavivu sana, na ajabu ni kuwa wanaridhika na vitu vidigo sana kama T Shirt au ushungi.
Ajabu moja ni kuwa wanapenda sana ubwabwa na vizawadi vidogo vidogo, tatizo ni nini??
- kosa1: anaitwa mama vitumbua au ukiita vitumbua muuzaji umempata bila shida - umempata
2: Cha ndimu hakina mfadhili gharama hakina ni mpira wa makaratasi tunashona kisha uwanjani tunacheza kwa ajili ya furaha sio kwa ajili ya hela siku ukishuhidia watu wazima wanacheza kuna uwanja unaitwa gombelo upo magomeni kagera huo uwanja noma hadi ostaz juma na musoma anaingiza timu yake katika mashindano inaitwa watanashati anawachukua hadi wachezaji wa ligi kuu -umepata
3: Ndoa za mkeka ni ndoa zisizo na gharama hizi inatokana na kufumaniwa na watoto wa watu huu utamaduni asili yake ni visiwani huko inajulikana kama kukamatia hapo ukikutwa unaongea nae tu unaozeshwa huku mtoto wa kike ni mzigo ukifumaniwa tu unapewa umuoe kabisa bila mahari au utalipa kidogo kidogo - umempata
4: Togwa huuzwa kwenye vibanda wanavyouza gongo kwa pamoja mahali palipojificha huu
tunakaa
mwembeyanga na kaskazin pemba kule wanaume wanaogeuzanaga wenyewe kwa
wenyewe.
kule ambapo kipind cha mfungo kitimoto huwa adimu sana
Yaani jina la MBUNYE ndio limekaa au linafaa sana kile kiungo. kimefanana na jina Mbunye
- [/U][/B]kosa
Kwa nini mida ya saa 8 mchana kila dirisha kunatoka sauti ya taarabu?